The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
- Thread starter
-
- #81
Uongozi wa nchi ni wa wananchi wenyewe ingawa wasomi wapo lkn sio siri kwamba kila mtu anapigania mkate wake kama sisi raia wa kawaida hatuta dai kwa nguvu maslahi yetu kama walicho fanya vijana wa Gen z pale Kenya Hadi kupelekea rais kuondoa muswadq bungeni uwezekano wa kuongozwa kwa manufaa ya raia utakuwa mdogo sanani jambo la kushangaza sana kwa Prof. wa kiTanzania kulalamikia wananchi🐒
muda ukikutupa mkono kwenye siasa na utawala unaweza kujikuta unalaumu wanyonge na wasiostahili kulaumiwa...
maisha hayana extra time Prof.
kila zama n kitabu chake 🐒
Nadhani isiwe kama Gen-z ya Kenya sisi tuna ustaarabu wetu ukishindikana mbokoUongozi wa nchi ni wa wananchi wenyewe ingawa wasomi wapo lkn sio siri kwamba kila mtu anapigania mkate wake kama sisi raia wa kawaida hatuta dai kwa nguvu maslahi yetu kama walicho fanya vijana wa Gen z pale Kenya Hadi kupelekea rais kuondoa muswadq bungeni uwezekano wa kuongozwa kwa manufaa ya raia utakuwa mdogo sana
Hata saa mbovu wakati mwingine huwa inasema ukweli.Huyo mama anajitahidi kubaki relevant, ila hana sifa hizo.
Credibility yake ilishaisha, aache wenzie wafanya kazi.
Kama kula yeye ndo alikula mpaka akajua bilioni ni hela ya mboga, anapata wapi ujasiri wa kuwasema kuhusu utawala bora
Msome kuhusu human herding na ostracism, mtanishukuru sanaHata saa mbovu wakati mwingine huwa inasema ukweli.
Prof. Tibaijuka Ana Hoja yenye mashiko, asikilizwe.
lakini gen z ni majambazi, waporaji na waharibifu wa mali zao wenyewe, iweje utamani kua kama watu waliokosa uelekeo, wenye kiburi na wasiotaka kulipa kodi, ushuru na tozo kwa maslahi yao na nchi yao?Uongozi wa nchi ni wa wananchi wenyewe ingawa wasomi wapo lkn sio siri kwamba kila mtu anapigania mkate wake kama sisi raia wa kawaida hatuta dai kwa nguvu maslahi yetu kama walicho fanya vijana wa Gen z pale Kenya Hadi kupelekea rais kuondoa muswadq bungeni uwezekano wa kuongozwa kwa manufaa ya raia utakuwa mdogo sana
Wewe ndio mwana sheria chawa kupata kutokea kwenya nchi hii 😀 😀 😀Huyu Mama naye...!, mkataba ni wa siri, wanasheria wenyewe wanaojua sheria wako kimya, unategemea nini kwa mwananchi wa kawaida?.
Hebu atuache...!.
Tuko hapa ukumbini tunamsubiri Mama tusemezane.
P
Katika Quran, umuhimu wa kuwa na mashahidi wakati wa kufunga mikataba na kufanya ahadi unasisitizwa sana. Hii ni kwa sababu mashahidi wanasaidia kuthibitisha ukweli wa makubaliano na kuhakikisha kuwa pande zote zinaheshimu ahadi zao. Hapa kuna baadhi ya aya zinazozungumzia umuhimu wa mashahidi:Akihojiwa na watangazaji wa Clouds fm ni kwanini licha ya kuwa na wasomi wengi lakini bado nchi inaingia hasara kwenye mikataba mbalimbali amesema kuna shida kubwa sana kuamini kwamba eti wasomi watatusaidia kwani hata hao wasomi hupitiwa na shetani na kuingia mikataba mibovu.
Amesema kiashiria cha mikataba kuwa mibovu ni hiyo mikataba kuwa ya Siri. Ukisikia tu mkataba wa Siri jua huo ni mibovu. Kama sio mibovu ni kwa maslahi ya umma kwa nini uwe Siri?
Aidha Profesa Tibaijuka anashangazwa sana na ukimya wa wananchi hasa wanapobaini kuna mikataba ya ovyo namna hii inayoitwa ya Siri.
Siyo ukweli tu, bali ni ukweli mchungu sana unaochoma moyoni.Ila ameongea ukweli
Akihojiwa na watangazaji wa Clouds fm ni kwanini licha ya kuwa na wasomi wengi lakini bado nchi inaingia hasara kwenye mikataba mbalimbali amesema kuna shida kubwa sana kuamini kwamba eti wasomi watatusaidia kwani hata hao wasomi hupitiwa na shetani na kuingia mikataba mibovu.
Amesema kiashiria cha mikataba kuwa mibovu ni hiyo mikataba kuwa ya Siri. Ukisikia tu mkataba wa Siri jua huo ni mibovu. Kama sio mibovu ni kwa maslahi ya umma kwa nini uwe Siri?
Aidha Profesa Tibaijuka anashangazwa sana na ukimya wa wananchi hasa wanapobaini kuna mikataba ya ovyo namna hii inayoitwa ya Siri.
Pengine hujaelewa vizuri hoja za Gen z ukiacha matukio ya kihuni yaliyofanywa na wahuni waliovamia hiyo movement ni kwamba walikuwa hawkubaliani na ongezeko kubwa la kodi ambalo serikali ilikuwa iongeze bila kuzingatia uhalisia wa maisha ya wananchi.lakini gen z ni majambazi, waporaji na waharibifu wa mali zao wenyewe, iweje utamani kua kama watu waliokosa uelekeo, wenye kiburi na wasiotaka kulipa kodi, ushuru na tozo kwa maslahi yao na nchi yao?
yaani unatamani kua mtu mvivu, mwenye kiburi na jeuri anaedeka na kuharibu mali za wengine , eti ili anufaike yeye pekee kana kwamba hakuna wananchi wengine, kweli?
ni muhimu kujitolea kufanya kazi kwa bidii na maarifa zaidi kwa manufaa yetu na Taifa letu,
hadaa za maprof. kama huyu mumama zisituchochee au kutushawishi na kujitumbukiza kwenye shida ambazo hazina maana yoyote kwama huko Kenya, 🐒
Prof.alishakua mtumishi kwa muda mrefu sana kitaifa na kimataifa, jambo la kujituliza ni lini ameanza kuona na kugundua haya ambayo leo hii eti analaumu wananchi kwa kukaa kimya?🐒
sio chuki binafsi tu ndio eti anataka kuchonganisha wananchi na serikali yao sikivu ya CCM?🐒
Ni ustarabu gani ambao kila mwaka yanafunguliwa makesi ya mikataba chechefu na tunapigwa mabilioni wakati waliosaini kwa niaba yetu wapo tu. Kwa hiyo kama ustarabu wetu ni kupigwa mabilioni hivi basi ni ustarabu wa kipuuzi sana.Nadhani isiwe kama Gen-z ya Kenya sisi tuna ustaarabu wetu ukishindikana mboko
Upuuzi!Akihojiwa na watangazaji wa Clouds fm ni kwanini licha ya kuwa na wasomi wengi lakini bado nchi inaingia hasara kwenye mikataba mbalimbali amesema kuna shida kubwa sana kuamini kwamba eti wasomi watatusaidia kwani hata hao wasomi hupitiwa na shetani na kuingia mikataba mibovu.
Amesema kiashiria cha mikataba kuwa mibovu ni hiyo mikataba kuwa ya Siri. Ukisikia tu mkataba wa Siri jua huo ni mibovu. Kama sio mibovu ni kwa maslahi ya umma kwa nini uwe Siri?
Aidha Profesa Tibaijuka anashangazwa sana na ukimya wa wananchi hasa wanapobaini kuna mikataba ya ovyo namna hii inayoitwa ya Siri.
Unajua utaratibu wa kazi... Ukiwa ndani huwezi ongeaHajaanza leo kweli kabisa ila tatizo lake ni Double standards zake !
Akiwa nje ya system anasema kweli lakini akiingizwa kwenye system anabadilika 🙄🙌👍🤦🏽♂️
Yap hata yeye kajitetea kuwa unapokuwa serikalini unatakiwa kumsaidia rais na yeye anakuwa mbeba maono yoteUnajua utaratibu wa kazi... Ukiwa ndani huwezi ongea
Wakitolewaga nje ya system wanajifanya wapo na wananchi. Alikuwa ndani ya system, alitaka kuiuza KIGAMBONI YOOOOOTEEEEE! Kosa Ndungalile (mbunge) watu wote kule wangehamishwa kama magunia. Any way, kwa maelezo yake ina maanisha alikuwa na shetani.Yeye kama yeye alichukua hatua gani?
Mimi nadhani tumpongeze kwa kuongea kuliko kunyamazaWakitolewaga nje ya system wanajifanya wapo na wananchi. Alikuwa ndani ya system, alitaka kuiuza KIGAMBONI YOOOOOTEEEEE! Kosa Ndungalile (mbunge) watu wote kule wangehamishwa kama magunia. Any way, kwa maelezo yake ina maanisha alikuwa na shetani.