Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si walikuwa madalali wa kutuletea makampuni watuuzie umemeMuhongo huu mradi alianza kuupinga siku nyingi toka akiwa waziri wa nishati. Alisema naji hayatoshi. Ila kwa unafiki wake alienda kuzindua mradi wa umeme wa maji Rusumo.
Mi napingana na huyu mnafiki, kwanza duniani kote, kuanzia Uganda, Ethiopia, China hadi Brazil mabwawa ya kuzalisha umeme yanajengwa sana. Mto Congo unaweza zalisha umeme wa kutosha Africa nzima na kwa bei ya chini kabisa.
Pili Muhongo hana data za sasa zinazoonyesha kuwa huo mradi hauna faida. Watz tusiwasikilize sana hawa wasomi wetu, ndiyo wasababishi wa umaskini tulio nao leo, wengi wao ni educated fools.
ndio maana tunawashangaa nyinyi wenzetu ni wa kumsifia mama leo hii[emoji85][emoji85]
Ukisikia profesa mjinga ndio huyu,kule Ethiopia wamejenga bwawa la maji hivi karibuni na hata China wamejenga bwawa kubwa kwenye mto wao mkubwa wa kijani Yang tze (nimesahau hata jina) huyu ana husuda tu na legacy ya Magufuli ndio walwale wa Msoga Clan,mwizi mkubwa.Akichangia katika mpango wa maendeleo wa Serikali bungeni amesema anashangaa watu wanavyohangaika na umeme wa maji na huku dunia ya sasa ni umeme wa gesi
Uchumi wa sasa duniani ni umeme wa gesi, umeme wa maji umepitwa na wakati.
Mbunge wa Musoma Vijijini Profesa Sospeter Muhongo amesema uchumi wa gesi pekee ndiyo utakaoifikisha Tanzania kwenye uchumi thabiti.
Profesa Muhongo ametoa kauli hiyo wakati akichangia kwenye mpango wa Serikali leo Aprili 9,2021 bungeni Jijini Dodoma
Waziri huyo wa zamani wa Wizara ya Nishati na Madini amesema Tanzania kuendelea kuwaza kuhusu madini yaliyopo ni kuchelewa huku akikosoa mawazo ya kutegemea uzalishaji wa umeme mkubwa kwa kutumia maji.
Amesema Tanzania inatakiwa ijikite katika matumizi ya umeme mchanganyiko badala ya kutegemea mabwawa ya Maji ambayo wakati wowote yanaweza kukauka.
"Kuwekeza katika umeme wa maji halafu unasema utaleta fedha, huko ni kujidanganya kwani umeme wa maji huchukua muda mrefu kuanza kutoa faida, huko wenzetu wamepita wanafanya mambo kisasa” amesema Profesa Muhongo.
Amesema dunia ya sasa imegeuka na madini mengi yanayotarajiwa Tanzania yapo lakini wengine wameelekeza kwenye dhahabu, Tanzanite na madini mengine ya zamani lakini wanaacha kuangalia madini mapya ambayo yataliingizia Taifa fedha nyingi.
NB: Baada ya Dkt. Magufuli kuondoka sasa kila mtu CCM rangi yake ya zamani imeanza kurudi
Hivi kweli mmeanza kupinga project ya Rufiji baada ya Dkt. Magufuli kudondoka
CCM acheni unafiki
Umenena mkuu sasa mirija ilikatwa wao na Msoga Clan tunawaona wanarudi polepole, Makunduchi wawe macho lasivyo unga utazidi maji asipoangaliaSi walikuwa madalali wa kutuletea makampuni watuuzie umeme
Ova
Mnajiandaa kwa pre-plan sabotage.Hii ni miradi inaitwa WHITE ELEPHANTS. Unaweza ukaimaliza lakini isikupe Desired Return on Investment.
Kwa mfano SGR hata ikimalizika kwenda huko Rusumo sijui ambako tuna target mzigo wa Rwanda, bado haina faida kwa vile throughout ya Rwanda ni less than 800k metric tons per annum.
Mzigo wa ndani ni very insignificant kwa vile Magufuli hakuwa na vision. Anajenga reli huku anaua sekta binafsi. Amefirisi akina Yusuf Manji, amewatisha kina Mo Dewji kwa kuwateka, amesababisha vifo vya akina Mufuruki na Shamte kwa chuki zake, Je anategemea local traders gani wasafirishe mzigo kwenye SGR?
Hiyo Stiglers Gorge ni upotevu wa Matrilioni ya hela tu kwa kuwa mabadiliko ya tabia nchi ndiyo adui mkubwa wa hydro electricity. Kamwe hawezi kupata hizo megawatt 2100 kama alivyotamba kwenye maradio na matv.
Ameshia kuharibu baioanuai ya selous tu na kuteremsha hadhi ya pori tengefu
Ilikatwa ikaelekezwa kwa sukuma gangUmenena mkuu sasa mirija ilikatwa wao na Msoga Clan tunawaona wanarudi polepole, Makunduchi wawe macho lasivyo unga utazidi maji asipoangalia
Kwani akuwaogopa wasiojulikanaKwanini hakuyasema kabla ya kuanza mradi, unashauri sasaivi ili tufanyeje? hawa maprof. nashauri waanze chekechea upya Elimu yao tunasema Ajwaa
MPIGA DILI HUYO.ANATAFUTA MAZINGIRA YA ULAJI. MAGU ATAKUMBUKWA MILELE NA ITAFIKA KIPINDI WATANZANIA WATAHITAJI MTU KAMA MAGUProf. Mhongo umeibukia wapi? Jpm akiwa hai ulikuwa wapi na hili wazo lako?
Rudi QT wakakufundishe kuandika kwanza, jukwaa hili siyo size yakomuda uliopoteza kujua r na l zinatakiwa zikae wapi,ungeutumia kwenye mambo mengine,usingekuwa hapa unajadili umuhimu wa umeme wa maji.
ni jitu jinga tu,ndio halijui hata gharama za uzalishaji wa umeme wa vyanzo vingine ila linajua matumizi ya r na l.
Huyu profesa maslah huenda akawa na hisa kwenye gesiUkisikia profesa mjinga ndio huyu,kule Ethiopia wamejenga bwawa la maji hivi karibuni na hata China wamejenga bwawa kubwa kwenye mto wao mkubwa wa kijani Yang tze (nimesahau hata jina) huyu ana husuda tu na legacy ya Magufuli ndio walwale wa Msoga Clan,mwizi mkubwa.
Kwenye hilo mama akaze mradi wa rufiji ukamilikeUmenena mkuu sasa mirija ilikatwa wao na Msoga Clan tunawaona wanarudi polepole, Makunduchi wawe macho lasivyo unga utazidi maji asipoangalia
weka link sio maneno yaso na ushahidi.
Rudi QT wakakufundishe kuandika kwanza, jukwaa hili siyo size yako
Nchi gani ya EU wanayotumia Gas kuzalishia umemeKusema ukweli Ni kwamba umeme unaozalishwa kwa kutumia maji huko kwa wenzetu wanaokimbia na muda hawana imani nao.
Ni bahati mbaya Sana sisi kwa kupitia viongozi wetu wakisiasa walituaminisha kua tu hu ndio mradi utakao tuvusha kumbe Ni vionjo vyao tu.