Profesa Makame Mbarawa anatushinda kumng'oa?

Yaaan CCM HIKI CHAMA NI UCHAFU WA CHOONI KABISA WENYE FUNZA NA KUNUKA NI CHAMA MZOGA SANA RAIS NAE YUPOBIZE NA FEI TOTO NA KUWAPA WAGU PESA ZETU WALI NA KACHUMBAGI NA ENERGY DRINK WAKAJI BOOST WANAUME WA DAR WAKATI INCHI INALIWA KMA NA MCHWA
 
Mkuu siyo Mbawala! Huyo unamwonea bure,anafanya yale aliyotumwa na bosi wake.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Mtafanya nini na mapengo yenu?
Mtamng'oa nani wakati hamkumpanda ninyi?

Kuna vitu hamtakuja kuviweza hivihivi ikiwa hamna vyombo vizuri vyakuwatetea, kama nchi inaenda mrama na jeshi lipo tu Moja kwa Moja mi binafsi lawama ntalipelekea lenyewe!

Humu mtakuwa keyboard warrior tu upige kura baada ya hapo unanguvu gani yakumuondosha?

Tujitafakari upya.
sure mkuu, shida ni jeshi letu....
 
Upuuzi.
Wakati Kikwete anagawa gesi kwani wabunge wa upinzani hawakuwepo kututetea?

Wakati Kikwete anataka kugawa bagamoyo kwani hao wapinzani hawakuwepo bungeni? Kwa nini wasingetutetea wakati huo?

Ni ufinyu wa mawazo kumlaumu Magufuli (rip) kwa kosa linalofanywa na Samia. Let's be logical.
Angalau gesi tunaiona na inatumika katika miradi ya hapa kwetu kama kuzalisha umeme Kinyerezi I, II, III n.k. Bagamoyo ni eneo tu hata wageni wakija watajenga wao Bandari halafu sisi tutaitumia kwa faida yetu ikiwemo kuleta ajira kwa watu wetu n.k, hawawezi kuondoka nayo. Lakini hili la Bandari ya Dar, kupewa Mwarabu geti namba 5 hadi 8 kwa miaka 100, tena tukiwa tumetoka kuikarabati juzi juzi tu, halafu wabunge waliobebwa kwa nguvu na Magu na kupelekwa Bungeni wanapitisha tu hilo kama mazuzu? Hapa kweli JPM alitukosea kutuletea watu wa namna hiyo, atubu tu huko aliko kwa kweli.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Habari Watanzania,

Binafsi nimeamini Prof. Mbarawa hafai kuwa mtumishi katika kiwango cha Uwaziri katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni waziri muoga, waziri picha tu. Ni Profesa aina ya le profeseri, yani yupo kama hayupo, na mambo mengi ya kuudhi na kuuza nchi hufanyika akiwa tuli kama kunyoa kichwa cha mwendawazimu.

Sasa hivi naamini hata Marehemu JPM alikuwa sahihi kumtimulia mbali pasi hata na kueleza sababu za kumtimua.

Ufafanuzi wa TPA kuhusu kuuzwa bandari ya Dar es Salaam (usiniambia eti kukodisha). Ukishakuwa umepewa sehemu kwa miaka 99, hapo umeuziwa, ndio uhalisia. Yani two good generation gonna live with the same contract and ownership, hata Mangugo alikuwa anafikiria sawasawa.

Kwa msioijua bandari ya Dar es Salaam, nawamegea kidogo.

Hao DP World wamepewa gati namba 5 mpaka 8.

Hayo ndiyo magati ambayo tangu enzi za Kikwete na JPM yamekuwa yakiendelezwa sana. Tena kwa gharama kubwa za serikali. Ambacho hakikuwa kikifanyika ni uwekaji wa mitambo ya kisasa tu, ila upanuzi na ujenzi umetumia fedha nyingi sana za serikali.

Mfano gati namba 5, 6, 7, 8 huku ndio asilimia 90 ya mizigo yote ya bandari ya Dsm imekuwa ikishushwa miaka yote.

Ishu ya kusema eti hakuna mkataba, ni uongo, iweje tujue wamepewa eneo hilo. Hicho ni nini?

Kama hawa DP World ni wakombozi wetu hivyo, kwanini wasipewe gati namba 1 hadi 4?!

Waendelee hapo, tuone ukongwe wao.

Miaka 99, akili au matope?

Tupige kura hapa Prof. Makame Mbarawa atupishe kwanza.
Ulishang'oa wazir yupi
 
Afungiwe jiwe atupwe baharini, akaopolewe kule kwao.
 
Evolution from Hangaya to Mangungo.
 
Mbona wanauza vya Tanganyika tu ?
 
Badala ya kwenda Dubai kujifunza, wameenda Dubai kuuza nchi.
 
Kosa ni la Sa100, huyo sijui Prof hahusiki...kwa ujumla wasaidizi wa Sa100 wamemzidi akili!.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Madhara ya Sera za Mwendazake! Aliua Upinzani kwa Ukatili Mkubwa! Na yeye mwenyewe kafa!

Lakini ametuachia Bunge la ma-CCM lisilochaguliwa na Wananchi, ni Bunge lisilotetea Wananchi!

Kwa Bunge hili dhaifu ma-CCM yameamua kugawana Mbao! Bunge litajadiri na kupitisha Nchi kuuzwa!
Mkataba umesainiwa dubaojata hao wabunge walikua wanaona tu Kama sisi
 
Nimegundua kila mtu awe waziri upande wake Mbarawa hana uchungu na bara sababu anatoke upande wa pili. Ni kuuza tuu 99 siyo mchezo ujue.
Mbarawa lipo juu ya uwezo wake hili. Sifa zilikua za raisi kusaini mikataba 36 huko Dubai, basi lawama pia zinapaswa kuwa kwake
 
Hapa Washauri wa Mhe Rais wamechemka sana.
Watu kulalamikia Weredi wa Usalama wa Taifa wakati mwingine inafika hatua unaelewa , saa mikataba ya kijinga kama hii haikupita hata Bungeni Rais kaenda kumwaga wino ndio nini sasa [emoji848]
Washauri wanaenda na upepo wa boss
 
Madhara ya Sera za Mwendazake! Aliua Upinzani kwa Ukatili Mkubwa! Na yeye mwenyewe kafa!

Lakini ametuachia Bunge la ma-CCM lisilochaguliwa na Wananchi, ni Bunge lisilotetea Wananchi!

Kwa Bunge hili dhaifu ma-CCM yameamua kugawana Mbao! Bunge litajadiri na kupitisha Nchi kuuzwa!
Hili halina utetezi, Mungu tu amsamehe kwakua hakujua atendalo...Yeye alidhani ataishi milele?
 
Kosa ni la Sa100, huyo sijui Prof hahusiki...kwa ujumla wasaidizi wa Sa100 wamemzidi akili!.

Hawa wanaomshauliwa Rais bila shaka wanatumika , Wararyshwa kwa manufaa ya Vizazi vyao tu, ubinafsi tu huu
 
Madhara ya Sera za Mwendazake! Aliua Upinzani kwa Ukatili Mkubwa! Na yeye mwenyewe kafa!

Lakini ametuachia Bunge la ma-CCM lisilochaguliwa na Wananchi, ni Bunge lisilotetea Wananchi!

Kwa Bunge hili dhaifu ma-CCM yameamua kugawana Mbao! Bunge litajadiri na kupitisha Nchi kuuzwa!
Mbona Huna akili hivyo? Raisi ndiye alienda Dubai kuandaa huu mkataba, siyo bunge. Bunge limeletewa tu.
 
Binafsi naunga mkono ubinafsishaji wa bandari.

Mnaopiga kelele ni kwamba ama ni wezi au mnatumika na wezi, ambao wana hofu ya kupoteza ugali wao.

Mbona hatuoni tija ya bandari miaka yote hii?
Asilimia 30 ya mapato ya ndani yanatokana na bandari
 
Hii wizara siyo ya Muungano kama wanataka kubinafsisha bandari kwanini wasibinafusishe ya kwao suluhu ni kuwa na serikali ya Tanganyika
 
Back
Top Bottom