Profesa Muhongo: Uchumi wa sasa duniani ni umeme wa gesi, umeme wa maji umepitwa na wakati

Huyu nae anaongea kama mlevi aliyechanganyikiwa, yaani umeme renewable wa maji unasema umepitwa na wakati!!??? Dunia yote kwa sasa inapambana na global warming kwa kutumia ‘renewable sources of energy’, hasa hasa maji, pia bila kusahau umeme wa maji ndio wa bei nafuu kuliko njia zingine za uzalishaji umeme, mshenzi sana huyo mzee!
 
Wanasema ukweli.

Umeambiwa na CAG upembuzi yakinifu ulifanywa miaka ya 70. Haukufanywa mpya kujiridhisha kwamba mradi una manufaa makubwa kiuchumi. Tatizo lenu munawaza kizamani!

Zingatia hoja ya mtu. Siyo kupinga tu.
Hakuna anayepinga,kwa nini hakusema awali kabla ya marehemu,ili marehemu amsikilize ushauri wake
 
Akichangia katika mpango wa maendeleo wa Serikali bungeni amesema anashangaa watu wanavyohangaika na umeme wa maji na huku dunia ya sasa ni umeme wa gesi

Uchumi wa sasa duniani ni umeme wa gesi, umeme wa maji umepitwa na wakati.

Mbunge wa Musoma Vijijini Profesa Sospeter Muhongo amesema uchumi wa gesi pekee ndiyo utakaoifikisha Tanzania kwenye uchumi thabiti.

Profesa Muhongo ametoa kauli hiyo wakati akichangia kwenye mpango wa Serikali leo Aprili 9,2021 bungeni Jijini Dodoma

Waziri huyo wa zamani wa Wizara ya Nishati na Madini amesema Tanzania kuendelea kuwaza kuhusu madini yaliyopo ni kuchelewa huku akikosoa mawazo ya kutegemea uzalishaji wa umeme mkubwa kwa kutumia maji.

Amesema Tanzania inatakiwa ijikite katika matumizi ya umeme mchanganyiko badala ya kutegemea mabwawa ya Maji ambayo wakati wowote yanaweza kukauka.

"Kuwekeza katika umeme wa maji halafu unasema utaleta fedha, huko ni kujidanganya kwani umeme wa maji huchukua muda mrefu kuanza kutoa faida, huko wenzetu wamepita wanafanya mambo kisasa” amesema Profesa Muhongo.

Amesema dunia ya sasa imegeuka na madini mengi yanayotarajiwa Tanzania yapo lakini wengine wameelekeza kwenye dhahabu, Tanzanite na madini mengine ya zamani lakini wanaacha kuangalia madini mapya ambayo yataliingizia Taifa fedha nyingi.

NB: Baada ya Dkt. Magufuli kuondoka sasa kila mtu CCM rangi yake ya zamani imeanza kurudi

Hivi kweli mmeanza kupinga project ya Rufiji baada ya Dkt. Magufuli kudondoka

CCM acheni unafiki
Mbona sijasoma lolote la maana kuhusu umeme wa maji kutokuwa na manufaa? Ni huko kukauka kwa maji, basi?
Mimi nadhani labda kuna mengine aliyosema ya maana zaidi ambayo mleta mada hakuyaweka.

Ndio, umeme wa vyanzo mchanganyiko ni muhimu, na ndio sababu nzuri ya kuwa na pamoja na wa huo wa maji.

Umeme wa maji ni nafuu zaidi, kwa kila unit kuliko chanzo kingine chochote cha chanzo cha umeme.

Gesi si ipo? Kwani imekatazwa kwamba haitatumika kamwe wakati ikihitajika?

Sasa hilo la madini nalo vipi?

Anataka madini gani yachimbwe? Nickel, graphite, Rare Earths? Halafu iweje? Si hivyo tayari yanasombwa?
Chuma kinaendelea kupoa tu huko ardhini, hakuna anayekizungumzia. Mkaa wenyewe sasa tutaambiwa tusiuchimbe na kuutumia kabisa, vinginevyo tutawekewa vikwazo. Dunia si ndiyo hiyo?

Ningemwelewa vizuri sana kama angehimiza uwekezaji wa kuyaongezea thamani madini hayo hapa hapa nchini. Hili ndilo liwekewe mkazo zaidi katika kutafuta wawekezaji wa kutengeneza vifaa/vyombo vinavyotokana na madini hayo hapa hapa nchini.

Mkakati wa kuwasomesha wataalam wetu wawe na uwezo wa kufanya kazi katika makampuni hayo ya uwekezaji kwenye maeneo hayo

Helium na yenyewe sasa itabebwa cheee, kwa usimamizi wa akina Ndugai...

Tanzania tuna hasara ya kukosa uongozisana!
 
Huwezijua kama kibuyu walichofungiwa kimepasuka, au VP.
 
Ila alichosema ni ukweli..karne hii kuanza kuangaika na umeme wa maji ni kupoteza muda tu
Umeme wa maji ni renewable, cheap na environment friendly, dunia yote inaachana na fossil fuels na kwenda kwenye renwables, hata magari ya miaka ijayo yatakua ya umeme, si fossil fuels. Sasa sijui unapata faida gani unapotoa ubongo kichwani na kujaza funza
 
Watu wanatetea matumbo yao,lilianza liNdungai kuhusu Bagamoyo liProfesa nalo linakuja kuonyesha unafki ndiyo tatizo la kuongozwa na mke wa tatu.
Acha ushamba. Usitukane raisi wetu.
Huyo dikteta wenu ameshatangulia mbele za haki.

HAKI HUINUA TAIFA
 
Misri kasema anamgonga saa yoyote Ethiopia kwa ajili ya Hydrodam na wala sio Gas
sasa huyu Prof Muongo si anatudanganya?
 
Akichangia katika mpango wa maendeleo wa Serikali bungeni amesema anashangaa watu wanavyohangaika na umeme wa maji na huku dunia ya sasa ni umeme wa gesi

Uchumi wa sasa duniani ni umeme wa gesi, umeme wa maji umepitwa na wakati.

Mbunge wa Musoma Vijijini Profesa Sospeter Muhongo amesema uchumi wa gesi pekee ndiyo utakaoifikisha Tanzania kwenye uchumi thabiti.

Profesa Muhongo ametoa kauli hiyo wakati akichangia kwenye mpango wa Serikali leo Aprili 9,2021 bungeni Jijini Dodoma

Waziri huyo wa zamani wa Wizara ya Nishati na Madini amesema Tanzania kuendelea kuwaza kuhusu madini yaliyopo ni kuchelewa huku akikosoa mawazo ya kutegemea uzalishaji wa umeme mkubwa kwa kutumia maji.

Amesema Tanzania inatakiwa ijikite katika matumizi ya umeme mchanganyiko badala ya kutegemea mabwawa ya Maji ambayo wakati wowote yanaweza kukauka.

"Kuwekeza katika umeme wa maji halafu unasema utaleta fedha, huko ni kujidanganya kwani umeme wa maji huchukua muda mrefu kuanza kutoa faida, huko wenzetu wamepita wanafanya mambo kisasa” amesema Profesa Muhongo.

Amesema dunia ya sasa imegeuka na madini mengi yanayotarajiwa Tanzania yapo lakini wengine wameelekeza kwenye dhahabu, Tanzanite na madini mengine ya zamani lakini wanaacha kuangalia madini mapya ambayo yataliingizia Taifa fedha nyingi.

NB: Baada ya Dkt. Magufuli kuondoka sasa kila mtu CCM rangi yake ya zamani imeanza kurudi

Hivi kweli mmeanza kupinga project ya Rufiji baada ya Dkt. Magufuli kudondoka

CCM acheni unafiki
Akichangia katika mpango wa maendeleo wa Serikali bungeni amesema anashangaa watu wanavyohangaika na umeme wa maji na huku dunia ya sasa ni umeme wa gesi

Uchumi wa sasa duniani ni umeme wa gesi, umeme wa maji umepitwa na wakati.

Mbunge wa Musoma Vijijini Profesa Sospeter Muhongo amesema uchumi wa gesi pekee ndiyo utakaoifikisha Tanzania kwenye uchumi thabiti.

Profesa Muhongo ametoa kauli hiyo wakati akichangia kwenye mpango wa Serikali leo Aprili 9,2021 bungeni Jijini Dodoma

Waziri huyo wa zamani wa Wizara ya Nishati na Madini amesema Tanzania kuendelea kuwaza kuhusu madini yaliyopo ni kuchelewa huku akikosoa mawazo ya kutegemea uzalishaji wa umeme mkubwa kwa kutumia maji.

Amesema Tanzania inatakiwa ijikite katika matumizi ya umeme mchanganyiko badala ya kutegemea mabwawa ya Maji ambayo wakati wowote yanaweza kukauka.

"Kuwekeza katika umeme wa maji halafu unasema utaleta fedha, huko ni kujidanganya kwani umeme wa maji huchukua muda mrefu kuanza kutoa faida, huko wenzetu wamepita wanafanya mambo kisasa” amesema Profesa Muhongo.

Amesema dunia ya sasa imegeuka na madini mengi yanayotarajiwa Tanzania yapo lakini wengine wameelekeza kwenye dhahabu, Tanzanite na madini mengine ya zamani lakini wanaacha kuangalia madini mapya ambayo yataliingizia Taifa fedha nyingi.

NB: Baada ya Dkt. Magufuli kuondoka sasa kila mtu CCM rangi yake ya zamani imeanza kurudi

Hivi kweli mmeanza kupinga project ya Rufiji baada ya Dkt. Magufuli kudondoka

CCM acheni unafiki

Huyo naye ni prof wa jalalani. Umeme wa maji ni rahisi mno kuliko umeme wa gesi, gesi sio bidhaa ya kudumu (limited resource), mara inapoisha ardhini hapo ndio mwisho wa biashara kinyume chake mabwawa yanahitaji mvua cha msingi ni kuhakikisha vyanzo vya maji na misitu yeti tunaihifadhi ili mvua ziwe za uhakika, sasa ni namna gani tunahifafhi misitu yetu ni kwa kupunguza bei ya umeme ili watu wengi watumie umeme kupikia badala ya kuni ambazo ndizo chanzo cha ukataji miti.

Umeme wa.maji ni rahisi sana isipokuwa inatakiwa uhifadhi wa vyanzo vya maji tu umeme wa gasi gasi sio kitu cha kudumu.
 
Hakuna anayepinga,kwa nini hakusema awali kabla ya marehemu,ili marehemu amsikilize ushauri wake
Uliogopa kutekwa na kifunguliwa kesi ya uhujumu uchumi na kutakatisha fedha!

Jomba,kila mtu alikuwa ameufyata. Cheza na dikteta! Kila chombo alikitia mfukoni.
 
Anayedhani itakuwa rahisi kuuwa legacy ya Magufuli atakutana na nguvu ya uma.
Wewe unahangaika na 'legacy' ya mtu, badala ya kuiwazia Tanzania? Bure kabisa.

Hiyo miradi muhimu itakamilishwa, si kwa sababu ya Magufuli, bali ni kwa sababu ya faida zake kwa Tanzania. Haijengwi kumfurahisha Magufuli, wala kumpa sifa.
Mbona mambo mengi yalishafanyika ndani ya nchi hii bila ya lazima ya kumfikiria aliyeisimamia miradi hiyo.

Miradi ni ya Tanzania, kwa manufaa ya Tanzania na itakamilishwa na waTanzania.
 
Dooh nimecheka saana haya watu wanafufuka mmoja moja wanaaanza upya kuchomoa makucha yao.
Hawana tena cha kuhofia mana enzi za shamba la bibi zinarudi kila mtu anaanzisha ubunifu mpya wa kupiga pesa.

Huyu ni Muhongo bado namsubiri Ngereja naye atakuja na lipi.

Na muda si mwingi tutasikia Accacia nayo imefufuliwa upya na kupewa mgodi huko geita kwasababu nchi inahitaji zaidi wawekezaji kuliko wao wanavyo tuhitaji.
Waliwekeza sana 2015-2020 na ndo walokuwa nyuma ya hujuma zote 24/7
 
Muhongo huu mradi alianza kuupinga siku nyingi toka akiwa waziri wa nishati. Alisema naji hayatoshi. Ila kwa unafiki wake alienda kuzindua mradi wa umeme wa maji Rusumo.

Mi napingana na huyu mnafiki, kwanza duniani kote, kuanzia Uganda, Ethiopia, China hadi Brazil mabwawa ya kuzalisha umeme yanajengwa sana. Mto Congo unaweza zalisha umeme wa kutosha Africa nzima na kwa bei ya chini kabisa.
Pili Muhongo hana data za sasa zinazoonyesha kuwa huo mradi hauna faida. Watz tusiwasikilize sana hawa wasomi wetu, ndiyo wasababishi wa umaskini tulio nao leo, wengi wao ni educated fools.
 
Mbona sijasoma lolote la maana kuhusu umeme wa maji kutokuwa na manufaa? Ni huko kukauka kwa maji, basi?
Mimi nadhani labda kuna mengine aliyosema ya maana zaidi ambayo mleta mada hakuyaweka.

Ndio, umeme wa vyanzo mchanganyiko ni muhimu, na ndio sababu nzuri ya kuwa na pamoja na wa huo wa maji.

Umeme wa maji ni nafuu zaidi, kwa kila unit kuliko chanzo kingine chochote cha chanzo cha umeme.

Gesi si ipo? Kwani imekatazwa kwamba haitatumika kamwe wakati ikihitajika?

Sasa hilo la madini nalo vipi?

Anataka madini gani yachimbwe? Nickel, graphite, Rare Earths? Halafu iweje? Si hivyo tayari yanasombwa?
Chuma kinaendelea kupoa tu huko ardhini, hakuna anayekizungumzia. Mkaa wenyewe sasa tutaambiwa tusiuchimbe na kuutumia kabisa, vinginevyo tutawekewa vikwazo. Dunia si ndiyo hiyo?

Ningemwelewa vizuri sana kama angehimiza uwekezaji wa kuyaongezea thamani madini hayo hapa hapa nchini. Hili ndilo liwekewe mkazo zaidi katika kutafuta wawekezaji wa kutengeneza vifaa/vyombo vinavyotokana na madini hayo hapa hapa nchini.

Mkakati wa kuwasomesha wataalam wetu wawe na uwezo wa kufanya kazi katika makampuni hayo ya uwekezaji kwenye maeneo hayo

Helium na yenyewe sasa itabebwa cheee, kwa usimamizi wa akina Ndugai...

Tanzania tuna hasara ya kukosa uongozisana!
Naona unawaza kizamanizamani tu!

Yaani Tesla waje waweke kiwanda cha magari ya umeme hapa Tanzania yatengenezwe hapa halafu yapelekwe Marekani kwenye soko?
Kufuata hayo madini yako.

Au hata matumizi makubwa ya nickel na graphite huyajui?

Hebu acheni kuandika hoja as if unaandika a fiction book.
 
Akichangia katika mpango wa maendeleo wa Serikali bungeni amesema anashangaa watu wanavyohangaika na umeme wa maji na huku dunia ya sasa ni umeme wa gesi

Uchumi wa sasa duniani ni umeme wa gesi, umeme wa maji umepitwa na wakati.

Mbunge wa Musoma Vijijini Profesa Sospeter Muhongo amesema uchumi wa gesi pekee ndiyo utakaoifikisha Tanzania kwenye uchumi thabiti.

Profesa Muhongo ametoa kauli hiyo wakati akichangia kwenye mpango wa Serikali leo Aprili 9,2021 bungeni Jijini Dodoma

Waziri huyo wa zamani wa Wizara ya Nishati na Madini amesema Tanzania kuendelea kuwaza kuhusu madini yaliyopo ni kuchelewa huku akikosoa mawazo ya kutegemea uzalishaji wa umeme mkubwa kwa kutumia maji.

Amesema Tanzania inatakiwa ijikite katika matumizi ya umeme mchanganyiko badala ya kutegemea mabwawa ya Maji ambayo wakati wowote yanaweza kukauka.

"Kuwekeza katika umeme wa maji halafu unasema utaleta fedha, huko ni kujidanganya kwani umeme wa maji huchukua muda mrefu kuanza kutoa faida, huko wenzetu wamepita wanafanya mambo kisasa” amesema Profesa Muhongo.

Amesema dunia ya sasa imegeuka na madini mengi yanayotarajiwa Tanzania yapo lakini wengine wameelekeza kwenye dhahabu, Tanzanite na madini mengine ya zamani lakini wanaacha kuangalia madini mapya ambayo yataliingizia Taifa fedha nyingi.

NB: Baada ya Dkt. Magufuli kuondoka sasa kila mtu CCM rangi yake ya zamani imeanza kurudi

Hivi kweli mmeanza kupinga project ya Rufiji baada ya Dkt. Magufuli kudondoka

CCM acheni unafiki
Dikteta alijua atakufa kwa hiyo kuua wenzie ni kama kuchinja kuku tu.

Hakuna ambaye angethubutu kumpinga muuaji.
 
Huyu mzee naye wakati mwingine sijui anafikiria nini.

Dunia inaelekea kwenye renewables yeye anasema twende kwenye fossil fuel. Sijui ni dunia gani anaiongelea. Umeme wa maji ndio wa bei rahisi zaidi duniani, na wala hatukatazwi kuwa na vyanzo vingine mbadala. By the way, Stiglers ndio ishakuwa mimba, tusubiri kuzaa tu.
Wewe ndiye hujui, tuliza akili yako ufundishwe. Athari za mazingira kwa binadamu zinazosabanishwa na umeme wa hydro ni kubwa kuliko hiyo bei rahisi ya kunulia unit moja TANESCO. Soma athari za Guri Dam la Venezuela ambalo ndiyo kubwa kuliko yote katika South America au Three Gorges Dam ya China
 
Back
Top Bottom