Profesa Kabudi: Mkutano wa marais 4 wa EAC Tanzania sio mwanachama ni wa Northern corridor

Kwahiyo anakili TZ imetengwa au imejitenga? Agenda ni covid 19, kwanini nchi wanachana za EAC wajadiliane kwenye jukwaa la "northern corridor"? Au TZ haihusiki na janga hili ila linazihusu nchi za umoja huo tu?
 
Wewe unajua lugha ipi?

Kama kiswahili ulichoandika ni shida

"angeonga" ni utumbo gani huu umeandika

"Kingereza" ni takataka gani umeandika

Better remain silence rather than showing your idiotness

Una IQ ndogo sana
"Better remain "silence"?? kiingereza gani hiki?. umedharau mwenzako wakati na wewe ni kilaza zaidi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi kuhusu wa EAC ..sisi niwa wa wapi kwenye ile ..


Utasikia sisi niwa visiwani zanzibari

sijui itakuaje
 
Wewe unajua lugha ipi?

Kama kiswahili ulichoandika ni shida

"angeonga" ni utumbo gani huu umeandika

"Kingereza" ni takataka gani umeandika

Better remain silence rather than showing your idiotness

Una IQ ndogo sana
Jifunze ustaarabu
Mwenye akili hajigambi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabudi, Professor wa Jalalani... No wonder mwenyewe anasema sometime huwa anawaambia pumba..#& ingawa wamemzidi umri.
 
Huyu Prof bingwa wa kupindisha pindisha.
 
Nenda kazungumze wewe Sasa [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
😂 Sasa mimi nitazungumza nini labda. Viongozi wanne kati ya sita wa EAC wametoa Communique kama EAC na tena wametumia nembo na headed document ya EAC na kuna video ya sehemu ya mkutano ambayo Kagame anazungumzia ushirikiano wa nchi zote sita za EAC kwenye kupambana na Corona.

Sasa mtu anazungumzia Northern Corridor. Huu sio tu ni uongo ni utoto pia. Yaani ni crap.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…