Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni jema kivipi?Ni jambo jema
Chagua hapo kati ya A hadi D, jibu utalochagua ndiyo lenyewe.Jibu swali wewee profesa uchwara acha blah blah na kelele mingi.
Kammoon
Hivyo ulivyojibu utakuwa wewe ni mmoja wa Hao maprofessa wenye akili nyingi akina KabudiA. Ndiyo
B. Siyo
C. Sijui
D. Chagua kati ya A, B na C.
By the way, swali lako liko nje ya mada na nje ya maelezo uliyo - quote. Utakuwa una upungufu wa sehemu ya ubongo ya kuchakata muunganiko wa maneno.
Kama aliweza kutumia mbinu za kilaghai kwenye majadiliano, tutamwamini vipi kuwa anachotuambia Sasa ni ukweli?!Huyo atakuwa ni mfanyabiara mjinga. Cha juu ni lazima kiwe within the target ya bei yako. La siyo utafukuza wateja wako. Sasa hii ya Trillion 360 to Billion 700 itakuwa ni akili ya jalalani tu.
Zile mbuzi za CCM zilizomtusi Mheshimiwa Lissu na CHADEMA zije hapa sasa, kenge wale, CHADEMA ni level nyingine kabisaKauli hii ya Profesa Kabudi inadhihirisha kuwa Lissu alikuwa sahihi Sana kwa sababu hata kama ni mbinu za kutaka mjadala, kwa wasomi kama maprofesa kutumia mbinu ya uongo "ulio dhahiri" kiasi hiki ulikuwa ni upungufu wa weledi.
Labda tuwasikie Wataalam wa daplomasia ya uchumi waje watufafanulie mbinu hii ya "Uongo mkubwa wa dhahiri" kama Lissu alivyokuwa "Profesorial Rubbish".
======
- Asema zilikuwa mbinu za majadiliano, ataja tishio la Acacia
- Afafanua suala hilo limekwisha, atamtafuta mwigulu amweleze
- Atamba uamzi ule umeleta heshima, faida kubwa kwa nchi
- Asema alikosea kutumia neno jalala, asisitiza kibiblia ni sahihi.
Nukuu za Prof. Palamagamba Kabudi kwenye gazeti la leo la Jamhuri, Oktoba 4, 2022
Sasa kama ilikuwa ni sound tu mbona hilo deni lilipekekwa hadi mahakama za kodi na hadi Samia ndio kaja kulifuta tu hivi juziUsijichoshe kufikiria mbali, hapo kilichofanyika ni kucheza na maneno tu, mimi binafsi siamini kama kweli tulikuwa tunawadai wazungu hata mia, kama ingekuwa hivyo, wale wangeshafukuzwa siku nyingi sana kwa kukiuka masharti ya mkataba, ni sound za kina Kabudi kwa wazungu ndio zilifanya wakapata hizo pesa, ndio maana nawapongeza kwa sound zao.
Kina Mama tuzalieni Magufuli mwingine!!View attachment 2376603
- Asema zilikuwa mbinu za majadiliano, ataja tishio la Acacia
- Afafanua suala hilo limekwisha, atamtafuta mwigulu amweleze
- Atamba uamzi ule umeleta heshima, faida kubwa kwa nchi
- Asema alikosea kutumia neno jalala, asisitiza kibiblia ni sahihi.
Nukuu za Prof. Palamagamba Kabudi kwenye gazeti la leo la Jamhuri, Oktoba 4, 2022
=====
Kumbukumbu: Picha inaonesha Prof. Kabudi akishuhudia utiaji saini wa makubaliano ya kulipwa kodi trilioni 360 za makinikia Mbele ya Hayati JPM Ikulu, Dar es salaam
View attachment 2376606
Kabudi chini ya JPMView attachment 2376603

Nakuaminia sana boss,kuna shida sehemuTunzeni huu uzi ...
S ajabu akarudishwa kweny ulambaji wa asali jumlajumalKauli hii ya Profesa Kabudi inadhihirisha kuwa Lissu alikuwa sahihi Sana kwa sababu hata kama ni mbinu za kutaka mjadala, kwa wasomi kama maprofesa kutumia mbinu ya uongo "ulio dhahiri" kiasi hiki ulikuwa ni upungufu wa weledi.
Labda tuwasikie Wataalam wa daplomasia ya uchumi waje watufafanulie mbinu hii ya "Uongo mkubwa wa dhahiri" kama Lissu alivyokuwa "Profesorial Rubbish".
======
- Asema zilikuwa mbinu za majadiliano, ataja tishio la Acacia
- Afafanua suala hilo limekwisha, atamtafuta mwigulu amweleze
- Atamba uamzi ule umeleta heshima, faida kubwa kwa nchi
- Asema alikosea kutumia neno jalala, asisitiza kibiblia ni sahihi.
Nukuu za Prof. Palamagamba Kabudi kwenye gazeti la leo la Jamhuri, Oktoba 4, 2022
Wazungu wahuni San waliamua wenyewe bila shurti kusain walikuwa wanajuwa kbsa kuwa hawatalipa kias hichoView attachment 2376603
- Asema zilikuwa mbinu za majadiliano, ataja tishio la Acacia
- Afafanua suala hilo limekwisha, atamtafuta mwigulu amweleze
- Atamba uamzi ule umeleta heshima, faida kubwa kwa nchi
- Asema alikosea kutumia neno jalala, asisitiza kibiblia ni sahihi.
Nukuu za Prof. Palamagamba Kabudi kwenye gazeti la leo la Jamhuri, Oktoba 4, 2022
=====
Kumbukumbu: Picha inaonesha Prof. Kabudi akishuhudia utiaji saini wa makubaliano ya kulipwa kodi trilioni 360 za makinikia Mbele ya Hayati JPM Ikulu, Dar es salaam
View attachment 2376606
Alfu unajuwa nn proof [emoji23] muda siyo mrefu nilikukumbuka San kuhusu swala lako la interview je ulifanikiwa kufika jijin dsm ama uko geita Bado kwako profBila shaka ni kwa vile wewe siyo professor na huenda huna vigezo vya kuwa professor.
From: Professor ajaye (Mathematics).
Sasa moderator nao wataonekana wana take side?@Moderator tuasaidie hii post kuifanya pinned katika kila post itakayo mzungumzia Magufuli na awamu ya tano. Itawasaidia sana watu kuelewa wana jadili mtu au utawala wa aina gani
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Huu ni uthibitisho kwamba JPM alikuwa anaendesha nchi kwa ulaghai, utapeli, uzandiki, na propaganda. Alizungukwa na waongo na wanafiki, na yeye alipenda uongo na unafiki.
Ajabu mpaka Leo Kuna mijitu mijinga inaendelea kuimba ujinga wa awamu ya tano. Anajifanya kupambana na ufisadi huku pembeni ana Makonda, na Sabaya. Tenda za kujenga stiglers, sub contractors wote ni vikampuni vyake, pamoja na inner cycle yake. Wenye vikampuni hivyo ndio wanapiga mdomo sana kuhusu mradi, kwa sababu wamekaa pale wananyonya nchi. Akina polepole, ana kikampuni pale kina tenda, kinafiki anajifanya mzalendo kuupenda mradi, nyuma ya pazia ana kampuni inakula Hela zetu pale stiglers.
Stendi ya Magufuli Mbezi, kikampuni chake, kimevuta Hela, na stendi hakijaimaliza, inabidi Hela itafutwe kwingine, masoko mapya nchi nzima, stendi ya nyamhongolo, barabara za Kanda ya ziwa via mayanga construction, barabara ya kigoma inayojemgwa na nyanza road, kampuni ambayo ana hisa, imejengwa miaka zaidi ya 20 haiishi huku akiwa bize kufutia ukandarasi kampuni za wenzake.
Wafanyakazi anatimua timua huku wale wa Chato wakiajiriwa bila interview na kujazwa serikalini.
Uwanja wa ndege Chato, imejenga kampuni yake, hospitali ya Kanda Chato...endless list.
Hakuna utawala mchafu kama wa awamu ya JPM.
Miradi mingi ya ujenzi wa madaraja na barabara ni kampuni za JPM lakini alikuwa anawapachika wachina.
Oohh masikini na wanyonge, jitu limejaza matrilioni kwenye akaunti za Siri, mfugale anaulizwa hizi Hela vipi, badala ya kujibu, na yeye anakufa
Sasa hao jamaa wa mgodi wakaidai bilioni 700 ambayo waliilipa kupitia professorial rubbish
Jiwe na proof walikuwa sahihi kipindi hichoMaana yake ni kwamba hii nchi inaongozwa kwa ulaghai, uwongo na kwa ujinga mkubwa.
Hilo la trillion 360 mmeambiwa na profesa jalala ilikuwa ni uwongo, je kuna mangapi ambayo yamekuwa ya uwongo, na hawajakiri kwa sababu hamjahoji?
Kwa ujumla, awamu ya 5, ilikuwa ni ya uongozi na hadaa, na wajinga/wendawazimu waliokotwa sana kwa zile hadiyhi. Sisi wengine tulijua kutoka mwanzo kuwa ulikuwa ni uwongo na uwendawazimu kusema kuwa Acacia walikuwa wanadaiwa kodi ya ya sh. Trilion 360. Mpumb.avu pekee yake ndiye angeweza kuamini. Ni sawa uambiwe kuwa kuna mwizi ameiba tani 1000 za cement, amekutwa amezipakia kwenye guta,na wewe ukaamini. Wewe utakayeamini ni lazima uwe mwendawazimu.
Wote walioamini kuwa Acacia walikuwa wanadaiwa sh trilioni 360, hakika wote, wana uwendawazimu wa aina fulani.
Hata bilioni 700 walizokubali Barrick kuipa Tanzania ndani ya miaka 7, walitamka wazi kuwa ni msaada, wala siyo deni la kodi, na haitalipwa mara moja.
Hata ukiangalia ule mkataba wa Barrick na Swrikali, utagundua kuwa, mwishoni ni Serikali ndiyo iliyoamua kuibembeleza Barrick, ndiyo maana Barrick ilitoa masharti magumu, na Serikali ikaridhia.
Awamu ile iliwatumia maprofesa punguani kuwahadaa wajinga na neno 'profesa', kumbe ni maprofesa wa hadaa.
Hpolepole Acha matusi, vp shule yako ya uongozi bado unaendeleanayo?Mkuu mimi binafsi katika kazi zangu nimepata access ya kuwajua sub-contractors wengi wa bwawa la umeme na reli ya mwendokasi na waliokua wameanza kujiweka sawa kwa ajili ya bomba la mafuta.
Nakuhakikishia katika kipindi ambacho watu wamepata hizo tenda kwa haki, bila rushwa na bila kumjua mtu ni kipindi cha JPM.
Mnapotosha kwa faida ya nani? Hebu taja hiyo kampuni ya Polepole iliyokua inahudumu kwenye bwawa la umeme, vinginevyo wewe ni qumer tuu.