Profesa Muhongo: Uchumi wa sasa duniani ni umeme wa gesi, umeme wa maji umepitwa na wakati

Prof Muhongo au Prof Muongo? Hivi hawa wanaojiita wasomi wanaisaidiaje Tanzania?
Napingana kabisa na Prof kwamba umeme wa maji hauna tija.
Umeme wa gas nao sio rahisi kama anavyotaka watu waamini. Maintenance ya gas plants ni gharama sana.
Diversity ni muhimu mno kwenye uzalishaji wa nishati. Yes umeme wa maji bado una tija kwetu kama Taifa.
Prof asije kufikiri nimesahau Escrow
 
Gas ilishauzwa kwa wachina tunaumilizi wa asilimia 30 tu ya gas yetu
 
Uchina ndiyo nchi yenye bwawa kubwa la kuzalisha umeme duniani kiasi ambacho limepelekea kupunguza kasi ya mzunguko wa dunia, ni moja kati ya vyanzo vikuu vya nishati vinavyotegemewa.
 
Naona unawaza kizamanizamani tu!

Yaani Tesla waje waweke kiwanda cha magari ya umeme hapa Tanzania yatengenezwe hapa halafu yapelekwe Marekani kwenye soko?
Kufuata hayo madini yako.

Au hata matumizi makubwa ya nickel na graphite huyajui?

Hebu acheni kuandika hoja as if unaandika a fiction book.
Alichoandika na ulichojibu unaona vinaendana? Shida ni elimu au ni uwendawazimu?
 
Akichangia katika mpango wa maendeleo wa Serikali bungeni amesema anashangaa watu wanavyohangaika na umeme wa maji na huku dunia ya sasa ni umeme wa gesi

Uchumi wa sasa duniani ni umeme wa gesi, umeme wa maji umepitwa na wakati.

Mbunge wa Musoma Vijijini Profesa Sospeter Muhongo amesema uchumi wa gesi pekee ndiyo utakaoifikisha Tanzania kwenye uchumi thabiti.

Profesa Muhongo ametoa kauli hiyo wakati akichangia kwenye mpango wa Serikali leo Aprili 9,2021 bungeni Jijini Dodoma

Waziri huyo wa zamani wa Wizara ya Nishati na Madini amesema Tanzania kuendelea kuwaza kuhusu madini yaliyopo ni kuchelewa huku akikosoa mawazo ya kutegemea uzalishaji wa umeme mkubwa kwa kutumia maji.

Amesema Tanzania inatakiwa ijikite katika matumizi ya umeme mchanganyiko badala ya kutegemea mabwawa ya Maji ambayo wakati wowote yanaweza kukauka.

"Kuwekeza katika umeme wa maji halafu unasema utaleta fedha, huko ni kujidanganya kwani umeme wa maji huchukua muda mrefu kuanza kutoa faida, huko wenzetu wamepita wanafanya mambo kisasa” amesema Profesa Muhongo.

Amesema dunia ya sasa imegeuka na madini mengi yanayotarajiwa Tanzania yapo lakini wengine wameelekeza kwenye dhahabu, Tanzanite na madini mengine ya zamani lakini wanaacha kuangalia madini mapya ambayo yataliingizia Taifa fedha nyingi.

NB: Baada ya Dkt. Magufuli kuondoka sasa kila mtu CCM rangi yake ya zamani imeanza kurudi

Hivi kweli mmeanza kupinga project ya Rufiji baada ya Dkt. Magufuli kudondoka

CCM acheni unafiki

Si unafiki. Ni Magufuli pekee aliyekomalia miradi hiyo, na sisi wote tuliogopa kabisa kumpinga tusije kuonekana wasaliti au kumiminiwa risasi na wafuasi wake. Ila Muhongo amekuwa na msimamo huu miaka yote, na mara moja moja alikuwa anausemea.
 
Where the hell..are you Msukuma wangu Engineer why? Kwnn huyu mzee aliondoka katikati ya vita wakati mahindi yakiwa yametoa mbelewele but why?why?...kama dunia inatumia umeme wa gas hawa wapuuzi walikuwa wapi kumshauri?walimwogopa...kama ni wazalendo...wangeongea akiwa hai sasa mwendazake hayuko mnajidai kutikisa pu..u mlikuwa wapi?
 
Akichangia katika mpango wa maendeleo wa Serikali bungeni amesema anashangaa watu wanavyohangaika na umeme wa maji na huku dunia ya sasa ni umeme wa gesi

Uchumi wa sasa duniani ni umeme wa gesi, umeme wa maji umepitwa na wakati.

Mbunge wa Musoma Vijijini Profesa Sospeter Muhongo amesema uchumi wa gesi pekee ndiyo utakaoifikisha Tanzania kwenye uchumi thabiti.

Profesa Muhongo ametoa kauli hiyo wakati akichangia kwenye mpango wa Serikali leo Aprili 9,2021 bungeni Jijini Dodoma

Waziri huyo wa zamani wa Wizara ya Nishati na Madini amesema Tanzania kuendelea kuwaza kuhusu madini yaliyopo ni kuchelewa huku akikosoa mawazo ya kutegemea uzalishaji wa umeme mkubwa kwa kutumia maji.

Amesema Tanzania inatakiwa ijikite katika matumizi ya umeme mchanganyiko badala ya kutegemea mabwawa ya Maji ambayo wakati wowote yanaweza kukauka.

"Kuwekeza katika umeme wa maji halafu unasema utaleta fedha, huko ni kujidanganya kwani umeme wa maji huchukua muda mrefu kuanza kutoa faida, huko wenzetu wamepita wanafanya mambo kisasa” amesema Profesa Muhongo.

Amesema dunia ya sasa imegeuka na madini mengi yanayotarajiwa Tanzania yapo lakini wengine wameelekeza kwenye dhahabu, Tanzanite na madini mengine ya zamani lakini wanaacha kuangalia madini mapya ambayo yataliingizia Taifa fedha nyingi.

NB: Baada ya Dkt. Magufuli kuondoka sasa kila mtu CCM rangi yake ya zamani imeanza kurudi

Hivi kweli mmeanza kupinga project ya Rufiji baada ya Dkt. Magufuli kudondoka

CCM acheni unafiki
Sio uanafiki anazungumza walichomshauri wakawa wanatukanwa
 
Stupid Professor!
Huyu ni pumbavu kabisaaa! Ethiopia wanajenga bwawa, Kuna grand Inga dam ambayo Afrika inalilia ikomboe tatizo la umeme. China ilijenga Three gorges dam 2006, the largest in the world. Yeye anatuletea mambo ya gesi inayoungua na kupotea! HAlafu atueleze nani atatoa pesa ya kuunguza gesi. Si wanajidai mambo ya C-footprint!

Huyu alipokaa hapo ghafla badala ya kuongoza madini ambayo ndo taaluma yake, ajkwa waziri wa umeme tu!!!!
 
Akichangia katika mpango wa maendeleo wa Serikali bungeni amesema anashangaa watu wanavyohangaika na umeme wa maji na huku dunia ya sasa ni umeme wa gesi

Uchumi wa sasa duniani ni umeme wa gesi, umeme wa maji umepitwa na wakati.

Mbunge wa Musoma Vijijini Profesa Sospeter Muhongo amesema uchumi wa gesi pekee ndiyo utakaoifikisha Tanzania kwenye uchumi thabiti.

Profesa Muhongo ametoa kauli hiyo wakati akichangia kwenye mpango wa Serikali leo Aprili 9,2021 bungeni Jijini Dodoma

Waziri huyo wa zamani wa Wizara ya Nishati na Madini amesema Tanzania kuendelea kuwaza kuhusu madini yaliyopo ni kuchelewa huku akikosoa mawazo ya kutegemea uzalishaji wa umeme mkubwa kwa kutumia maji.

Amesema Tanzania inatakiwa ijikite katika matumizi ya umeme mchanganyiko badala ya kutegemea mabwawa ya Maji ambayo wakati wowote yanaweza kukauka.

"Kuwekeza katika umeme wa maji halafu unasema utaleta fedha, huko ni kujidanganya kwani umeme wa maji huchukua muda mrefu kuanza kutoa faida, huko wenzetu wamepita wanafanya mambo kisasa” amesema Profesa Muhongo.

Amesema dunia ya sasa imegeuka na madini mengi yanayotarajiwa Tanzania yapo lakini wengine wameelekeza kwenye dhahabu, Tanzanite na madini mengine ya zamani lakini wanaacha kuangalia madini mapya ambayo yataliingizia Taifa fedha nyingi.

NB: Baada ya Dkt. Magufuli kuondoka sasa kila mtu CCM rangi yake ya zamani imeanza kurudi

Hivi kweli mmeanza kupinga project ya Rufiji baada ya Dkt. Magufuli kudondoka

CCM acheni unafiki

Kwa CV yake tu huyu Profesa, Uweledi wake, Uzoefu wake na Uwezo wake mkubwa wa Akili nakubaliana nae tena kwa 100% juu ya huu Mtazamo wake.

Ni Rais Mpumbavu tu pekee ndiyo hatotaka kufanya Kazi na Mtu very competent kama Profesa Muhongo ambaye hata Mataifa Makubwa na yaliyotuzidi kila Kitu hadi Akili walifanya nae Kazi na sasa wanamtumia pia kama Independent Consultant katika Masuala ya Madini na Jiolojia pia.

Majungu dhidi yake hayasaidii ni Upuuzi.
 
Akichangia katika mpango wa maendeleo wa Serikali bungeni amesema anashangaa watu wanavyohangaika na umeme wa maji na huku dunia ya sasa ni umeme wa gesi

Uchumi wa sasa duniani ni umeme wa gesi, umeme wa maji umepitwa na wakati.

Mbunge wa Musoma Vijijini Profesa Sospeter Muhongo amesema uchumi wa gesi pekee ndiyo utakaoifikisha Tanzania kwenye uchumi thabiti.

Profesa Muhongo ametoa kauli hiyo wakati akichangia kwenye mpango wa Serikali leo Aprili 9,2021 bungeni Jijini Dodoma

Waziri huyo wa zamani wa Wizara ya Nishati na Madini amesema Tanzania kuendelea kuwaza kuhusu madini yaliyopo ni kuchelewa huku akikosoa mawazo ya kutegemea uzalishaji wa umeme mkubwa kwa kutumia maji.

Amesema Tanzania inatakiwa ijikite katika matumizi ya umeme mchanganyiko badala ya kutegemea mabwawa ya Maji ambayo wakati wowote yanaweza kukauka.

"Kuwekeza katika umeme wa maji halafu unasema utaleta fedha, huko ni kujidanganya kwani umeme wa maji huchukua muda mrefu kuanza kutoa faida, huko wenzetu wamepita wanafanya mambo kisasa” amesema Profesa Muhongo.

Amesema dunia ya sasa imegeuka na madini mengi yanayotarajiwa Tanzania yapo lakini wengine wameelekeza kwenye dhahabu, Tanzanite na madini mengine ya zamani lakini wanaacha kuangalia madini mapya ambayo yataliingizia Taifa fedha nyingi.

NB: Baada ya Dkt. Magufuli kuondoka sasa kila mtu CCM rangi yake ya zamani imeanza kurudi

Hivi kweli mmeanza kupinga project ya Rufiji baada ya Dkt. Magufuli kudondoka

CCM acheni unafiki
Huyu prof ndio kaingia leo bungeni?. Wanasiasa wanafiki Sana.
 
maprofesss

Baba watanzania huwa tunadanganywa kulingana na wakati,hili la umeme wa gesi halijaanza leo lakini limetufikisha wapi, ulinganisho wa bei za umeme unaotokana na maji na gesi 1/3
huyu jqmqq nikimuonq live nitamlilia hadharani.
0.85 cents per kilowatt-hour

In the U.S., hydropower is produced for an average of 0.85 cents per kilowatt-hour (kwh). This is about 50% the cost of nuclear, 40% the cost of fossil fuel, and 25% the cost of using natural gas.
 
una ujinga mahali fulan, we unazan maisha yote utabak kuwa na maji tiririka?huon mabadiliko ya hewa dunian? acha kufanya mawazo ya kibogoyo bro

Ukitunza vyanzo vya maji, maji yataendelea kuwepo na hupungua kwa kiasi kidogo. Mbali na shughuli za kibinadamu kuharibu Mazingira, hata matumizi ya Non Renewable Energy huchangia uharibifu kwa kasi zaidi. Mimi nashauri twende na mradi wetu kama kawaida, kwanza uendeshaji wake ni nafuu, hivyo utatupunguzia gharama za kulipia, huku ukitengeneza faida kubwa tu.
Tukija kwenye umeme wa gesi, mpaka sasa haujatusaidia chochote, tumebaki kulia na gharama kuwa juu.
 
Hawa wezi hata kama ushauri wao ni sahihi, ni vigumu kuaminika.
 
Hapo sio sawa kwa sababu huo ni mtazamo wake, halafu tangia swali wapo waliopinga huu mradi. Kiukweli tuangalie Ukweli alichoongea Muhongo ni fact
 
Ndio maana Hayati alimpiga chini huyu msomi mapema kabisa.Na hakupenda mawazo mbadala kama haya.
 
Umeme wa maji ndiyo nishaji yenye gharama nafuu duniani. Ukisikia mtu anajiita profesa anauponda cha kutilia shaka ni vyeti vyake tu.

Kwa hesabu ndogo tu Megawati 2,100 ni sawa na kilowati 2,100,000 Unit za umeme ni kilowati moja ikitembea kwa saa moja.

Sasa ukiwa na kilowatt milioni mbili na laki moja zikatembeza mitambo kwa masaa 24 unapata unit za umeme milioni 50.4. Ukiuza umeme huu kwa wateja angalau kwa unit moja shilingi 100

Mtambo unaweza kutoa mapato ya bilioni 5 kwa siku. Ukitoa mwezi mmoja kwa mwaka kwa ajili ya "maintenance" ukatembea miezi 11 unaweza kupata trilioni 1.7 kwa mwaka Tumeujenga kwa shilingi trilioni 7. Almost 5 years mradi kama utakuwa full operational unarudisha gharama.

Kama taifa lazima tujue wataalamu wetu ndiyo wamekuwa wakitupotosha na tatizo ni elimu yetu ndiyo mbovu.

Ukichukua mtu aliyesoma miaka ya 70, nchi haina wataalamu huku kwenye elimu ya chini, wanasema nyumba ni msingi hivyo ukikosa basic education huko juu mtu anaenda tu. So unaweza kuta mtu ni profesa but anafanya maamuzi au ushauri wa ajabu.

Labda tujenge mradi but mashine tusifunge megawati zote 2100 kwa kuwa kwa sasa hatuna soko la kutosha.

Kadiri tunavyoongeza ndivyo tutakavyoongeza kufunga mashine.

Umeme wa maji unategemea jiografia hivyo wengi hawatumii kwa kuwa jiografia haziwaruhusu.

Chukua mfano mdogo tu wa gari, Gharama ya kuendesha gari kwa kunua mafuta ndiyo gharama ya juu kuliko gharama ya kununua gari lenyewe.

Mmfano umenunua gari la milioni 12 kama ukiweka mafuta ya 20,000 kwa siku ndani ya mwaka utaweka mafuta ya 7,300,000 (milioni saba na laki tatu)

Ukikaa nalo miaka 10 utatumia mafuta ya milioni 73.

Lakini sasa anakuja mtu ana gari anauza milioni 16 lakini unaedesha kwa kutumia maji.

Ndani ya miaka 10 la mafuta kununua na mafuta ya uendeshaji ni milioni 85 wakati la maji ni milioni 16.73

Hivi ndivyo umeme wa maji ulivyo nafuu kulinganisha na umeme wa mafuta au diezeli.

Mashine zinazungushwa na maji hahuhitaji kununua nishati ya kuendesha.
Kwa maelezo yako wewe ni zaidi ya huyo professor wa jalalani barikiwa sana
 
Ethiopia wanajenga Bwawa kubwa la umeme halafu huyu anatuambie tuachane na maji,mfano kwa gas ipi tuliyonayo?,hii hii tu waliopewa wachina?
 
Back
Top Bottom