Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Rais Magufuli yuko wapi?Viongozi wa serikali na wananchi wa Dodoma wanatoa heshima za mwisho kumuaga marehemu John Kijazi chuo kikuu UDOM.
Prof Ndalichako ambaye ni waziri wa elimu ndio anaongoza watumishi na wananchi katika tukio hili.
Dr Kijazi (RIP) atazikwa siku ya Jumamosi huko Korogwe, Tanga.
Tukio hili liko mubashara TBC
Maendeleo hayana vyama!
Wewe thubutu..Anapiga nyunguBoss wake aliyekuwa anaripoti kwake hajaweza kuhudhuria kutoa heshima za mwisho?
Hii ya safari hii Haina cha KOYU ZEKA MBOCHI tunapambana nayo ng'adu kwa ng'adu kusikia kwa kenge had atoke damuKuna habari gani bhandugu, nasikia kuna breaking newz muda huu.
Tuendelee kuchukua tahadhari wakuu. Cabinet la jiwe linaisha[emoji25]
... walikuwa wanakaa vikao vyao kiboya kana kwamba wana mkataba na Mungu! Fikiria watu level/hadhi ya Cabinet hawachukui tahadhari zozote za kujikinga machinga na bodaboda huko mtaani wafanyeje? Hili taifa lina mazuzu haswa.Kuna habari gani bhandugu, nasikia kuna breaking newz muda huu.
Tuendelee kuchukua tahadhari wakuu. Cabinet la jiwe linaisha😪
Mkuu ngoma ipo jino kwa jino😅😅Hii ya safari hii Haina cha KOYU ZEKA MBOCHI tunapambana nayo ng'adu kwa ng'adu kusikia kwa kenge had atoke damu
Bavicha mnaota ujingaSijui katiba inasemaje; kwa hali hii, succession sijui itakuwaje.
VP pogba kahudhuria mazish ya maalim au kaenda kumuaga kijaz Dom?Mkuu ngoma ipo jino kwa jino[emoji28][emoji28]
... kwanini Chief? Mbele kiza.Bavicha mnaota ujinga
... walikuwa wanakaa vikao vyao kiboya kana kwamba wana mkataba na Mungu! Fikiria watu level/hadhi ya Cabinet hawachukui tahadhari zozote za kujikinga machinga na bodaboda huko mtaani wafanyeje? Hili taifa lina mazuzu haswa.
VP pogba kahudhuria mazish ya maalim au kaenda kumuaga kijaz Dom?
Na yeye hata barakoa hajavaa anapuyanga tu.Viongozi wa serikali na wananchi wa Dodoma wanatoa heshima za mwisho kumuaga marehemu John Kijazi chuo kikuu UDOM.
Prof Ndalichako ambaye ni waziri wa elimu ndio anaongoza watumishi na wananchi katika tukio hili.
Dr Kijazi (RIP) atazikwa siku ya Jumamosi huko Korogwe, Tanga.
Tukio hili liko mubashara TBC
Maendeleo hayana vyama!
Nimesoma mahali kuwa ataongoza kuaga kesho karimjee DSMKweli katibu wako mkuu anafariki unashindwa kwenda kumuaga??
... ha ha ha! Mdudu ndio kwanza ame-beep! Shughuli ndio kwanza imeanza; kama ni uwanjani, refa ana-cheki na lines-men wake kuangalia kama kila kitu kiko sawa tayari kwa mtanange. Dakika 90 nyingi sana Mkuu.Kama namwona vile yule mzeee😪😪😪 watu wameogopa kwenda kwenye kikao na barakora ili kulinda ugali na kuvunga mdudu, sasa na mdudu asivyo na haya ameanza kazi😁
... wana mkataba na Mungu hao Mkuu; achana nao.Na yeye hata barakoa hajavaa anapuyanga tu.
Hatari sana
Mzee n mwoga we hujui tu🤣🤣🤣🤣Nimesoma mahali kuwa ataongoza kuaga kesho karimjee DSM
Mpk sasa mdudu ukimpa durect win inatoa mkuu🤣🤣🤣,... ha ha ha! Mdudu ndio kwanza ame-beep! Shughuli ndio kwanza imeanza; kama ni uwanjani, refa ana-cheki na lines-men wake kuangalia kama kila kitu kiko sawa tayari kwa mtanange. Dakika 90 nyingi sana Mkuu.
Duuuh ngoja tusubiri. Muda utaongea tuMzee n mwoga we hujui tu🤣🤣🤣🤣