TANZIA Professor James Shaba afariki dunia. Alifanyia postmortem mwili wa Hayati Sokoine

Wa kwanza wa TANZANIA ni yupi?
Rashid Mfaume Kawawa alikuwa waziri mkuu wa mwisho wa Tanganyika January 1962 mpk 9 December 1962.

Kuanzia 10 December 1962 mpk February 1972 nafasi ya waziri mkuu ilifutwa.

Mwaka 1972 February nafasi ya waziri mkuu ilirejeshwa na Rashid Mfaume Kawawa akawa waziri mkuu wa kwanza wa Tanzania mpk mwaka 1977.

Kawawa alifuatiwa na Sokoine
 
Mkuu please. Acha kusema mbege ni pombe chafu. Dah!

Hata mzee Mengi mwenyewe kwenye sherehe zake aliiweka na alikunywa vilevile.

Huyo unayemjibu ni mkabila nashangaa hujamjuwa.

Ni mlokole ambaye ni mkabila.
Huyo pimbi siyo mlokole ni mlevi mbwa fulani alitumia ujana wake vibaya sasa ni mzee anaishi kwa kudoea pombe. Ana chuki sana na Wachaga anafikiri ndiyo itaondoa umasikini wake.
 
Ali gwa kukaja??
 
Mara ya mwisho nilimwona pale soko la samaki la ferry.

Nakumbuka wakati akiwa Muhimbili, enzi za chama kushika hatamu. Kukatoka mwongozo kuwa mwenyekiti wa tawi wa chama awe na uwezo wa kumsimamisha mtaalam yeyote mahali pa kazi kama akienda kinyume na maadili ya chama. Wakati huo pale Muhimbili mwenyekiti wa tawi wa chama alikuwa Mama ambaye aliajiriwa pale hospitalini Muhimbili kama mfabya usafi.

Professor (RIP), akasema, mwenyekiti wa chama ni nani mbele ya profesa au dokta! Wakadai amekashfu chama, wakamsimamisha kwa muda. Mambo haya ya watu wenye uwezo mdogo kabisa kuwa juu ya wenye akili kubwa kwa Tamzania, hayakuanza leo!

Basi, Mungu wa huruma, tunamwomba amjalie pumziko jema la milele profesa Shaba.

Prof. SHABA NA PROF SARUNGI ndiyo miongoni mwa miamba ya kwanza kabisa katika tiba kwa bara la Afrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…