Profesa Muhongo: Uchumi wa sasa duniani ni umeme wa gesi, umeme wa maji umepitwa na wakati

Pole Mataga Mwendazake kesha tangulia na mipango yake wewe baki na propaganda
 
Kabla ya kumshambulia prof Muhongo embu tumsikilize point yake mbona kama anayo point fulani hivi ya kusema!!!
Kwakifupi ule mradi wa stiglers gorge tulikurupuka tumewekeza pesa karibia trillion 10 kwa mradi ambao ni unsustainable..... Heche aliwahi kushauri wakati fulani tukamuona kama mchochezi.
 
Eee Mungu tufanyie wepesi maana hatujui kwa sasa tunakoelekea maana kila mtu ni msemaji na mkosoaji
 
Prof muhongo anapoint sana ila kiukwel katika maendeleo ukisikiliza sana stakeholders na kuangalia sana risk huwez kufanikiwa..! The gud thing about JPM ni kwamba alikua anataka umeme so means gani imetumika hilo swala lingine lakini pia tujiulize investment ya kupata umeme kwa kitumia gas inacost kiasi gani?? I dont think that would be more cheaper than what we are doing at Rufiji. We do things in phases.

My take kwa sasa watanzania tunahitaji umeme wa uhakika kama walishindwa kushauri huko mwanzo wasubiri miradi mipya but hii iliyoanza lazma tuimalize.!
 
Unahaha ile mbaya yaani..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…