Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
Gas alishauziwa mchina tuna chini ya asilimia 40 kwenye gas yetu anachotaka huyu mpuuzi ni tuingie mikataba na wachina watuuzie gas YETU naona ashaitwa pembeni na macho kengeza ...GAS TULISHALIWA KICHWA KITAAAMBO
Hivi Ethiopia na Misri ule mgogoro umeisha
Gesi tunayo Maji nayo bwelelee sasa nikuangali gharama za ujenzi na enviromental impact ya ya hiyo miradi miwili
Magufuli kakupeleka wapiDuniani kote mabwawa yanajengwa. China, Ethiopia, Uganda, Brazil etc. Hawa wanajiita wasomi ndiyo wamefanya hadi leo tupo kwenye umaskini. Si wakusikilizwa.
Hao ndiyo wana ccm wenye akili siyo kama wewe shehe ubwabwaKwa hiyo wewe profesa ulietetea wizi wa fedha za Escrow kwa nguvu nyingi mpaka ukatukana watu ni matumbili leo hii unapata wapi ujasiri wa kutuambia watanzania kuwa umeme maji unachelewa kuanza kuzaa faida na umepitwa na wakati?
Kwa hiyo huko Usa na China ambazo ni nchi zilizoendelea kwa kila namna wanapojenga Hydropower stations au kuendelea kutumia HEP kuzalisha umeme ni watu wasio na uelewa wa mambo?
Lini ilishawahi kutokea kupata nishati kama umeme ikawa ni fasheni ya kudai HEP imepitwa na wakati na sasa tutumie gas? Au unaleta dharau zako?
Hasira za wewe kufukuzwa uwaziri kisa tu ulishazoea kupiga madili makuwa hapo wizara ya nishati isiwe sababu ya kutuharibia mipango ya kukamilisha JNHPP. Kaaa kimya uendelee kutafuna posho za Escrow.
Huyu hapa anajiandaa kuja kumkomesha.Muhongo njoo usikie mtu asiye na "Elimu" anavyokusema vibaya huku. Njoo umkomeshe kama ulibyomkomesha yule Tumbili.
Waramba viatu wa jiwe sasa hivi mnagombana na kila mtu maana mmjejawa na stressMadhara ya kufikiri kwa kutumia akili ndogo.
Mataga lazima muhamie makwenu hasa burundiWamemuita aje, ngoja tumsubiri.
Kainua pua baada ya kiboko yake kuzama shimoniMitambo mibovu kama nn. Uendeshaji wke ni wa gharama kuliko kawaida imagine spea unatafuta USA na haiwez fika kw wakat.
Muingo atulie tu aache uongo.
Toka aondolewe uwazir hajawai ongea kitu leoo ndioo anaibukaaa...
Prof. Muhongo hajawahi kumuita mtu tumbili angalia facts zako.Kwa hiyo wewe profesa ulietetea wizi wa fedha za Escrow kwa nguvu nyingi mpaka ukatukana watu ni matumbili leo hii unapata wapi ujasiri wa kutuambia watanzania kuwa umeme maji unachelewa kuanza kuzaa faida na umepitwa na wakati?
Kwa hiyo huko Usa na China ambazo ni nchi zilizoendelea kwa kila namna wanapojenga Hydropower stations au kuendelea kutumia HEP kuzalisha umeme ni watu wasio na uelewa wa mambo?
Lini ilishawahi kutokea kupata nishati kama umeme ikawa ni fasheni ya kudai HEP imepitwa na wakati na sasa tutumie gas? Au unaleta dharau zako?
Hasira za wewe kufukuzwa uwaziri kisa tu ulishazoea kupiga madili makuwa hapo wizara ya nishati isiwe sababu ya kutuharibia mipango ya kukamilisha JNHPP. Kaaa kimya uendelee kutafuna posho za Escrow.
Niwakati taifa liwe na sera inayofuatwa na kila Rais. Kikwete na Nduguye Muhongo walisema sera sasa ni umeme wa gas.
Magufuli na Ndugule Kalemani wakatukarudisha kwenye hydropower/maji.
Naona dalili za Samia S kuja ni kona nyingine. Usishangae akaja na umeme wa nyukilia. Maana hata majirani zetu wameanza study ya umeme wa Nyukilia.
Nimeona huko dunia kila nchi inachanzo chake kikubwa cha umeme ikitegemea na geography na raslimali zake.
Ongea tu kiswahili bana ! Kiingereza hujui!
"He is gone"× ?!!!!!!! ni " He has gone"√
Nani aliouza Gesi yetu?Hatuna gas kijana , iliyopo ilishauzwa kw amikataba ya kina mangungo.
Muhongo mwenyewe amepitwa na wakati, he is himself rubbishLeo nimeshituka kusikia maneno ya Professor Muongo (Mtaalamu wa Nishati) akisema umeme wa Maji sasa Umepitwa na wakati na Uchumi ni Umeme wa Gesi.
Huenda ni kweli ujenzi wa Hydro Electric Power Plant ukawa na gharama mwanzoni na sio kila nchi / sehemu inaweza ikawa na HEP sababu lazima kuwe na viable infrastructure.
Ila ni ukweli usiopingika kwamba umeme wa maji ni renewable (yaani unaweza ukazalishwa tena na tena na tena) Gesi unless otherwise ni Biogas basi uchimbaji wa gesi sio renewable... Nisiwachoshe kuna hii article hapa chini kuhusu gharama ya renewables na umeme wa maji bado ni cheaper... as of 2017 nadhani hii 2021 hali haijabadilika sana
Hydropower remains the lowest-cost source of electricity globally - Factor This™
At US$0.05/kWh, hydroelectricity remains the lowest-cost source of electricity worldwide, according to a recent report by the International Renewable Energy Agency, entitled Renewable Power Generation Costs in 2017.www.hydroreview.com
Ee kipindi cha JKEnzi ya gas yetu kuuzwa huyu si ndo alikuwa waziri wa nishati na madini?
Kwa kazi ipi ya Maana alowahi kuisimamia ikaleta matokeo chanya??Kwa CV yake tu huyu Profesa, Uweledi wake, Uzoefu wake na Uwezo wake mkubwa wa Akili nakubaliana nae tena kwa 100% juu ya huu Mtazamo wake.
Ni Rais Mpumbavu tu pekee ndiyo hatotaka kufanya Kazi na Mtu very competent kama Profesa Muhongo ambaye hata Mataifa Makubwa na yaliyotuzidi kila Kitu hadi Akili walifanya nae Kazi na sasa wanamtumia pia kama Independent Consultant katika Masuala ya Madini na Jiolojia pia.
Majungu dhidi yake hayasaidii ni Upuuzi.
Unamjua Muhongo au unakuja na ushabiki maandazi?Kwa CV yake tu huyu Profesa, Uweledi wake, Uzoefu wake na Uwezo wake mkubwa wa Akili nakubaliana nae tena kwa 100% juu ya huu Mtazamo wake.
Ni Rais Mpumbavu tu pekee ndiyo hatotaka kufanya Kazi na Mtu very competent kama Profesa Muhongo ambaye hata Mataifa Makubwa na yaliyotuzidi kila Kitu hadi Akili walifanya nae Kazi na sasa wanamtumia pia kama Independent Consultant katika Masuala ya Madini na Jiolojia pia.
Majungu dhidi yake hayasaidii ni Upuuzi.
Duniani kote mabwawa yanajengwa. China, Ethiopia, Uganda, Brazil etc. Hawa wanajiita wasomi ndiyo wamefanya hadi leo tupo kwenye umaskini. Si wakusikilizwa.
Ukiifunga akili kwa kutazama mazingira ya pale bwawani pekee utaona hali ipo hivyo, lakini ukiifungua na kuboresha mazingira kule yanakotokea maji na hasa Njombe, Iringa, Mbeya na Morogoro itawezekana kabisa kuwa na maji ya kutosha mwaka mzima,Mleta mada unachanganya concepts za “renewable” na “sustainable”. Umeme wa maji ni salama kwa mazingira kwa maana hauna carbon footfrint lakini sio sustainable kwa kuwa maji yanapungua kadiri muda unavoenda (global warming). Mradi ule umeleta uharibifu mkubwa wa mazingira na kwa kuwa mazingira ni chanzo cha maji - huenda mradi mzima ukaja kuwa ni hasara kubwa sana.
Tulipaswa kujikita kwenye gesi! Prof. Muhongo yuko sahihi.