Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Barabara ya Kibaha Chalinze jamani ujenzi uanze kwa vitendo tuone.
Tumuenzi Magufuli kwa vitendo.
Tumuenzi Magufuli kwa vitendo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona JK aliuza gesi yetu kisanii na wao walikuwemo Bungeni,kwani wapinzani walifanya nini?Logic yake ni kuwa Magu asingeua upinzani bungeni huenda wangesaidia kupaza sauti
Mkataba hauonyeshi ukomo,maana yake ni mpaka labda Yesu atakaporudi na pia mkataba unakataza pande zote kuvunja mkataba ata itokee tsunami au Watanzania tufe wote na pia kila serikali itakayoingia madarakani hairuhusiwi kuvunja mkataba.Kwanza hao waarabu mpaka wakapewa hiyo bandari palikuwepo na ushindani wowote? hapana haukuwepo, ni upendeleo tu.
Haya, baada ya hapo, hao jamaa wamepewa hiyo bandari waiendeshe kwa miaka mia moja, huu nao ni muendelezo wa upendeleo, yani Rais ametoa zawadi bandari yetu kwa ndugu na rafiki zake kwa miaka mia moja.!!
Maana yake ni kwamba, huu ujinga wa huyu Rais tuliyenaye, maumivu yake yatasikiwa na vizazi viwili vya watanzania, huyu kiumbe anastahili laana, hakika alaaniwe.
Kila siku tunasema huwa hapendi kuhangaisha kichwa chake, yupo kama mwanasesere tu anayesikiliza watendaji wake kwenye kila jambo, wajinga wanamsifia, mama anafungua nchi, haya sasa ameenda kuwafungulia ndugu zake kwa miaka mia moja ijayo, naamini wapuuzi wanashangilia huko walipo.
Kwani hii ni mara ya kwanza kusikia sakata la DP World na Bandari? Toka sakata la kwanza MoU ilikuwa tayari Sasa MoU sio mkataba..Huyo Mbarawa tapeli tu, kwanini anadanganya taifa kuwa serikali unatafuta muwekezaji wa Bandari wakati tayari yeye na Dada yake Samia walishasaini mwezi Oktoba 2022 Memorandum of Understanding na DP World ya Dubai?
Usisifie upuuzi!View attachment 2648809View attachment 2648810
MkuuHabari Watanzania,
Binafsi nimeamini Prof. Mbarawa hafai kuwa mtumishi katika kiwango cha Uwaziri katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni waziri muoga, waziri picha tu. Ni Profesa aina ya le profeseri, yani yupo kama hayupo, na mambo mengi ya kuudhi na kuuza nchi hufanyika akiwa tuli kama kunyoa kichwa cha mwendawazimu.
Sasa hivi naamini hata Marehemu JPM alikuwa sahihi kumtimulia mbali pasi hata na kueleza sababu za kumtimua.
Ufafanuzi wa TPA kuhusu kuuzwa bandari ya Dar es Salaam (usiniambia eti kukodisha). Ukishakuwa umepewa sehemu kwa miaka 99, hapo umeuziwa, ndio uhalisia. Yani two good generation gonna live with the same contract and ownership, hata Mangugo alikuwa anafikiria sawasawa.
Kwa msioijua bandari ya Dar es Salaam, nawamegea kidogo.
Hao DP World wamepewa gati namba 5 mpaka 8.
Hayo ndiyo magati ambayo tangu enzi za Kikwete na JPM yamekuwa yakiendelezwa sana. Tena kwa gharama kubwa za serikali. Ambacho hakikuwa kikifanyika ni uwekaji wa mitambo ya kisasa tu, ila upanuzi na ujenzi umetumia fedha nyingi sana za serikali.
Mfano gati namba 5, 6, 7, 8 huku ndio asilimia 90 ya mizigo yote ya bandari ya Dsm imekuwa ikishushwa miaka yote.
Ishu ya kusema eti hakuna mkataba, ni uongo, iweje tujue wamepewa eneo hilo. Hicho ni nini?
Kama hawa DP World ni wakombozi wetu hivyo, kwanini wasipewe gati namba 1 hadi 4?!
Waendelee hapo, tuone ukongwe wao.
Miaka 99, akili au matope?
Tupige kura hapa Prof. Makame Mbarawa atupishe kwanza.
Wabunge wa CCM mnaiuza nchi yetu,ardhi yetu tuliyopewa na Mungu. Na Mungu awalaani ninyi na vizazi vyenu.Madhara ya Sera za Mwendazake! Aliua Upinzani kwa Ukatili Mkubwa! Na yeye mwenyewe kafa!
Lakini ametuachia Bunge la ma-CCM lisilochaguliwa na Wananchi, ni Bunge lisilotetea Wananchi!
Kwa Bunge hili dhaifu ma-CCM yameamua kugawana Mbao! Bunge litajadiri na kupitisha Nchi kuuzwa!
Mawala atakuwa amewekwa hapo kwa kazi maalumu......!!Habari Watanzania,
Binafsi nimeamini Prof. Mbarawa hafai kuwa mtumishi katika kiwango cha Uwaziri katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni waziri muoga, waziri picha tu. Ni Profesa aina ya le profeseri, yani yupo kama hayupo, na mambo mengi ya kuudhi na kuuza nchi hufanyika akiwa tuli kama kunyoa kichwa cha mwendawazimu.
Sasa hivi naamini hata Marehemu JPM alikuwa sahihi kumtimulia mbali pasi hata na kueleza sababu za kumtimua.
Ufafanuzi wa TPA kuhusu kuuzwa bandari ya Dar es Salaam (usiniambia eti kukodisha). Ukishakuwa umepewa sehemu kwa miaka 99, hapo umeuziwa, ndio uhalisia. Yani two good generation gonna live with the same contract and ownership, hata Mangugo alikuwa anafikiria sawasawa.
Kwa msioijua bandari ya Dar es Salaam, nawamegea kidogo.
Hao DP World wamepewa gati namba 5 mpaka 8.
Hayo ndiyo magati ambayo tangu enzi za Kikwete na JPM yamekuwa yakiendelezwa sana. Tena kwa gharama kubwa za serikali. Ambacho hakikuwa kikifanyika ni uwekaji wa mitambo ya kisasa tu, ila upanuzi na ujenzi umetumia fedha nyingi sana za serikali.
Mfano gati namba 5, 6, 7, 8 huku ndio asilimia 90 ya mizigo yote ya bandari ya Dsm imekuwa ikishushwa miaka yote.
Ishu ya kusema eti hakuna mkataba, ni uongo, iweje tujue wamepewa eneo hilo. Hicho ni nini?
Kama hawa DP World ni wakombozi wetu hivyo, kwanini wasipewe gati namba 1 hadi 4?!
Waendelee hapo, tuone ukongwe wao.
Miaka 99, akili au matope?
Tupige kura hapa Prof. Makame Mbarawa atupishe kwanza.
kwa kosa gani?Habari Watanzania,

Sidhani kama wewe umewahi kufanya biashara yoyote inayotumia bandari zaidi ya kuja na negativity zile zile za kitanzania.Habari Watanzania,

Kwanini ufikirie wao kama waharibifu, vipi kuhusu uharibifu wetu wa tangu mwaka sitini na moja?. Punguza kuangalia mabaya tu.Inshu ni miaka 99 mkuu. Hivi wakiharibu ata mwanzo wa mkataba tuseme miaka 10 ya mwanzo kuna kifungu cha kufuta huo mkataba?
Yote kwa yote miaka 99 ni mingi sana wangefanya iwe angalau 25 kama wako fresh wanaongezewa kama ilivyokua kwa kina kalamangi
Mkuu huwezi kwenda mbinguni kama hukubali kufa. Huwezi kupata maendeleo bila ya kuwa na moyo wenye utayari wa kurisk.Kwanza hao waarabu mpaka wakapewa hiyo bandari palikuwepo na ushindani wowote? hapana haukuwepo, ni upendeleo tu.
Haya, baada ya hapo, hao jamaa wamepewa hiyo bandari waiendeshe kwa miaka mia moja, huu nao ni muendelezo wa upendeleo, yani Rais ametoa zawadi bandari yetu kwa ndugu na rafiki zake kwa miaka mia moja.!!
Maana yake ni kwamba, huu ujinga wa huyu Rais tuliyenaye, maumivu yake yatasikiwa na vizazi viwili vya watanzania, huyu kiumbe anastahili laana, hakika alaaniwe.
Kila siku tunasema huwa hapendi kuhangaisha kichwa chake, yupo kama mwanasesere tu anayesikiliza watendaji wake kwenye kila jambo, wajinga wanamsifia, mama anafungua nchi, haya sasa ameenda kuwafungulia ndugu zake kwa miaka mia moja ijayo, naamini wapuuzi wanashangilia huko walipo.
Akili za kizwazwa ndizo hizi. Jikite kwenye hoja zenye mantiki achana na huu upuuzi wa ubaguzi. Unayajua madhara ya ubaguzi?.Sasa yeye na mkubwa wake siyo watanganyika unategemea mali za Tanganyika zibaki salama? huu ndo upuuzi wa siasa za nchi hii......inakuwaje mzanzibari anakuja kutawala Tanganyika na watu wanaona ni jambo la kawaida? tulieni tu kuni zituwakie...
Jeshi ni chama kinaitwa CCM ...hilo weka kichwani kuing'oa CCM madarakani ni mpaka ndani ya jeshi kufanyike uhasi fullstop zingine ni ngonjera. So kulitegemea jeshi kututetea sahau. Hapa namaanisha kila chombo cha ulinzi na usalama yaani vyote ni chama.Mtafanya nini na mapengo yenu?
Mtamng'oa nani wakati hamkumpanda ninyi?
Kuna vitu hamtakuja kuviweza hivihivi ikiwa hamna vyombo vizuri vyakuwatetea, kama nchi inaenda mrama na jeshi lipo tu Moja kwa Moja mi binafsi lawama ntalipelekea lenyewe!
Humu mtakuwa keyboard warrior tu upige kura baada ya hapo unanguvu gani yakumuondosha?
Tujitafakari upya.
Sio ccm ni wewe mwananchi, maana umekaa tu huna cha kufanyaCCM inauza nchi hivi hivi Kwa waarabu