daza steven
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 359
- 358
Ni sawa kwani Prof. kama karudi nanayeye ni Ukawa hizi ni sarakasi na sinema za vyama vya upinzani. ngoja tuune haki sawa ikoje.Mwenyekiti wa Chama cha CUF Pr. Lipumba kasema ni lazima CUF na CHADEMA wagawane umeya wa Kinondoni na Ubungo kwa kila chama kuchukua halmashauri moja moja na sio madiwani wa CUF kuwa manaibu meya.
Mwenyekiti huyo kasema kuanzia sasa usawa katika kugawana viti lazima uwepo kama kweli umoja huo ni manufaa kwa vyama vyote. Na sio kuburuzwa na chama kimoja
Haki sawa kwa wote kama CUF wanavosemaga siyo kila kitu CHADEMA hiyo siyo demokrasia ni ukoloni mamboleo ambao MBOWE amekuwa akiiendeleza kwa ubabe wake!
Si ndio kinachotafutwa hapo?Unashindwa kuusoma mchezo mkuu?Tuna safari ndefu sana kwa wanasiasa wa aina hii, na usishangae meya wa ubungo akatoka ccm.
Hii ya kufunga 2016Ni sawa kwani Prof. kama karudi nanayeye ni Ukawa hizi ni sarakasi na sinema za vyama vya upinzani. ngoja tuune haki sawa ikoje.
Nilikuwa nakutahadharisha tuuh juu ya hilo na kuweka mambo sawa juu ya upotoshaji uliokuwa unataka kufanya humu!Tatizo lako unaongea ukirukia kila kona.Tuko kwenye issue ya Lipumba kurudi CUF,Jadili hilo hayo mengine hayapo yaache au anzisha uzi tujadili
Kinondoni cdm, 18 cuf 6,ccm 18Cuf wana madiwani wangapi Kinondoni?
Chadema wana madiwan wangap kinondoni?
Je CCM.....?
Nani kakwambia kuwa Lipumba ni mwenyekiti wa cuf?Mwenyekiti wa Chama cha CUF Pr. Lipumba kasema ni lazima CUF na CHADEMA wagawane umeya wa Kinondoni na Ubungo kwa kila chama kuchukua halmashauri moja moja na sio madiwani wa CUF kuwa manaibu meya.
Mwenyekiti huyo kasema kuanzia sasa usawa katika kugawana viti lazima uwepo kama kweli umoja huo ni manufaa kwa vyama vyote. Na sio kuburuzwa na chama kimoja
Ndio kusudio kubwa la ccmUwiiiii naiona kesho iliyopasuka
Linakaribia kutimiaNdio kusudio kubwa la ccm
Mkuu lipumba ni pandikizi hiyo haina ubishi kabisa na bila cuf kuwa makini watajikuta wanapoteza hata kile walicho nacho mkononiHuo umoja yeye si alishaukataa?
Kama mwenyekiti wa CUF akiwa Lipumba this time around, bora UKAWA ivunjwe tu mapema ili kila chama kijipange kivyake. Maana huyu anakoelekea atavujna umoja huo 2020 kwa maslahi ya CCM
Cuf watapoteza hata walicho nachoLinakaribia kutimia
Amesema hivyo wapi na lini??Mwenyekiti wa Chama cha CUF Pr. Lipumba kasema ni lazima CUF na CHADEMA wagawane umeya wa Kinondoni na Ubungo kwa kila chama kuchukua halmashauri moja moja na sio madiwani wa CUF kuwa manaibu meya.
Mwenyekiti huyo kasema kuanzia sasa usawa katika kugawana viti lazima uwepo kama kweli umoja huo ni manufaa kwa vyama vyote. Na sio kuburuzwa na chama kimoja
Shauri yaoCuf watapoteza hata walicho nacho
Kinondoni hapo ccm washachukua na cuf kubakia mikono mitupu kama uongozi wenyewe ni wa lipumbaKinondoni cdm, 18 cuf 6,ccm 18
ubungo cdm 10,cuf2ccm 2
Umesahau ile reject ya msindae kupokelewa ndani ya ccm kama shujaa?Kwa nini ionekane hili ndio lina mkono wa CCM na sio lile la Edo kutoka CCM kama 'reject' na kuibukia Chadema kama shujaa?