Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Kiburi cha Tulia siku likimpasukia wanaomtuma watamwacha peke yake.Hatua ya wabunge 19 kuendelea kuhudhuria vikao vya Bunge licha ya maombi yao kupinga kufukuzwa uanachama na CHADEMA kutupiliwa mbali na Mahakama ni aibu na fedheha kwa Bunge.
Prof. Safari anasema hawa watu wanapaswa kukamatwa kwa kudharau uamuzi wa Mahakama
Chanzo: Gazeti la Raia Mwema, Ijumaa 24 June 2022View attachment 2270268
Kwani chadema ndo imewapeleka bungeni?
Roho mbaya tu! Kwa hiyo akina Halima wakitoka bungeni hawatapeleka wengine?Hv chadema wanapata hasara kiasi gani hawa wabunge wakiwepo bungeni.?
Hizi ndio akili za wachovu wa hili taifa.Maisha Ni Vita babu .hayo Ni maisha ya kisiasa Ni akili yako na ushapu wako kungamua wapi utapata pesa kwa mbinu zozote ulitaka Nani waende bungeni
Hata hao wa bunge wa ccm wengi wako pale isivyo halali hili hawalisemi hkn mbunge pale hata tulia Yuko pale isivyo halali jaribu kulitazama hili kwa wabunge wengi jins walivyo ingia kimazabe so wakina mdee wapambane maisha Ni vita
Hivi hamjui kama uwepo wa kina Mdee bungeni wanavunja sheria?Roho mbaya tu! Kwa hiyo akina Halima wakitoka bungeni hawatapeleka wengine?
Speaker: Tulia = Thug; hili ni bunge la wahuni, siyo la nchi, aibu kubwaHatua ya wabunge 19 kuendelea kuhudhuria vikao vya Bunge licha ya maombi yao kupinga kufukuzwa uanachama na CHADEMA kutupiliwa mbali na Mahakama ni aibu na fedheha kwa Bunge.
Prof. Safari anasema hawa watu wanapaswa kukamatwa kwa kudharau uamuzi wa Mahakama
Chanzo: Gazeti la Raia Mwema, Ijumaa 24 June 2022View attachment 2270268
Madai kuwa uchaguzi 2020 haukua huru yanafia hapo! na watakosa leverage kwenye madai ya tume huru/katiba mpya kuelekea 2025.Hv chadema wanapata hasara kiasi gani hawa wabunge wakiwepo bungeni.?
Hawapeleki maana kukubali viti 20 vya bure ilihali miaka yote wanapata wabunge 70+ ni kujishushia heshima tu na kuhalalisha matokeo ya 2020.Roho mbaya tu! Kwa hiyo akina Halima wakitoka bungeni hawatapeleka wengine?
Lipo bwashee, Si waona wanajadili namna ya kuwafanya wananchi wapigike kimaisha 😂Hakuna bunge hapo.
Lile ni kundi la majizi tu.Lipo bwashee, Si waona wanajadili namna ya kuwafanya wananchi wapigike kimaisha 😂
Tuwafanyeje sasa hao majizi?Lile ni kundi la majizi tu.
Hakuna namna, ila tusitegemee 'watatufanyizia' lolote.Tuwafanyeje sasa hao majizi?
Mipumbavu kama wewe ni hatari sanaKwani chadema ndo imewapeleka bungeni?
Inawauma wao kuwa nje ya bunge ilhali wenzao wamo na wanaendelea kupata maslahi.Hv chadema wanapata hasara kiasi gani hawa wabunge wakiwepo bungeni.?
Nani kazungumzia Chadema! Yeye anazungumzia watu kudharau uamuzi wa mahakama, sheria na kanuni kuwa ni fedheha kwa taifa.Kwani chadema ndo imewapeleka bungeni?