Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,160
- 9,151
Prof Muhongo au Prof Muongo? Hivi hawa wanaojiita wasomi wanaisaidiaje Tanzania?
Napingana kabisa na Prof kwamba umeme wa maji hauna tija.
Umeme wa gas nao sio rahisi kama anavyotaka watu waamini. Maintenance ya gas plants ni gharama sana.
Diversity ni muhimu mno kwenye uzalishaji wa nishati. Yes umeme wa maji bado una tija kwetu kama Taifa.
Prof asije kufikiri nimesahau Escrow