ZEE LA HEKIMA
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,420
- 1,842
Mwisho wa huu Uzi utakuwa mbaya mitusi itaanza muda si mrefu.
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Kwani mleta mada ni jinsia gani?
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Wewe umetumia mkund* kufikiria huo upuuzi!
Duuuuh kwahiyo tutafute wazuri wa kupigia pichaMi nampongoza mhe. kwa kuwa na mke mrembo kidogo sio kama Sugu sijui alimuokota wapi yule dada mmh!
Kumbeee...basi sio kosa lake aiseeh ilikuwa ni lazima awe hivyo hakukuwa na namna.yani ulale saa nane za usiku then kukipambazuka uanze tena hekaheka za harusi!!lazima mtu achoke aseeh.
Ila dada ni mrembo bhana tuache matani.
Kama anakibendi kweli!amejitahidi sana aiseeh
Mtatutoa roho wadada sasa tuoe wa namna ganiUmenena mwaya yani yule mke wa sugu mweh....sura ka jiwe la kusugulia miguu[emoji57] [emoji15]
Afadhali hata faiza alikua hajambo kidogo
siri za Ngoswe waachie wamalizane waoSikupata muda mzuri sana wa kukaa na kutulia kisha niipitie kwa ' umakini ' sana ' Sherehe ' nzima ya Harusi ya Mbunge wa Mikumi Mheshimiwa Msanii Joseph Haule a.k.a Profesa Jay hadi hii leo ambapo nimeweza kuipitia yote na hatimaye ' Kikubwa ' nilichokiona hasa kwa upande wa Mke wa Profesa Jay kiukweli mara zote alionekana ni Mtu mwenye mawazo, kukata tamaa na mara nyingi akilazimisha tu furaha hata pale akina Sugu, Lema na Msigwa walipojitahidi ' kumchangamsha '.
Je Profesa Jay au nyie ' Wageni ' waalikwa mliohudhuria ile ' Harusi ' ni kitu gani labda kilimfanya hadi Bibi Harusi ( Mkewe Profesa Jay ) muda mwingi kutokuwa mchangamfu, kununa na kucheka / kutabasamu kwa kulazimishwa / kujilazimisha?
Nilichofurahi tu katika ' Harusi ' ile ya Profesa Jay hakuna Mtu aliyegoma au kutoka ' Ukumbini ' au hata tu Kurusha Ngumi kama asilimia ( % ) kubwa ya ' Wageni ' waliokuwepo mule walivyobobea Kugoma na Kutoka ' Ukumbini ' katika ' Shughuli ' zingine za Ujenzi wa nchi.
Profesa Jay nasubiri jibu langu tafadhali hata kama upo ' Fungate ' kwa sasa.
Tulieni nyie labda ana joto kali ....kuna vigezo vingi vya kuoa alaaUmenena mwaya yani yule mke wa sugu mweh....sura ka jiwe la kusugulia miguu[emoji57] [emoji15]
Afadhali hata faiza alikua hajambo kidogo
Prof Jay ni mbunge wetu kule Mikumi. Ni haki yetu kujua kwa nini shemeji yetu hakuwa na furaha ile siku.ila wakosa ajira ni wengi eti cjapata muda wakukaa nakuangalia vizuri kwani ni ndugu yako yule
Ungesubiri amalize fungate uende kumuuliza home kwake au ofisi yake ya mbunge.Prof Jay ni mbunge wetu kule Mikumi. Ni haki yetu kujua kwa nini shemeji yetu hakuwa na furaha ile siku.
Alimuona yule babu mwenye nywele nyeupe.. kachokaaaa babu wa watu. Nahisi huyu mke kila alipokumbuka ufisadi na usanii wa huyu babu, akawa anakosa raha.
Nature ya MTU, mwonekano unaweza Dhani kwamba amekasirika kumbe anatabasamu ndo sura yakeSikupata muda mzuri sana wa kukaa na kutulia kisha niipitie kwa ' umakini ' sana ' Sherehe ' nzima ya Harusi ya Mbunge wa Mikumi Mheshimiwa Msanii Joseph Haule a.k.a Profesa Jay hadi hii leo ambapo nimeweza kuipitia yote na hatimaye ' Kikubwa ' nilichokiona hasa kwa upande wa Mke wa Profesa Jay kiukweli mara zote alionekana ni Mtu mwenye mawazo, kukata tamaa na mara nyingi akilazimisha tu furaha hata pale akina Sugu, Lema na Msigwa walipojitahidi ' kumchangamsha '.
Je Profesa Jay au nyie ' Wageni ' waalikwa mliohudhuria ile ' Harusi ' ni kitu gani labda kilimfanya hadi Bibi Harusi ( Mkewe Profesa Jay ) muda mwingi kutokuwa mchangamfu, kununa na kucheka / kutabasamu kwa kulazimishwa / kujilazimisha?
Nilichofurahi tu katika ' Harusi ' ile ya Profesa Jay hakuna Mtu aliyegoma au kutoka ' Ukumbini ' au hata tu Kurusha Ngumi kama asilimia ( % ) kubwa ya ' Wageni ' waliokuwepo mule walivyobobea Kugoma na Kutoka ' Ukumbini ' katika ' Shughuli ' zingine za Ujenzi wa nchi.
Profesa Jay nasubiri jibu langu tafadhali hata kama upo ' Fungate ' kwa sasa.
Unajuwa wanawake wenye sura za baba zao ndo watamu sana, wanatabia nzuri sana Fanya research utagundua nachokisema. Kwenye sura za mama siyo wazuri kitandani, pia tabia zao siyo nzuri.Mi nampongoza mhe. kwa kuwa na mke mrembo kidogo sio kama Sugu sijui alimuokota wapi yule dada mmh!
Wewe una macho . . , na unayatumia vizuri . . na una akili pia . . hebu MPE mimba Genta . . , halafu muoe akiwa na ujauzito wa miezi 5 halafu tuone kama atachekacheka . . !Mwanamke amefanya send off jumamosi, jumapili kafanya harusi, plus anaonekana mjamzito.
Kiufupi walimu overdose sherehe,so alichoka kupita maelezo, sidhani kama unawezs kutabasamu ukiwa umechoka kupita kiasi.
Swali ni kwa nini waliunganisha send off na harusi? What the hurry?
"the highest risk should give maximum profit"
Unajuwa wanawake wenye sura za baba zao ndo watamu sana, wanatabia nzuri sana Fanya research utagundua nachokisema. Kwenye sura za mama siyo wazuri kitandani, pia tabia zao siyo nzuri.