Wacha kumbagaza professorKauli hii ya Prof Kabudi inadhihirisha kuwa Lissu alikuwa sahihi Sana kwa sababu hata kama ni mbinu za kutaka mjadala, kwa wasomi kama maprofesa kutumia mbinu ya uongo "ulio dhahiri" kiasi hiki ulikuwa ni upungufu wa weledi.
Labda tuwasikie Wataalam wa daplomasia ya uchumi waje watufafanulie mbinu hii ya "Uongo mkubwa wa dhahiri" kama Lissu alivyokuwa "Profesorial Rubbish".
Mzalendo gani huyo? Hovyo kabisaRIP Mzalendo
Kwanini uonekane kilaza ikiwa hata hiyo bil 700 hukutegemea kuipata?Kutoka trillion 360 mpaka bilioni 700! Hakyamama tumeonekana vilaza namba 1 duniani
Itambulike tu, hii biashara mwanzo haikuwepo kabisa, ilikuja kama njia ya kutupoza kutokana na kupigwa kwenye mikataba, na nikiangalia vile tunavyopigwa na wazungu kwenye mikataba yetu, bado naona waliochofanya hawakukosea.Kwa kawaida kodi hukokotolewa (calculated) sasa cha juu inawekwaje kwenye calculation?! Siyo kama bei ya duka la Mangi ambapo bei hutamkwa tu.
Madini sio kama maandazi.Huyo atakuwa ni mfanyabiara mjinga. Cha juu ni lazima kiwe within the target ya bei yako. La siyo utafukuza wateja wako. Sasa hii ya Trillion 360 to Billion 700 itakuwa ni akili ya jalalani tu.
Kivipi mkuu ?Tz ukiwa na stress ni umeamua tu kuwa nazo
Likes kama 100 hivi, Kaa pale kwa kutulia huku ukianza kujiita mbwaukipata like 10 niite mbwa!! nimekaa pale
Mambo mengi ni hovyo hovyo na yanachekesha kiasi kwamba hautakiwi hata kuyachukulia serious, huyo mzee na mimacho yake alivokaa hapo mbele ya mheshimiwa mungu (kama ambavyo aliwahi kumuita) leo anayoyasema ni vichekesho tu.Kivipi mkuu ?
Sahihisho: Huyo ni mpumbavuMjinga huyu
Mkuu chiembe, umefunguka sana. Kunywa maji sasa upoe.Huu ni uthibitisho kwamba JPM alikuwa anaendesha nchi kwa ulaghai, utapeli, uzandiki, na propaganda. Alizungukwa na waongo na wanafiki, na yeye alipenda uongo na unafiki...
😂😂😂😂😂😂😂Yuko sahihi, ni sawa na mfanyabiashara anayeweka cha juu ili ukija kulia akupunguzie bei bado usishuke chini ya target yake, muhimu ijulikane hicho kilichopatikana hapo hata kama kidogo, bado hakikutegemewa kupatikana.