Hewaaa!! ndicho kinachotakiwa waingie kwenye mgogoro wasahau ukuta wao swadaktaa.HAPO SAWA.Chadema nawashauri mvunje ushirikiano na CUF ya Lipumba na mueleze bayana kwamba hamumtambui. CUF inayotambulika inaongozwa na Maalim seif na Julius Mtatiro.
Potelea mbali Lipumba ni mtu hatari zaidi ya Magufuli.Hewaaa ndicho kinachotakiwa waingie kwenye mgogoro wasahau ukuta wao swadaktaa.
It is only fair, tukiwa wakweliUwiiiii naiona kesho iliyopasuka
Kinachofanyika wanahamishiwa goli,ili magufuli afanye yake,wao wabaki wanawinda bundi asitue kwao.Potelea mbali Lipumba ni mtu hatari zaidi ya Magufuli.
Kwa kweli hali si nzuriIt is only fair, tukiwa wakweli
Anaongea kama nani? aliyesema kamrudishia uwenyekiti leo kamkana, baada ya hizi sarakasi zake ajiandae kujibu kesi ya jinai na madai.
Haki sawa kwa wote kama CUF wanavosemaga siyo kila kitu CHADEMA hiyo siyo demokrasia ni ukoloni mamboleo ambao MBOWE amekuwa akiiendeleza kwa ubabe wake!HAo madiwani wa CUF wako wangapi?Kama Ubungo wako wawili,unategemea Lipumba anauwezo wa kuwalazimisha?
Alishachelewa ndiyo aliye sasa
Mimi nakushangaa wewe, siasa zetu za wapinzani uchwara huzijui uchaguzi ukiisha tu migogoro inaanza,sisi ACT wazalendo umeshawahi kusikia mgogoro??nakuuliza? kimbilio pekee la watanzania.Kuna vituko ambavyi hata nashindwa kuelewa wao wanaovifanya wanawezaje kuvielewa n bado waweze kuwatazama usoni watanzania.
Haki sawa kwa wote kama CUF wanavosemaga siyo kila kitu CHADEMA hiyo siyo demokrasia ni ukoloni mamboleo ambao MBOWE amekuwa akiiendeleza kwa ubabe wake!
Hakuna kama profesa lipumba Tanzania maana bila yeye ata UKAWA hiyo mnayoitamka isingekuwepo MBOWE akili zote zlikuwa Club Bilcanas ! Lipumba ni MWANAMAGEUZI anayetakiwa kuenziwa vizazi na vizazi katika suala la kupigania katiba mpya na kupambania demokrasia ya kweli!Pole Simon Mato,naona Moto wa Jacob Boniface mmeuona sasa mmetafuta wimbo wa kuimba.Nampa Pole huyo mnayemuita msomi,hafai kuitwa hata baba
Hakuna kama profesa lipumba Tanzania maana bila yeye ata UKAWA hiyo mnayoitamka isingekuwepo MBOWE akili zote zlikuwa Club Bilcanas ! Lipumba ni MWANAMAGEUZI anayetakiwa kuenziwa vizazi na vizazi katika suala la kupigania katiba mpya na kupambania demokrasia ya kweli!
Tena usipende kuongea tuuh uwe unabakiza akiba ya maneno utaaibika siku! Unakumbuka mgogoro wa MBOWE na hayati CHACHA WANGWE uliopelekea MBOWE kujifungia na kamati yake Dodoma akaomba hadi polisi kuja kuwalinda ilimradi CHACHA WANGWE asiingie ukumbini! Huo siyo mtutu wa bunduki?Ni kweli kabisa,mwanamageuzi anayetumia mtutu wa Bunduki kulazimisha uenyekiti.Ni hulka ya vyama Tawala kutumia Polisi.Ni aibu hata wewe mwenyewe huwezi kwenda kwa mtalaka wako na Polisi kisa umeamua kufuta TALAKA.
Nimeamini MTALAKA anapendeza akiachwa.........................Maana kuondoka kwa Lipumba CUF imependeza ndiyo sabau KARUKA UKUTA na KUVUNJA milango
a tomorrow of hellsUwiiiii naiona kesho iliyopasuka
Tena usipende kuongea tuuh uwe unabakiza akiba ya maneno utaaibika siku! Unakumbuka mgogoro wa MBOWE na hayati CHACHA WANGWE uliopelekea MBOWE kujifungia na kamati yake Dodoma akaomba hadi polisi kuja kuwalinda ilimradi CHACHA WANGWE asiingie ukumbini! Huo siyo mtutu wa bunduki?