Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tangu Prof. Kamuzora aangukiwe na mti pale gymkana mpaka leo idadi imekuwa kubwa.Juzi Preofesa Wambali,leo Masuha amakweli Dunia tunapiita.
RIP prof.
Mimi alikua dean wangu enzi za FOE.
R.I.P Prof! Serikali ijifunze, hii tabia ya kuwapa mikataba ya kudumu wazee wetu utafikiri walizaliwa wakiwa Maprofesa wanawachosha sana matokeo yake ndiyo haya vifo vinawakuta na kuacha pengo kubwa sana kwenye vitivo vyao.
Dah basi mkuu wewe ni wa zamani sana,,Maana huyu Mzee alikua Dean kipindi hicho Foe Mwaka 1985 1991 kama sikosei then akawa Dean tena 1997 2000.Mimi nimeondoka palen CoET Principal wetu alikua Prof Katima sijui bado yupo naye??RIP prof.
Mimi alikua dean wangu enzi za FOE.
watu wengine kwa mbwembwe: best student in ......halafu ukaishia wapi?Kwenye mwaka wetu I was the Best student in Production Engineering, na ndiye aliyetufundisha mkuu (mwaka wa pili).
RIP prof .............!
Mbona Ma-Profs UDSM wanadondoka kama majani ya mkungu wakati wa kiangazi! LOL.
Pamoja na uzee wangu nilianza kumsikia huyo Prof nikiwa kidato cha pili,nilisoma na mdogo wake aliyehamia shuleni kwetu akitokea AzaniaDah basi mkuu wewe ni wa zamani sana,,Maana huyu Mzee alikua Dean kipindi hicho Foe Mwaka 1985 – 1991 kama sikosei then akawa Dean tena 1997 – 2000.Mimi nimeondoka palen CoET Principal wetu alikua Prof Katima sijui bado yupo naye??
R.I.P Prof. John R. Masuha
Acha mapepe wewe huo ni ushindi wangu na kuwezeshwa na Prof, acha wivu na bado nipo vzr vitoto vingine bhana ...watu wengine kwa mbwembwe: best student in ......halafu ukaishia wapi?