TANZIA Profesa Masuha wa UDSM afariki dunia

TANZIA Profesa Masuha wa UDSM afariki dunia

Huyo shinto ni mpu.mbavu kweli,yan watu wanahuzunika na wewe unawaza kukamatwa???Fikiri kaka na sio kuongea tu
 
Kwenye mwaka wetu I was the Best student in Production Engineering, na ndiye aliyetufundisha mkuu (mwaka wa pili).

RIP prof .............!

Grow up man....which tribe are u from...kwa kina prof Tiba nn...there is no need of all this crup!u a contribution to the society is needed +making money..ok!
 
Grow up man....which tribe are u from...kwa kina prof Tiba nn...there is no need of all this crup!u a contribution to the society is needed +making money..ok!

Acha wivu wa kike
 
PUMZIKA KWA AMANI PROF MASUHA mbele yako nyuma yetu.
 
grow up man....which tribe are u from...kwa kina prof tiba nn...there is no need of all this crup!u a contribution to the society is needed +making money..ok!

kimekuuma nini wewe.....acha wivu.....yes i was the best in prod. Eng.....sema jingine
 
dah huyu Prof nilisoma na mwanaye Nkonze O-level Azania. Ni muda sasa tangu afariki ingawa ndio naiona hii taarifa sasa. Pole nyingi sana kwa familia yake na wote waloiguswa na msiba wake. Apumzike Kwa Amani!
 
Back
Top Bottom