Profesa Ndalichako aongoza viongozi na wananchi wa Dodoma kutoa heshima za mwisho kwa marehemu John Kijazi

Marehemu babu yangu alikuwa na msemo wake mara nyingi alikuwa anapenda kuutumia pale anapotuadhibu, na huu alikuwa anauongea kipare MNEGURA RANGI DU! maana yake TUTAKOLEA RANGI TU, sasa ninachokiona hapa ni kwamba Watanzania tunakolea rangi pamoja na ubishi wetu kwenye suala la COVID - 19 kama sio 21.

Tuchukue tahadhari wakuu, hasa kuwalinda wazazi wetu ambao umri umesogea.
 
Maneno ya busara kabisa mkuu
 
Boss wake aliyekuwa anaripoti kwake hajaweza kuhudhuria kutoa heshima za mwisho?
Walikuwa wanadanganyana kuhusu nyungu, hata Jafo mzee wa episode ya nyungu sesion 3 ameshindwa kumuaga? Hapo ndio watajua ushirikina hauna nafasi mbele ya sayansi.
 
2 mambo ya nyakati : Mlango 25​

7 Lakini mtu wa Mungu akamjia, akasema, Ee mfalme, usiwaache jeshi la Israeli waende nawe; kwa kuwa BWANA hayupo pamoja na Israeli, yaani, wana wote wa Efraimu.
 
APP (Alale Pema Peponi) ... Sema safari hii tuzike kwanza ndo uteuzi ufate tafadhali sio tuko msibani bosi wetu haji mazikoni yuko busy kuchagua wakurithi nafasi!!
Akiona hili bandiko lako tu atateua maana Bwana yule hapendi kupangiwa
 
Walikuwa wanadanganyana kuhusu nyungu, hata Jafo mzee wa episode ya nyungu sesion 3 ameshindwa kumuaga? Hapo ndio watajua ushirikina hauna nafasi mbele ya sayansi.
Hahahaaaa...... Jafo bhana!
 
Back
Top Bottom