Profesa Kitila Mkumbo amepewa Uwaziri ili kukamilisha mpango wa bandari kwa DP World?

Lazima mchambe
 
Ninaamini hili!!

Kuna Skendo fulani ilitokea pale UDSM na Mke wa Prof.Mkumbo ambaye alikuwa muajiriwa wa chuo hicho alihusika kwenye hiyo Skendo na wenzake kadhaa!! kwenye sakata hilo mara akahamishwa haraka na kupelekwa TPA na kupangiwa nafasi kubwa tu hapo bandarini na kuwaacha wenzake wakihangaika na hiyo skendo na Sijui Kama walichomoka!!

Kwa Tanzania hii,kuzaliwa katika familia ya kimaskini ni laana
 
Na bado..

Anaupiga mwingi!

Tulibanwa sana!

Sasa tunapumua!

Anatuponya majeraha!
 
Wewe ndio mdini na mwenye roho mbaya. Unataka kila nafasi ya uongozi muwe Wakristo tu kwani hii nchi ni mali yenu pekee yenu? Waislam wapo wachache kwenye hizo nafasi lakini hawapumui kwa kusakamwa na nyie mabazazi!
 
Inasemekana wameanzia mbali.

Nchemba naye kaona isiwe shida, mama panua wigo nipate muda wa kutosha.

Tunataka Bandari zetu.
 
Hii sakata la Bandari linakwenda kumuua Samia kisiasa rasimi.Sidhani kama atafika 2025 na kama akifika basi atanyang'anywa madaraka.
 
Hiyo ndio kazi kubwa ya Kitila. Atahusika na uandaaji wa mikataba mbalimbali inayohusisha ubinafsishaji. Huu ni mpango mzuri kwa serikali kuondoa hisia kwamba Wazanzibari wanauza mali za Watanganyika.

Tukumbuke kwamba kuna mikataba mingi tu serikali imeshaingia katika hatua mbalimbali na mingine mingi serikali inakusudia kuingia siku za karibuni. Haijalishi Wizara hii mpya ya Ubinafsishaji na Mipango imeundwa lini ila ila ukweli ni kwamba Kitila Mkumbo atabeba lawama nyingi.
 
Kiukweli Ilikuwa ngumu kwangu kuamini huyu huyu Prof Mbarawa ambaye Shujaa Magufuli alimuandaa kuwa Rais wa Zanzibar ndio kaanzisha mazungumzo na DP World

Baada ya kuona picha za Waziri mpya akiwa Dubai nadhani nilikuwa sahihi

Mungu ni mwema wakati Wote!
 
Nyie bakini kupiga kelele nyuma ya keyboard tu wakati wenye bandari yao wanaendelea na mipango yao.
 
Hii sakata la Bandari linakwenda kumuua Samia kisiasa rasimi.Sidhani kama atafika 2025 na kama akifika basi atanyang'anywa madaraka.
Mtaishia kuwaombea watu mabaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…