Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binafsi naunga mkono ubinafsishaji wa bandari.
Mnaopiga kelele ni kwamba ama ni wezi au mnatumika na wezi,
Logic yake ni kuwa Magu asingeua upinzani bungeni huenda wangesaidia kupaza sautiSaivi tuna Mh. Samia, serikali ya Magu ishakufa
Mjinga wewe yakiitishwa Maandamano utatoka Barabarani?Wewe ndio uweke ushahidi, kwa sababu unabisha.
Huo ufafanuzi umetaja miaka mingapi?!
Ni kwamba nchi imejaaaa waoga tupuMadhara ya Sera za Mwendazake! Aliua Upinzani kwa Ukatili Mkubwa! Na yeye mwenyewe kafa! Lakini ametuachia Bunge la ma-CCM l!
Hao wapinzani ndo hawa wanaolamba asali wakiwa nje ya Bunge?Logic yake ni kuwa Magu asingeua upinzani bungeni huenda wangesaidia kupaza sauti
Nyie ndio mliompa huo uwaziri mpaka muweze kumfukuza ?Habari Watanzania,
Binafsi nimeamini Prof. Mbarawa hafai kuwa mtumishi katika kiwango cha Uwaziri katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni waziri muoga, waziri picha tu. Ni Profesa aina ya le profeseri, yani yupo kama hayupo, na mambo mengi ya kuudhi na kuuza nchi hufanyika akiwa tuli kama kunyoa kichwa cha mwendawazimu.
Sasa hivi naamini hata Marehemu JPM alikuwa sahihi kumtimulia mbali pasi hata na kueleza sababu za kumtimua.
Ufafanuzi wa TPA kuhusu kuuzwa bandari ya Dar es Salaam (usiniambia eti kukodisha). Ukishakuwa umepewa sehemu kwa miaka 99, hapo umeuziwa, ndio uhalisia. Yani two good generation gonna live with the same contract and ownership, hata Mangugo alikuwa anafikiria sawasawa.
Kwa msioijua bandari ya Dar es Salaam, nawamegea kidogo.
Hao DP World wamepewa gati namba 5 mpaka 8.
Hayo ndiyo magati ambayo tangu enzi za Kikwete na JPM yamekuwa yakiendelezwa sana. Tena kwa gharama kubwa za serikali. Ambacho hakikuwa kikifanyika ni uwekaji wa mitambo ya kisasa tu, ila upanuzi na ujenzi umetumia fedha nyingi sana za serikali.
Mfano gati namba 5, 6, 7, 8 huku ndio asilimia 90 ya mizigo yote ya bandari ya Dsm imekuwa ikishushwa miaka yote.
Ishu ya kusema eti hakuna mkataba, ni uongo, iweje tujue wamepewa eneo hilo. Hicho ni nini?
Kama hawa DP World ni wakombozi wetu hivyo, kwanini wasipewe gati namba 1 hadi 4?!
Waendelee hapo, tuone ukongwe wao.
Miaka 99, akili au matope?
Tupige kura hapa Prof. Makame Mbarawa atupishe kwanza.
Wazanzibari wanauza vitu hovyo unakumbuka jinsi Mwinyi alivyouza mbuga ya Loliondo kwa waarabu? Hawana uchungu na Bara.Habari Watanzania,

Acha upotoshajiHabari Watanzania,