dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
... ni kweli kimeibuka kizazi kinachopenda kuishi maisha ya kufikirika badala ya halisi. Na hawa ndio waliotawala huko social media kwa mambo ya kipuuzi. Kama lile la Nigeria tuliletewa uzi humu linalala na mwanae wa kiume 7yrs chumba kimoja na wanaoga pamoja!Society yetu imetawaliwa na watu wasiojielewa, wanaoendesha mambo kwa mahiri, kwa kutumia social media