Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imma maboko mtt wa prof maboko kafariki jana Kwa ajali
R.I.P Prof Masuha.hatuta kusahau kamwe.Habari zilizotufikia hivi punde zinasema PROFESA MASUHA aliekuwa kitengo cha MECHANICAL COET amefariki dunia asubuhi ya leo.
source: MTOTO WAKE
Wanafunzi wa ME watapumua kidogo kukamatwa! RIP Prof!
Kwenye mwaka wetu I was the Best student in Production Engineering, na ndiye aliyetufundisha mkuu (mwaka wa pili).
RIP prof .............!
Kukamatwaje ?
Grow up man....which tribe are u from...kwa kina prof Tiba nn...there is no need of all this crup!u a contribution to the society is needed +making money..ok!
grow up man....which tribe are u from...kwa kina prof tiba nn...there is no need of all this crup!u a contribution to the society is needed +making money..ok!
Mungu ailaza roho yake mahali pema peponi, Amin
Aliyekuwa DrImma maboko mtt wa prof maboko kafariki jana Kwa ajali
What??wapiiiAliyekuwa Dr
Aliyekuwa Dr
Uwa unasema ulisoma Mlimani ulimaliza mwaka gani?What??wapiii
tena sio zamani nasikia! dadangu mkubwa ndio alisoma naye mlimani primry, nilikutana naye majuzi ndio kuniambia hizo habari,
Hata sijui ndo nasoma hapa mkuu.mkuu hii ni kweli?