Profesa Muhongo: Uchumi wa sasa duniani ni umeme wa gesi, umeme wa maji umepitwa na wakati

Kwanini hakuyasema kabla ya kuanza mradi, unashauri sasaivi ili tufanyeje? hawa maprof. nashauri waanze chekechea upya Elimu yao tunasema Ajwaa
 
Wako busy na Bogus Treaty ,,,mabepari wanaupiga mwingi sanaaa hapaa baada ya JPM kutoka.... pande linapigwa kwa Mangungo wa Msoveroo... sijui atafunga Au atapaisha safari hii

Au tutapata penati ya mwisho dakika za nyongeza... kwako Mwalimu Kashashaaa...
 
Si walikuwa madalali wa kutuletea makampuni watuuzie umeme

Ova
 
ndio maana tunawashangaa nyinyi wenzetu ni wa kumsifia mama leo hii[emoji85][emoji85]

Tungemponda kwa kuachana na siasa za kidhalimu za jiwe hapo ndio ingekuwa tatizo. Sasa kumsifia yeye kuachana na siasa tulizokuwa hatuzitaki kuna shida gani? Labda kama hujui unajadili nini.
 
Ukisikia profesa mjinga ndio huyu,kule Ethiopia wamejenga bwawa la maji hivi karibuni na hata China wamejenga bwawa kubwa kwenye mto wao mkubwa wa kijani Yang tze (nimesahau hata jina) huyu ana husuda tu na legacy ya Magufuli ndio walwale wa Msoga Clan,mwizi mkubwa.
 
Si walikuwa madalali wa kutuletea makampuni watuuzie umeme

Ova
Umenena mkuu sasa mirija ilikatwa wao na Msoga Clan tunawaona wanarudi polepole, Makunduchi wawe macho lasivyo unga utazidi maji asipoangalia
 
Mnajiandaa kwa pre-plan sabotage.
 
Mfilisi wa wanyonge alikuwa anaenda kinyume na dunia.Ilifaa atawale miaka ya 70.
 
Umenena mkuu sasa mirija ilikatwa wao na Msoga Clan tunawaona wanarudi polepole, Makunduchi wawe macho lasivyo unga utazidi maji asipoangalia
Ilikatwa ikaelekezwa kwa sukuma gang
 
Rudi QT wakakufundishe kuandika kwanza, jukwaa hili siyo size yako
 
Huyu profesa maslah huenda akawa na hisa kwenye gesi
 
Serikali ijipange kisawasawa na kuwekeza nguvu kuendeleza miradi yote kuanzia gesi na sgr.

Mkataba wa bandari ya Bagamoyo upitiwe upya na kuwekwa wazi, ukionekana kuwa na manufaa na ustawi kwa taifa nao uwe kwenye mipango ya nchi
 
Umenena mkuu sasa mirija ilikatwa wao na Msoga Clan tunawaona wanarudi polepole, Makunduchi wawe macho lasivyo unga utazidi maji asipoangalia
Kwenye hilo mama akaze mradi wa rufiji ukamilike
Naona kuna wapiga dili washaanza kuongea

Ova
 
weka link sio maneno yaso na ushahidi.

And

 
Nchi gani ya EU wanayotumia Gas kuzalishia umeme
 
Gas si mliwauzia mabeberu nyie wahuni? washezi wakubwa. hakuna jitu la hovyo kama hili jitu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…