TANZIA Profesa Tolly Mbwette afariki dunia

Society yetu imetawaliwa na watu wasiojielewa, wanaoendesha mambo kwa mahiri, kwa kutumia social media
... ni kweli kimeibuka kizazi kinachopenda kuishi maisha ya kufikirika badala ya halisi. Na hawa ndio waliotawala huko social media kwa mambo ya kipuuzi. Kama lile la Nigeria tuliletewa uzi humu linalala na mwanae wa kiume 7yrs chumba kimoja na wanaoga pamoja!
 
Huyu ndio alifanya mapinduzi makubwa Open university na kuwa chuo bora.
 
Dah mmenifungua masikio yaani mimi nilikuwa najua hiyo ndio hospitali yenye tiba bora Tanzania.
 
Pole baba, msomi wa watu
Nenda kwa Mungu wako,
Kifo kweli hakina huruma.

Pole wafiwa wote.

Pole watu wote walioguswa,

Pole sana wote
 
Pumzika kwa amani mwana mwema wa mama Tanganyika. Sogolaga wa kumwitu!
 
R.I.P. Vimbwete, hapo najiendea Daruso ninanunua chips kavu natulia zangu kwenye kimbwete. Asante ulivyokwenda Sweden ukaona then ukaja ukaweka project yako ya vimbwete. Jina lako litabaki vizazi na vizazi.
Unatulia na utamu wote dah!
 
Cha kushangaza anazidiwa umaarufu hata na Kina Giggy money na Steve Nyerere hata ndan ya Corridor za vyuo vikuu vya Nchi ya uchumi wa kati
Ukitaka kuwa maarufu Tanzania fanya ujinga na upumbavu kwa kiwango cha PhD. Nchi ya wananchi wengi wapenda ujinga hii!

Buriani Professor. Uliibadili sana OUT!
 
R.I.P Mwanzilishi wa neno Vimbweta ( sehemu za Kupumzikia na Kujisomea ) kwa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Nchini. Hilo neno limetoholewa hapo.
 
Mkuu umeniwahi kidogoooooo, hii Research yake naikumbuka Sana. Pia ailiwahi sema Maji ya kuchemsha Ni hatari kwa kunywa, Ila inashauriwa kuyafunika kwa mfuniko kwa siku kadhaa hiyo inatosha kuua vijidudu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…