chazachaza
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 2,829
- 3,835
unaongea ujinga mtupu.mnaleta mzaha Hadi Mambo ya muhimu.Jiwe kajificha, kala kona teh teh teh!
Zenji hajaenda wala Dom hayupo
Labda yuko kwenye "handaki" lake kajikunyata tuli!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuliko matapeli ya Lumumba?Ufipa ni wazushi sana bwashee!
Yule ni mtoto wa mjini hata yeye amevaa hataki ujingaNimeona TISS wansomlinda JK wao wanapiga full barakoa. Nahisi mzee wa Msoga atakuwa amedemand wavae hiyo kitu ksbla ya kumsogelea 🤣🤣
Yule hana tatizo na mtu yakuombe kuondoka ni haya madikteta na matapeli yetu ya huku baraBwana yesu apishe kwa mbali! Hakuna na neno mzee wa watu.
Maneno ya busara kabisa mkuuMarehemu babu yangu alikuwa na msemo wake mara nyingi alikuwa anapenda kuutumia pale anapotuadhibu, na huu alikuwa anauongea kipare MNEGURA RANGI DU! maana yake TUTAKOLEA RANGI TU, sasa ninachokiona hapa ni kwamba Watanzania tunakolea rangi pamoja na ubishi wetu kwenye suala la COVID - 19 kama sio 21.
Tuchukue tahadhari wakuu, hasa kuwalinda wazazi wetu ambao umri umesogea.
Walikuwa wanadanganyana kuhusu nyungu, hata Jafo mzee wa episode ya nyungu sesion 3 ameshindwa kumuaga? Hapo ndio watajua ushirikina hauna nafasi mbele ya sayansi.Boss wake aliyekuwa anaripoti kwake hajaweza kuhudhuria kutoa heshima za mwisho?
Lile limegoma kuondoka naona limechanjiwa, lakini Kijazi lazima ameleta mtafaruku moyoni mwake, maana ni mshirika wake wa karibuYule hana tatizo na mtu yakuombe kuondoka ni haya madikteta na matapeli yetu ya huku bara
Magufuli si yupo darKweli katibu wako mkuu anafariki unashindwa kwenda kumuaga??
anachapa kazi,Yuko na wageni kusaini mikataba ya miradi ya kimkakati.Hakuna kitakacho lala. hv vimafua vinapita tu.mwenye ikulu yupo wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Najiuliza yule bingwa wa maombi duani nzima yuko wapi?
Madikteta huwa ni mashirikina vibaya sn mkuuLile limegoma kuondoka naona limechanjiwa, lakini Kijazi lazima ameleta mtafaruku moyoni mwake, maana ni mshirika wake wa karibu
Ni uzushi tu wa Ufipa.basi kuna tetesi kama hizo
Akiona hili bandiko lako tu atateua maana Bwana yule hapendi kupangiwaAPP (Alale Pema Peponi) ... Sema safari hii tuzike kwanza ndo uteuzi ufate tafadhali sio tuko msibani bosi wetu haji mazikoni yuko busy kuchagua wakurithi nafasi!!
asante Bwana Yesu, mzee wa watu huwa hana shida na mtu!Ni uzushi tu wa Ufipa.
Bilal yuko kwenye msafara kuelekea Pemba kumzika maalimu Seif!
Atakuwa anafurahia sn watu wanavyo kufaAtokee wapi wakati ni tapeli.
Magufuli si yupo dar
Mbona hatujamuona akimuaga Maalim Seif?
Hahahaaaa...... Jafo bhana!Walikuwa wanadanganyana kuhusu nyungu, hata Jafo mzee wa episode ya nyungu sesion 3 ameshindwa kumuaga? Hapo ndio watajua ushirikina hauna nafasi mbele ya sayansi.