Profesa Lipumba ashangazwa na Rais Samia kumuachia mtu aliyekula njama katika wizi wa shilingi zaidi ya bilion 300 za Escrow kwa kutoa bilion 26 tu

Shida ya Lipumba ni unafiki.Leo kaongea km Profesa halisi wa wa uchumi.Lakini wakimuwekea bahasha mezani tu anajitoa ufahamu wote mpaka mtu unajiuliza,Hivi huyu ndo Prof Lipumba au msukule wake?!!! Aache kubadilika badilika km kinyonga.

Usishangae akijitokeza na kusema katiba mpya sio hitaji la wananchi kwa sasa, bali mama aachwe ainue uchumi kwanza.
 
hoja ya Lipumba dhaifu mno

ukituhumiwa kwa kosa la kula njama za kuiba kuku wa Rashidi ina maana mlijipanga lakini kuku hakuibiwa. Kuku angeibiwa ungetuhumiwa kuiba kuku.

huwezi kuambiwa sasa rudisha kuku wa Rashidi wakati tangia hapo kuku anae mwenyewe Rashidi.
 
Mama anajenga uchumi upi wakati mwendazake aishajenga uchumi? Au mwendazake aliishia kwenye linta?
 
Mzigo ulitoka wewe
 
Hata Lipumba mwenyewe ni beneficiary wa pesa za ESCROW. Kwani kilichomkimbiza nchini mwaka 2015 baada ya uchaguzi ni nini?

Alinunuliwa kwa fedha za ESCROW na akaisaliti CUF na ukawa ndiyo mwisho wa CUF.

Tudai Katiba Mpya kwa kutumia AKILI MPYA siyo akili za akina LIPUMBAvu. Hawa ni maprofesa NJAA tu
 
Yeye alizopewa akakimbilia Rwanda 2015 tutazipataje watz?? au yeye anadhani tumesahau??
 
Lipumba aelewe zike ni tuhuma tu na serikali kwa zaidi ya miaka 5 imwshindwa kupata ushahidi na kusimamisha kesi dhidi ya huyo singa
 
Lipumba aelewe zike ni tuhuma tu na serikali kwa zaidi ya miaka 5 imwshindwa kupata ushahidi na kusimamisha kesi dhidi ya huyo singa
Unamiaka mingapi kwenye hilo jukwaa ? Maana unahitaji kupashwa habari zaidi.
 
Hapa hata wewe Missile of the Nation umechemka sana.

Issue ya wateule wa Magufuli haina mashiko kwa kigezo cha kumgeuka president, sababu moja ni pamoja na wao kuwa kutokuwa na threats zozote kwa serikali sababu wanafahamika.

Pili usidhani kuwaacha no vetting process has made before, hizi mambo kuna wakati uwa akili inaangalia tunavyo simamia familia tunadhani na serikali inafanya the same NO!.

Pia unasahau mama ni Rais wa sita wa awamu ya tano ambaye amechukua nafasi ya aliyekuwa boss wake, pamoja na yote anatekeleza yale waliyokuwa wanatuambia wananchi tukiwapa madaraka wanafanya 1,2,3, so hata haya yanayoendelea ni kwa sababu ya mapungufu yaliyopo kwenye katiba.
 
Mama asilaumiwe bute Habinda na bandari ,mkwere ana Jambo lake jambo lake limeiva
 
Watu wasihofu CCM wataitafuta katiba mpya kwa tochi na watakua wamechelewa. Subirini watampa urais mtu ambae atawavuruga na watajuta kutokua na katiba mpya, hawajajifunza kwa marehemu ambaye ukanyagaji wa katiba ulikuwa ni cha mtoto.
 
Out of context
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…