LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,006
- 14,536
Pia hii ni aibu kwa bunge. Lina jidhalilisha. Tangu mwanzo bunge limejidhalilisha na linaendelea kuonyesha udhaifu wa hali ya. JuuHatua ya wabunge 19 kuendelea kuhudhuria vikao vya Bunge licha ya maombi yao kupinga kufukuzwa uanachama na CHADEMA kutupiliwa mbali na Mahakama ni aibu na fedheha kwa Bunge.
Prof. Safari anasema hawa watu wanapaswa kukamatwa kwa kudharau uamuzi wa Mahakama
Chanzo: Gazeti la Raia Mwema, Ijumaa 24 June 2022View attachment 2270268