TANZIA Profesa Masuha wa UDSM afariki dunia

TANZIA Profesa Masuha wa UDSM afariki dunia

RIP....prof.!! waambieni wanasiasa wenye kihereher kwamba "one day one time yes"
 
RIP Prof. Nakumbuka sana uweledi wako hasa kwenye somo la production Engineering-Cutting forces and Gear trains nikiwa second year 1999
 
poleni wafiwa. Huyu prof. hakuwa mnafiki kwenye ukweli hatetei utawala, nakumbuka mwaka 1998 akiwa dean FOE walitofautiana na VC prof. Luhanga kwaajili ya kuwa suspend wanafuzi yeye aliwatetea sana wanafunzi pale FOE kwavile makosa yalikuwa ya chief academic officer mama mmoja hivi.
 
R.I.P Prof! Serikali ijifunze, hii tabia ya kuwapa mikataba ya kudumu wazee wetu utafikiri walizaliwa wakiwa Maprofesa wanawachosha sana matokeo yake ndiyo haya vifo vinawakuta na kuacha pengo kubwa sana kwenye vitivo vyao.
 
Juzi Preofesa Wambali,leo Masuha amakweli Dunia tunapiita.
tangu Prof. Kamuzora aangukiwe na mti pale gymkana mpaka leo idadi imekuwa kubwa.
Tuombe watokee wengine tusijejikuta tunakosa instructors.
R.I.P

Kukamata watu ni sifa? Maprof wa kibongo wengi hufa without any recognition! Wanafanya mapenzi ovyo na wanafunzi wa kike,hawana mchango wowote kwa taifa,wamejaa kiburi kwa kukariri mambo!Hata wafe wote maana hatuoni mchango wao zaidi ya kufrustrate watu na kubwabwaja maneno ovyo
 
RIP
ndugu mataifa yaliendelea huwathamini sana wanazuoni waliobobea kama hawa
hata wakistaafu bado huendelea kufanya kazi.
mimi nimesimamiwa thesis yangu na prof ana miaka 72 na yuko fit kichwani
bado wanahitajika sana kwa taifa lenye maprof wachache kama kwetu.
R.I.P Prof! Serikali ijifunze, hii tabia ya kuwapa mikataba ya kudumu wazee wetu utafikiri walizaliwa wakiwa Maprofesa wanawachosha sana matokeo yake ndiyo haya vifo vinawakuta na kuacha pengo kubwa sana kwenye vitivo vyao.
 
RIP prof.
Mimi alikua dean wangu enzi za FOE.
Dah basi mkuu wewe ni wa zamani sana,,Maana huyu Mzee alikua Dean kipindi hicho Foe Mwaka 1985 – 1991 kama sikosei then akawa Dean tena 1997 – 2000.Mimi nimeondoka palen CoET Principal wetu alikua Prof Katima sijui bado yupo naye??
R.I.P Prof. John R. Masuha
 
Kwenye mwaka wetu I was the Best student in Production Engineering, na ndiye aliyetufundisha mkuu (mwaka wa pili).

RIP prof .............!
watu wengine kwa mbwembwe: best student in ......halafu ukaishia wapi?
 
Dah basi mkuu wewe ni wa zamani sana,,Maana huyu Mzee alikua Dean kipindi hicho Foe Mwaka 1985 – 1991 kama sikosei then akawa Dean tena 1997 – 2000.Mimi nimeondoka palen CoET Principal wetu alikua Prof Katima sijui bado yupo naye??
R.I.P Prof. John R. Masuha
Pamoja na uzee wangu nilianza kumsikia huyo Prof nikiwa kidato cha pili,nilisoma na mdogo wake aliyehamia shuleni kwetu akitokea Azania
 
Back
Top Bottom