Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
NiIimwambia aende Afghanistan au Kashmiri kule akavae explosive belts!!Huyo bora angekuwa afghanistan huko ambako kazi ya mwanamke ni kuzaa tu hata sokoni,shule haendi na kujibizana na wanaume hasa ukiwa bibi marufuku.
Huyo kama kachanganyikiwa.Mkuu hivi huwa huna kazi ya kufanya? Kila muda lazima ukomment tena negative comments?
Huna kazi weweWewe comment positive, ok?
Au nimekuzuia?!
Vitu vingine hupasw hata kunegotiate issue ya juz ya escrow then unasema mtu alikua anavaa nepi!! Halaf jihadist cjui kwann kichwan hua watupu!!Leo unalikana kanisa? Anna Tibaijuka hakuwekewa mamilioni kwenye benki ya kanisa? Akasema vihela vya mboga tu hivyo, wamepewa shule? Umesahau au ulikuwa bado unajinyea kwenye nepi?
cc Mama Amon
Vumilia tu mpk 2030 labda Mungu mwenyewe atakeSamia kwishney kisiasa
Katingwa na bandari si mchana si usikuKumbe na wewe umekaona hako kajamaa mkuu,
Haka kajamaa bila shaka ni kapigaji kule maji chumvi,kanaona DPW wakija katakosa kupiga,kanahangaika na vicomment vyake,hakajui kua vicomment vyake havina impact yeyote kwenye issue ya DPW.
Sasa wewe hata kuandika tu hujui halafu unasema eti wengine ni watupu kichwani! Kajifundishe kuandika kwanza Panzi wewe.Vitu vingine hupasw hata kunegotiate issue ya juz ya escrow then unasema mtu alikua anavaa nepi!! Halaf jihadist cjui kwann kichwan hua watupu!!
Wakati mwingine acha kujitoa fahamu. Why unafanya vitu vya kitoto namna hii.Huyo toka alipofinywa na Kikwete sakata la Ruge na Singa na Benki ya Kanisa, basi imekuwa nongwa, naona hajapata usingizi mnono siku nyingi sana.
Na sakata la bandari ndiyo limemuumiza kabisa, alikuwa na pesa zake nyingi kawekeza kwa mhaya mwenzake, Karamagi, aliyekuwa na shares TICTS.
Tunamfahamu huyo, hatupi shida.
NHamna kitu hapoπ π ni maslahi anaenda kukosa ndo maana roho inauma
..Mtu kashazeeka bado ana tamaa tu .
Sasa wewe hata kuandika tu hujui halafu unasema eti wengine ni watupu kichwani! Kajifundishe kuandika kwanza Panzi wewe.
VITA VYA TONGE KUWAPONYOKA NI VITA VIKALI KWELI, DPW +TANZANIA GOVT GOES ON NOTHING TO STOP THIS GOOD PROJECTS.Profesa Tibaijuka alipeleka sakata la bandari kidunia
View attachment 2717356
>JE MNAFAHAMU KISA CHA TUBAIJUKA KUPIGANA NAMNA HII?,πππ HAWA NDIO KUNDI SPESHO WANAO-DIVERT MAPATO,VITA LAZIMA VIWE VIKALI KWELIKWELI....
SWALI MMEKULA MIAKA NA MIAKA,HAMTOSHEKI JAMENI,ALMOST 22,YA KUTAFUNA BADO NJAA IPO PALEPALE!
duuuh kuna watu na viatu dunianiHizo ni assumptions na hofu zako tu
Sasa kama hujui kuandika utaonaje kama umekosea wakati huna akili ya kujua makosa yako?Wee nae acha kuchezea koki utalowa!! Wap nimekosea kuandika? Au ulitaka niandike lugha ya Afghanistan?
Hakupi shida wewe na nani?Huyo toka alipofinywa na Kikwete sakata la Ruge na Singa na Benki ya Kanisa, basi imekuwa nongwa, naona hajapata usingizi mnono siku nyingi sana.
Na sakata la bandari ndiyo limemuumiza kabisa, alikuwa na pesa zake nyingi kawekeza kwa mhaya mwenzake, Karamagi, aliyekuwa na shares TICTS.
Tunamfahamu huyo, hatupi shida.
Fukara ni wewe unayemshobokea tajiri ,tena jielewe mpumbavu mkubwa njaa zako kama anakulisha ni wewe .We unamzidi nini tibaijuka , fukara mtupu wewe watu tunaangalia Tanzania inayo vizazi vyetu vitatumiaje rasilimali unaleta chuki za umasikini wako
N
Obama mjaluo Alitawala America Taifa kuuuuuuuubwaaaaaa Duniani tena lenye nguvu za ajabu !! Rishi Sunak anaiongoza Uingereza taifa kubwa kweli kweli ni mhindi tena pure hakuchanganya na damu yeyote tofauti π π ππ Ubaguzi uliishaga zamani sana huko kwa Makaburu !π π πKatiba mpya iandike wazi mtu ambaye ana vinasaba na taifa lingine asiruhusiwe kugombea au kurithi cheo cha urais wa Tanganyika peoples society. Wajomba na mashangazi siyo watu wazuri
Na mimi.Hakupi shida wewe na nani?
Nyie mlio wema ndio wakina nani?wote ovyo
Mjibu wewe
Poapoa tumekusikia. Haya jibu hoja zake.Huyo toka alipofinywa na Kikwete sakata la Ruge na Singa na Benki ya Kanisa, basi imekuwa nongwa, naona hajapata usingizi mnono siku nyingi sana.
Na sakata la bandari ndiyo limemuumiza kabisa, alikuwa na pesa zake nyingi kawekeza kwa mhaya mwenzake, Karamagi, aliyekuwa na shares TICTS.
Tunamfahamu huyo, hatupi shida.