Mkuu tukio la Edo halikuhusisha marisasi. Hili tukio lina guilt nyingi mtu anakuwa anakereketwa kusemaUnajua huyo Mzee amekiuka kiapo chake Cha Baraza la Mawaziri, hakutakiwa kusema hayo Kwa kuwa yangekuwa nje ya kiapo chake.
Unajua Mzee Edo pamoja na kuambiwa mara kadhaa kusema kuhusu Richmond yake iliyomuondoa hakuthubutu kufungua kinywa chake kusema licha ya watu wengi kuhisi ameonewa.
Huyo Mzee wa Jalalani nahakika Angekwepo JPM asingesema hata mara moja
Kwani hata huyo Kabudi ameshikiwa Bastola kusema hayo? Nadhani anatafuta kuungwa mkono na Wananchi, na katika watu hawatarudi Bungeni 2025 ni pamoja na huyo Mzee wa JalalaniMkuu tukio la Edo halikuhusisha marisasi. Hili tukio lina guilt nyingi mtu anakuwa anakereketwa kusema
mbele ya meza ya mfalme watu hujikomba na kujishtukia,lakini akina yaheee tupo tu.Kauli hii ya Profesa Kabudi inadhihirisha kuwa Lissu alikuwa sahihi Sana kwa sababu hata kama ni mbinu za kutaka mjadala, kwa wasomi kama maprofesa kutumia mbinu ya uongo "ulio dhahiri" kiasi hiki ulikuwa ni upungufu wa weledi.
Labda tuwasikie Wataalam wa daplomasia ya uchumi waje watufafanulie mbinu hii ya "Uongo mkubwa wa dhahiri" kama Lissu alivyokuwa "Profesorial Rubbish".
======
- Asema zilikuwa mbinu za majadiliano, ataja tishio la Acacia
- Afafanua suala hilo limekwisha, atamtafuta mwigulu amweleze
- Atamba uamzi ule umeleta heshima, faida kubwa kwa nchi
- Asema alikosea kutumia neno jalala, asisitiza kibiblia ni sahihi.
Nukuu za Prof. Palamagamba Kabudi kwenye gazeti la leo la Jamhuri, Oktoba 4, 2022
JPM alibariki kodi zisizo na uhalisia na zisizolipika, huu ulikuwa udhaifu.Kwani hata huyo Kabudi ameshikiwa Bastola kusema hayo? Nadhani anatafuta kuungwa mkono na Wananchi, na katika watu hawatarudi Bungeni 2025 ni pamoja na huyo Mzee wa Jalalani
Lakini ni ukweli katika watu JPM aliwaamini ni pamoja na huyo Mzee
Ni kweli, shida yake alitaka kupata political milage tu na kuwa win Wananchi.JPM alibariki kodi zisizo na uhalisia na zisizolipika, huu ulikuwa udhaifu.
Bila shaka ni kwa vile wewe siyo professor na huenda huna vigezo vya kuwa professor.
From: Professor ajaye (Mathematics).
Pale tapeli anapompongeza tapeli mwenzie aka mwana fisiemuKwenye madai ambayo hayakuwepo, ni fiction, hiyo pesa kwangu ni nyingi sana, bado naendelea kumpongeza Kabudi.
Profesa wa mchongo aka kabudoWenye akili walimwelewa na hadi sasa wanamwelewa kabudi. Wajinga ndio hawaelewi.
Kuna kitu 'mbinu za majadiliano' kwa wale lazima kitu kielezwe kwa kingereza ndio wakubali kuna fani..negotiation skills, strategy etc, etc. Nendeni mkamueleze huyo kichaa lissu aliyediriki hadi kumdharau mwalimu wake wa sheria chuo kikuu Prof Kabudi.
Utakuwa unataka kichapo kutoka kwa Watanzania weweKina Mama tuzalieni Magufuli mwingine!!
Alikuwa ni Mtu!!
Aa kumbee nyie ndio mlio mpeleka mfugale paradise👆👆Huu ni uthibitisho kwamba JPM alikuwa anaendesha nchi kwa ulaghai, utapeli, uzandiki, na propaganda. Alizungukwa na waongo na wanafiki, na yeye alipenda uongo na unafiki.
Ajabu mpaka Leo Kuna mijitu mijinga inaendelea kuimba ujinga wa awamu ya tano. Anajifanya kupambana na ufisadi huku pembeni ana Makonda, na Sabaya. Tenda za kujenga stiglers, sub contractors wote ni vikampuni vyake, pamoja na inner cycle yake. Wenye vikampuni hivyo ndio wanapiga mdomo sana kuhusu mradi, kwa sababu wamekaa pale wananyonya nchi. Akina polepole, ana kikampuni pale kina tenda, kinafiki anajifanya mzalendo kuupenda mradi, nyuma ya pazia ana kampuni inakula Hela zetu pale stiglers.
Stendi ya Magufuli Mbezi, kikampuni chake, kimevuta Hela, na stendi hakijaimaliza, inabidi Hela itafutwe kwingine, masoko mapya nchi nzima, stendi ya nyamhongolo, barabara za Kanda ya ziwa via mayanga construction, barabara ya kigoma inayojemgwa na nyanza road, kampuni ambayo ana hisa, imejengwa miaka zaidi ya 20 haiishi huku akiwa bize kufutia ukandarasi kampuni za wenzake.
Wafanyakazi anatimua timua huku wale wa Chato wakiajiriwa bila interview na kujazwa serikalini.
Uwanja wa ndege Chato, imejenga kampuni yake, hospitali ya Kanda Chato...endless list.
Hakuna utawala mchafu kama wa awamu ya JPM.
Miradi mingi ya ujenzi wa madaraja na barabara ni kampuni za JPM lakini alikuwa anawapachika wachina.
Oohh masikini na wanyonge, jitu limejaza matrilioni kwenye akaunti za Siri, mfugale anaulizwa hizi Hela vipi, badala ya kujibu, na yeye anakufa
Sasa hao jamaa wa mgodi wakaidai bilioni 700 ambayo waliilipa kupitia professorial rubbish
😂😂😂😂😂😂😂😂Mkuu mimi binafsi katika kazi zangu nimepata access ya kuwajua sub-contractors wengi wa bwawa la umeme na reli ya mwendokasi na waliokua wameanza kujiweka sawa kwa ajili ya bomba la mafuta.
Nakuhakikishia katika kipindi ambacho watu wamepata hizo tenda kwa haki, bila rushwa na bila kumjua mtu ni kipindi cha JPM.
Mnapotosha kwa faida ya nani? Hebu taja hiyo kampuni ya Polepole iliyokua inahudumu kwenye bwawa la umeme, vinginevyo wewe ni qumer tuu.
Mkuu Cuba chuo gani ulichosoma ili mwanangu asije tia mguu kwenye hicho chuo akawa kama wewe, Jiwe na profesa wa jalalaniJiwe na proof walikuwa sahihi kipindi hicho
Kwa wale waliosoma cuba ndio wanaweza kuelewa umesoma tz utaelewe kwa shida sana
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mfano dangote anawekeza lkn haweki hiza zake wazi Kwa DSM stock exchange, anahipatia hasara kubwa Kwa Taifa letu.Ikulu ni nyumba ya udalali - Simkumbuki aliyetamka haya maneno.
Mkuu zilipikwa kodi hasa.. Kwa neno UZALENDOJPM alibariki kodi zisizo na uhalisia na zisizolipika, huu ulikuwa udhaifu.
Kabisaa!!!Mkuu kumbe ulikuwa hufahamu- ngoja nikwambie Mungu hajawahi kuumba msomo, wazir, wala nani- Mungu aliumba mwanadamu mwanaume kwa udongo na mwanamke kwa mifupa ya mwanume mengine yote ni mbwembwe tu
Kadhi Mkuu 1 said:Kibongo bongo ni sawa, kama vile mtu anauza kitu elf 25 mwisho unanunua elfu 3.