Profesa Kitila Mkumbo amepewa Uwaziri ili kukamilisha mpango wa bandari kwa DP World?

Profesa Kitila Mkumbo amepewa Uwaziri ili kukamilisha mpango wa bandari kwa DP World?

Wewe ndio mdini na mwenye roho mbaya. Unataka kila nafasi ya uongozi muwe Wakristo tu kwani hii nchi ni mali yenu pekee yenu? Waislam wapo wachache kwenye hizo nafasi lakini hawapumui kwa kusakamwa na nyie mabazazi!
Umenielewa kweli au umekurupuka?
 
Hiyo mikataba mingine iwekwe wazi ili Wananchi wajue Bandari yao inakodishwa kwa muda gani.
 
Hata kama lilianzia kwa mtanganyika, walioweka saini zao kulipitisha ndio maadui zetu, kwasababu wazo pekee bila utekelezaji halina madhara yoyote kwa jamii husika.

Hata hivyo hujielewi, Samia kwenda kusalimia wajomba zake akawapa bandari zetu sioni uhusiano wowote na mtanganyika hapo, uwe unatulia kabla hujakurupuka na hizi thread zako nusu mkate.
 
Kiukweli Ilikuwa ngumu kwangu kuamini huyu huyu Prof Mbarawa ambaye Shujaa Magufuli alimuandaa kuwa Rais wa Zanzibar ndio kaanzisha mazungumzo na DP World

Baada ya kuona picha za Waziri mpya akiwa Dubai nadhani nilikuwa sahihi

Mungu ni mwema wakati Wote!
Hivi huyo ni prof wa nini!?
 
Kiukweli Ilikuwa ngumu kwangu kuamini huyu huyu Prof Mbarawa ambaye Shujaa Magufuli alimuandaa kuwa Rais wa Zanzibar ndio kaanzisha mazungumzo na DP World

Baada ya kuona picha za Waziri mpya akiwa Dubai nadhani nilikuwa sahihi

Mungu ni mwema wakati Wote!
Naunga mkono hoja aisee
 
Haiwezi kuwa wazi ni confidential.
Lazima wataweka wazi ili kuondoa sintofahamu.

Huku mitaani hali ni mbaya sana kama kuna adui anataka tupigane alete tu shehena ya mabazooka.
 
Hata kama lilianzia kwa mtanganyika, walioweka saini zao kulipitisha ndio maadui zetu, kwasababu wazo pekee bila utekelezaji halina madhara yoyote kwa jamii husika.

Hata hivyo hujielewi, Samia kwenda kusalimia wajomba zake akawapa bandari zetu sioni uhusiano wowote na mtanganyika hapo, uwe unatulia kabla hujakurupuka na hizi thread zako nusu mkate.
Mbona Mbowe anaishi Dubai yalipo Makao makuu ya DP World hivyo Hoja Yako ya kusalimia Wajomba Oman haina mashiko!
 
Kiukweli Ilikuwa ngumu kwangu kuamini huyu huyu Prof Mbarawa ambaye Shujaa Magufuli alimuandaa kuwa Rais wa Zanzibar ndio kaanzisha mazungumzo na DP World

Baada ya kuona picha za Waziri mpya akiwa Dubai nadhani nilikuwa sahihi

Mungu ni mwema wakati Wote!
Magufuri alikuwa anaandaa watu dhaifu ili awa control, mfano ni wabunge wetu
 
Nikimuangaliaga prof. Kitila wa DUCE na huyu wa DP word naamini kauli ya wahenga Duniani wawili wawili
dr.jpg
 
Kitila ni profesa wa saikolojia sasa Mipango na saikolojia wapi na wapi?
 
Niliandika hapajF kuwa baadhi ya waliochangia bungeni na baadaye kutoka nje na kuendelea kuongelea Dp world wanaonge wakiwa na matarajio ama matamanio ya pengine watapata teuzi za Uwaziri. Hili limetia kwa kila mmoja kujionea.

Serikali imesema inasikiliza na inachukua maoni ya wananchi kuhusu yatokanayo na Mkataba wake na Dp World, tunaipongeza sana kwa utayari wake huo.

Lakini ambacho hatuambiwi ni vipi maoni hayo yatafanyiwa kazi na ni jinsi gani na lini Wananchi watafahamishwa kuhusu hatua zilizochukuliwa juu ya maoni yao.

Mithali 16:16 Zaburi 49:20
 
Back
Top Bottom