Amekutana nao wangapi? Unajua chanzo cha kifo chake?... kala kona this time! Balozi Kijazi ofisi yake ilikuwa Ikulu; amekutana na watumishi wangapi wa Ikulu - wadogo kwa wakubwa? Hali mbaya asikwambie mtu.
Jiwe kajificha, kala kona teh teh teh!
Zenji hajaenda wala Dom hayupo
Labda yuko kwenye "handaki" lake kajikunyata tuli!
🤣🤣🤣🤣
Huwezi jua na yeye yuko kwenye hali gani tusimlaumu sana.Kweli katibu wako mkuu anafariki unashindwa kwenda kumuaga??
Nimeona TISS wansomlinda JK wao wanapiga full barakoa. Nahisi mzee wa Msoga atakuwa amedemand wavae hiyo kitu ksbla ya kumsogelea 🤣🤣
Sijui wanamhadaa nani na kwa maslahi ya naniBaraza la chuo (maprofesa) nalo likamtaka Profesa Bisanda kuomba radhi kwa kutoa tahadhari ya Corona! Kama tumelogwa vile!
Si hata na huyu aliyeagwa naye ni TISS mkubwa tu.Wanatafunwa kimya kimya mkuu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]APP (Alale Pema Peponi) ... Sema safari hii tuzike kwanza ndo uteuzi ufate tafadhali sio tuko msibani bosi wetu haji mazikoni yuko busy kuchagua wakurithi nafasi!!
Ni kuogopa aibu.Misiba yote anakimbia mazee, ni tapeli na muongo
Nahisi yupo Chato akipiga nyungu,na hatoki huko ng'o labda achanjwe kisirisiriBoss wake aliyekuwa anaripoti kwake hajaweza kuhudhuria kutoa heshima za mwisho?
😂😂😂Misiba yote anakimbia mazee, ni tapeli na muongo
Kweli damu ya mtu mbaya. Hivi mtu wa aina hii huwa anapata usingizi mzuri kweli? Naona kama picha za marehemu huwa zinamjia.Siku zote mtu aliyeua watu sana anaogopa mnooo misiba. Akiona maiti anasulubika sana kiroho.
Muda wote anaona mawenge wenge na huku akiwindwa na roho za watu.
Ndo maana siku zote unashauriwa kabla hujatamka - TAFAKARI ' Will your decision and/or words matter in future - 2 years, 5 years etc'. Ikiwa ndio - lazima utumie busara ya hali ya juu kabla hujaongea au kufanya maamuzi hayo.Ni kuogopa aibu.
Hivi leo unaweza kumwona katoka na BARAKOA hadharani; baada ya kiburi chote kile?
Hata kama ingemlazimu kuwepo kuaga, bila kuvaa Barakoa kwa hali ya sasa hawezi!
Viongozi wa serikali na wananchi wa Dodoma wanatoa heshima za mwisho kumuaga marehemu John Kijazi chuo kikuu UDOM.
Prof Ndalichako ambaye ni waziri wa elimu ndio anaongoza watumishi na wananchi katika tukio hili.
Dr Kijazi (RIP) atazikwa siku ya Jumamosi huko Korogwe, Tanga.
Tukio hili liko mubashara TBC
Maendeleo hayana vyama!
Wewe ni daktari?“Maendeleo hayana chama” kufa kwa Corona ni maendeleo 🤔