Chagua upande Unaona unakufaa,maelezo ya kabudi ni msimamo wa serikali.,HII NDIYO SABABU RAIS MAGUFULI HAKUHUDHURIA MKUTANO WA JANA WA NCHI NNE NA SADC: Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Palamagamba Kabudi amelieza Bunge kuwa, mkutano uliohusisha nchi Nne jana pamoja na SADC ni mikutano ambayo Tanzania siyo mwanachama wake.
Waziri Kabudi amesema, mkutano huo wa nchi nne ulioitishwa jana ni mkutano wa 'northern corridor' ambao Tanzania siyo sehemu ya kundi hilo na kwamba walikuwa na taarifa.
#umojawamataifa #kabudi #mkutanowanortherncorridor #bungeni #wizarayamamboyanje #masualayadiplomasia.
Hoja:
Mbona walitumia logo ya jumuiya ya afrika mashariki na sio hiyo kabudi anayotaka tuamini?
Raia wa Tanzania viongozi wetu washatuona kama wajukuu zao, akija Kabudi Tanzania siyo mwanachama sijui wa korido, mara naenda kuwaletea dawa punde si punde me sijaenda kuleta kikombe cha babu hii dawa ni sampuli. Hatujapoa bi Ummy bado tunachakata taarifa za vipimo vya maabara, hatujanywa maji Makonda kawasili Dasalam watu wanapukutika mara ooh hakuna vifo kuna waliotumwa na mabeberu walinunua majeneza wakakodi ambiulensi na PPE na kuzika majeneza usiku. Hakujakucha sukari ipo nyingi tani 1000 tunabandika chai jikoni sukari haipo tena. kg 1 ni 3500 mara wafanyabiashara wameficha sukari uvunguni tunawasaka bado Chadema wametimua wabunge wao taprekoda kagoma hakuna kuwaondoa bungeni aliwaapisha yeye. Ndiyo maana watu wanakufa ghafla hawaumwi korona wala nini mazinga umbwa yanayotokea nchini ndo chanzo cha vifo.Kabudi doesn’t even know how to put a spin on something!
Rais Ramaphosa alisema kabisa kuwa aliwasiliana na Magufuli kuhusu hicho kikao cha SADC.
Sasa huyu Kabudi anaongelea nini hapa?
Yule wa kule bondeni itakuwa hakujua anaenda kwe mkutano wa korido akaongea kuhusu ss.Huo Ndio ukweli
Katika dunia hii ya diplomasia, ukipigwa chenga unajengewa mazingira mazuri ambayo hata wewe utajisikia raha.HII NDIYO SABABU RAIS MAGUFULI HAKUHUDHURIA MKUTANO WA JANA WA NCHI NNE NA SADC: Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Palamagamba Kabudi amelieza Bunge kuwa, mkutano uliohusisha nchi Nne jana pamoja na SADC ni mikutano ambayo Tanzania siyo mwanachama wake.
Waziri Kabudi amesema, mkutano huo wa nchi nne ulioitishwa jana ni mkutano wa 'northern corridor' ambao Tanzania siyo sehemu ya kundi hilo na kwamba walikuwa na taarifa.
#umojawamataifa #kabudi #mkutanowanortherncorridor #bungeni #wizarayamamboyanje #masualayadiplomasia.
Hoja:
Mbona walitumia logo ya jumuiya ya afrika mashariki na sio hiyo kabudi anayotaka tuamini?
Kabudi doesn’t even know how to put a spin on something!
Rais Ramaphosa alisema kabisa kuwa aliwasiliana na Magufuli kuhusu hicho kikao cha SADC.
Sasa huyu Kabudi anaongelea nini hapa?
Huyu wa baada ya bunge la katiba.
Hii corona ina uwezo moaka wa kuharibu akili za maprof?HII NDIYO SABABU RAIS MAGUFULI HAKUHUDHURIA MKUTANO WA JANA WA NCHI NNE NA SADC: Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Palamagamba Kabudi amelieza Bunge kuwa, mkutano uliohusisha nchi Nne jana pamoja na SADC ni mikutano ambayo Tanzania siyo mwanachama wake.
Waziri Kabudi amesema, mkutano huo wa nchi nne ulioitishwa jana ni mkutano wa 'northern corridor' ambao Tanzania siyo sehemu ya kundi hilo na kwamba walikuwa na taarifa.
#umojawamataifa #kabudi #mkutanowanortherncorridor #bungeni #wizarayamamboyanje #masualayadiplomasia.
Hoja:
Mbona walitumia logo ya jumuiya ya afrika mashariki na sio hiyo kabudi anayotaka tuamini?
Ndugu yangu siku hizi siyo kama zamani ambapo kila profesa alikuwa ni mtu mwenye akili timamu.HII NDIYO SABABU RAIS MAGUFULI HAKUHUDHURIA MKUTANO WA JANA WA NCHI NNE NA SADC: Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Palamagamba Kabudi amelieza Bunge kuwa, mkutano uliohusisha nchi Nne jana pamoja na SADC ni mikutano ambayo Tanzania siyo mwanachama wake.
Waziri Kabudi amesema, mkutano huo wa nchi nne ulioitishwa jana ni mkutano wa 'northern corridor' ambao Tanzania siyo sehemu ya kundi hilo na kwamba walikuwa na taarifa.
#umojawamataifa #kabudi #mkutanowanortherncorridor #bungeni #wizarayamamboyanje #masualayadiplomasia.
Hoja:
Mbona walitumia logo ya jumuiya ya afrika mashariki na sio hiyo kabudi anayotaka tuamini?
kabudi ana phd feki wewe una phd o.g ndo hata ku type huwezi.unachanganya herufi kubwa na ndogo"PhD" ?Mimi sijui, kuandika hila sina PhD fake
Kabudi doesn’t even know how to put a spin on something!
Rais Ramaphosa alisema kabisa kuwa aliwasiliana na Magufuli kuhusu hicho kikao cha SADC.
Sasa huyu Kabudi anaongelea nini hapa?
Hawa watu Kama wamepigwa kipapai vile,Hawaelewi,Hawajielewi,Vurugu tupu.
Ulimuona alivyompigia?Kama siyo mwanachama kwanini Ramaphosa ampigie simu Rais na kujibiwa wawasilishe kwa njia ya maandishi ?
Kabudi doesn’t even know how to put a spin on something!
Rais Ramaphosa alisema kabisa kuwa aliwasiliana na Magufuli kuhusu hicho kikao cha SADC.
Sasa huyu Kabudi anaongelea nini hapa?