Profesa Safari: Halima na wenzie wanapaswa kukamatwa kwa kuidharau Mahakama

Profesa Safari: Halima na wenzie wanapaswa kukamatwa kwa kuidharau Mahakama

🐒🐒🐒
16554546876670.jpg
 
Nani kazungumzia Chadema! Yeye anazungumzia watu kudharau uamuzi wa mahakama, sheria na kanuni kuwa ni fedheha kwa taifa.
Sasa mbona mahakama haijawafukuza ubunge?
Wao walikwenda kupinga kufukuzwa uanachama wa chadema sio ubunge wa viti maalum
 
Hatua ya wabunge 19 kuendelea kuhudhuria vikao vya Bunge licha ya maombi yao kupinga kufukuzwa uanachama na CHADEMA kutupiliwa mbali na Mahakama ni aibu na fedheha kwa Bunge.

Prof. Safari anasema hawa watu wanapaswa kukamatwa kwa kudharau uamuzi wa Mahakama

Chanzo: Gazeti la Raia Mwema, Ijumaa 24 June 2022View attachment 2270268
Nionavyo mie wao sio kosa lao Bali mamlaka ya bunge kwani mtu anaweza kuamka Leo kuingia bungeni na kuruhusiwa?
 
Kwani chadema ndo imewapeleka bungeni?
Kama siyo chadema wanapotoa hoja na wanapoingia bungeni wanawakilisha nani? Ha hawana majimbo ila majimbo yao wote ni ya Chato na Kongwa kupitia chama wanachokijua wao. Kama ni Chadema wasingekubali kuapishwa nje ya Bunge. Kuapishwa nje ya bunge ni batili. Pili kama walikana ushindi wa CCM kwenye majimbo yao? sasa wanamwakilisha nani?
 
Hao wanajiwakilisha wenyewe na matumbo yao.
Ila nilishawashauri Chadema waachane na hao akina Mdee waendelee na maisha yao.
Mtavutana mpaka lini?
Kuna watu wanawakingia kifua waacheni. Jipangeni na 2025
 
hao wanajiwakilisha wenyewe na matumbo yao.
Ila nilishawashauri chadema waachane na hao akina mdee waendelee na maisha yao.
Mtavutana mpaka lini?
Kuna watu wanawakingia kifua waacheni.jipangeni na 2025
Mimi sina chama ila ni mwananchi ninayeumia kwa kodi tunazolipwa na ukifuatilia kiasi gani wanapewa posho, mishahara na marupurupu mengine ali wakijua chama chao hakitambui uwepo wao bungeni. Ndo maana wakafukuzwa uanachama. Yawezekena wali wote walioingizwa bungeni ni robo yao tu au watatu waliokuwa wameshinda majimboni kwao.
 
Sasa mbona mahakama haijawafukuza ubunge?
Wao walikwenda kupinga kufukuzwa uanachama wa chadema sio ubunge wa viti maalum
Kazi ya kufukuza ubunge si ya mahakama, mahakama hutafsiri sheria tu, pia Chadema haiwezi kutaka wafukuzwe ubunge, wao huishia kwenye kuwakana uanachama wa Chadema.
Kumbukeni kuna mbunge mmoja alitoka Chadema akahamia CCM na kupokelewa na kadi ya CCM akapewa lakini akaambiwa aendelee kuiwakilisha CCM!
 
Sasa shida inakuja wapi?
Wakati sio wanachama wenu,mmeshawafukuza uanachama .kwanini chadema ndo inahangaika na akina halima na sio vyama vinginevyo?hao ni Kama kunguru mmeshawashindwa kuwafuga Basi waacheni na maisha yao.
 
imi sina chama ila ni mwananchi ninayeumia kwa kodi tunazolipwa na ukifuatilia kiasi gani wanapewa posho, mishahara na marupurupu mengine ali wakijua chama chao hakitambui uwepo wao bungeni. Ndo maana wakafukuzwa uanachama. Yawezekena wali wote walioingizwa bungeni ni robo yao tu au watatu waliokuwa wameshinda majimboni kwao.
Mimi sina chama ila ni mwananchi ninayeumia kwa kodi tunazolipwa na ukifuatilia kiasi gani wanapewa posho, mishahara na marupurupu mengine ali wakijua chama chao hakitambui uwepo wao bungeni. Ndo maana wakafukuzwa uanachama. Yawezekena wali wote walioingizwa bungeni ni robo yao tu au watatu waliokuwa wameshinda majimboni kwao.
Lawama kwa marehemu magufuli.mtifuano wore huu yet ndo chanzo.chadema wanagombana BURE
 
Hv chadema wanapata hasara kiasi gani hawa wabunge wakiwepo bungeni.?
Kwa jinsi unavyo shupalia issue hii, sina shaka we' ni mmoja wapo wa hawa COVID 19. Hivyo mlivyokwisha kula, vinatosha! Na sina shaka, kuondoka kwa MWENDAZAKE, ninyi mliumia/ mnaumia kuliko hata MAMA JANETH!
 
Jina lako linaakisi mawazo yako. Prof. Safari anazungumzia mtu ambaye analipeleka kesi kuwa aendelee kuwa alipon mahakama inasema asiwepo lakini anaendelea kuwepo.

Kuna sehemu yoyote Prof. Safari kataja Chadema. Ungekuwa una hata robo ya uwezo ungejua Chadema ndio iliwafanya wawe Bungeni, labda walipelekwa na mtu mwingine - lakini Chadema ilipotaka watoke wakapeleka kesi mahakamani wakisema wako pale kwa niaba ya Chadema (wakipinga kufukuzwa uanachama!)

Pathetic!
Well said well said.
 
Hatua ya wabunge 19 kuendelea kuhudhuria vikao vya Bunge licha ya maombi yao kupinga kufukuzwa uanachama na CHADEMA kutupiliwa mbali na Mahakama ni aibu na fedheha kwa Bunge.

Prof. Safari anasema hawa watu wanapaswa kukamatwa kwa kudharau uamuzi wa Mahakama

Chanzo: Gazeti la Raia Mwema, Ijumaa 24 June 2022View attachment 2270268
Ukimuona kobe juu ya mti ujue amepandishwa
 
Back
Top Bottom