Profesa Kabudi: Katiba tuliyonayo ni madhubuti ndio maana imetuvusha tulipopata matatizo!

Aliyekuwa mjumbe wa Tume ya katiba iliyoongozwa na Jaji Warioba na ambaye kwa sasa ni Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Kabudi amesema Katiba ya Tanzania ni madhubuti ndio maana imetuvusha tulipopata tatizo kubwa.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
KABUDI wa BUNGE la KATIBA wakikutana na KABUDI WAZIRI hakika WATAPISHANA kama HAWAJUANI NJAA mbaya sana
 
Aliyekuwa mjumbe wa Tume ya katiba iliyoongozwa na Jaji Warioba na ambaye kwa sasa ni Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Kabudi amesema Katiba ya Tanzania ni madhubuti ndio maana imetuvusha tulipopata tatizo kubwa.

Nawasalimu kwa jina la JMT!

tatizo ni elimu ya viongozi wa upinzani
 
Ama kweli dunia sio mbaya walimwengu ndio wabaya daaah!! ninasikitika kusikia kauli hii kutoka kwa propesa majalalani.
 
Aliyekuwa mjumbe wa Tume ya katiba iliyoongozwa na Jaji Warioba na ambaye kwa sasa ni Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Kabudi amesema Katiba ya Tanzania ni madhubuti ndio maana imetuvusha tulipopata tatizo kubwa.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Hakunaga kitu chema kinachotokea jalalani.....take it from me.
 
Bavicha=Wananchi wengi???
 
Katiba yetu ingekuwa madhubuti kiukweli basi Rais akiivunja angekuwa impeached. Mtangulizi wa Mama alivunja katiba na Mama naye kaanza. Na hakuna kuajibishwa. Madhubuti? My foot!

CCM mnapenda sana kuwadanganya watu.
 
Kabudi ni mpuuzi nanafiki mkubwa. Wqtu kama hawa hawana msaada wowote kwa Taifa. Hawajulikani kama kenge au mijusi.
 
Sababu siyo hiyo Kabudi awe mkweli tu. Katiba hii ni madhubuti kwasabb imemtoa Prof Kabudi jalalani
Mbowe na Lissu nao wawe wakweli tu. Katiba mpya wanayoililia ni madhubuti kwani itawatoa jalalani na ukimbizini waliko kwa sasa.
 
Katiba yetu ingekuwa madhubuti kiukweli basi Rais akiivunja angekuwa impeached. Mtangulizi wa Mama alivunja katiba na Mama naye kaanza. Na hakuna kuajibishwa. Madhubuti? My foot!

CCM mnapenda sana kuwadanganya watu.
Katiba yetu nzuri inaelekeza wananchi kupitia wawakilishi wao bungeni ndiyo wenye mamlaka ya kumu impeech rais kwa kura za 2/3 kutoka kila pande za muungano kwani rais anachaguliwa na wananchi wote na madaraka yake kakabidhiwa na wananchi wote. Ikitokea bunge likapitisha kura ya kumu impeanch rais, bunge huvunjika na Tume ya Uchaguzi huandaa na kuendesha uchaguzi mkuu mpya wa rais na wabunge. Yaani katika uchaguzi huo wananchi ndiyo hutoa maamuzi ya kurudi au kutorudi kwa rais huyo na wabunge hao. Hii ndiyo peoples power ya katiba yetu na si ile peoples power fake ya chadema.
 
Halaf eti limesoma mpaka ujerumani na kuwa Dean was kitivo Cha Sheria my foot! Macho Kama panya amebanwa kwenye mtego.
 
Aliyekuwa mjumbe wa Tume ya katiba iliyoongozwa na Jaji Warioba na ambaye kwa sasa ni Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Kabudi amesema Katiba ya Tanzania ni madhubuti ndio maana imetuvusha tulipopata tatizo kubwa.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Kuna waziri amewahi itwa mpumbavu na mwendazake.ila nimesahau ni nano ngoja nikumbuke.
 
Aliyekuwa mjumbe wa Tume ya katiba iliyoongozwa na Jaji Warioba na ambaye kwa sasa ni Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Kabudi amesema Katiba ya Tanzania ni madhubuti ndio maana imetuvusha tulipopata tatizo kubwa.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Kabudi ndiye waziri mzigo kuwahi kutokea Tanzania tangu tumepata uhuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…