Tetesi: Professor Lipumba: Lazima tugawane Umeya wa Kinondoni na Ubungo

Tetesi: Professor Lipumba: Lazima tugawane Umeya wa Kinondoni na Ubungo

Propesa ndo nini! UKAWA imejaa wahuni ambao kwao shule ni tatizo sanaa kama viongozi wao;

1. KUBENEA shule ziro

2.Sugu shule ziro

3. MBOWE shule ziro

4. Mnyika shule ziro

5. LEMA shule ziro

Kweli inahaja kuwashika kwa ulazima kuwapeleka hawa watu shule ili waache utapeli na uhuni kwenye siasa!
1;Maji marefu
2:kibajai
3:serukamba
4:jah people
5:sendeka
6:kasheku
7:
 
kama wanachadema mnakataa wazo hili la lipumba basi mna lengo la kiua CUF. kwani si ukawa ile ile?? kama meya mmoja akitoka CUF kuna tatizo gani?
 
  • Thanks
Reactions: nao
Wana CUF wa Bara tunamuunga mkono Profesa..

Haiwezekani Halmashauri zote Chadema wawe Mameya sie tuishie kuwa Manaibu...huu ni udharirishaji. Halmashauri ya Kinondoni Meya awe CUF...
 
  • Thanks
Reactions: nao
Katumwa huyo na watu wa Lumumba
Ametumwa na nani? Msitafute mchawi ccm wakati mnaye hukohuko. Kinachowatafuna sasa ni hilo dudu lililojificha kwenye kivuli cha UKAWA.Huu mvutano tuliushuhudia hata kipindi cha uchaguzi kwahivyo wala si jambo geni. Pambaneni nalo na sio kuiangushia lawama ccm kwenye kila jambo linalowaendea vibaya.
 
Anaongea kama nani? aliyesema kamrudishia uwenyekiti leo kamkana, baada ya hizi sarakasi zake ajiandae kujibu kesi ya jinai na madai.
Nadhani ulipata taarifa zisizo sahihi, alichokisema msajili ni kuutambua uenyekiti wa lipumba kwa mujibu wa katiba ya CUF
 
Chakula wamepika wengine, wewe kimbelembele cha kujipa madaraka ya kupakua na kugawa! Shameless old man
 
Le proffesor ibra nkuruzinza idd lipumba dada at work, safisha safisha kila kitu baba
 
Aliukat
Huo umoja yeye si alishaukataa?
Kama mwenyekiti wa CUF akiwa Lipumba this time around, bora UKAWA ivunjwe tu mapema ili kila chama kijipange kivyake. Maana huyu anakoelekea atavujna umoja huo 2020 kwa maslahi ya CCM
Aliukataa vipi wakati yeye ndie mwanzilishi,Lipumba alimkataa Lowassa,ukisema Ukawa huwezi kumuacha pembeni Prof Lipumba na ukamuweka mbele mhamiaji aliyekuta chakula mezani baada ya kukataliwa CCM
 
Ndugu zangu nawashauri Madiwani wa CUF wasikubali kudanganywa na Lipumba. Aliwaaacha wakati wa shida katikati ya mchakato wa uchaguzi mkuu 2015. Kura walizopata zilitokana na jitihada za huyo aliyemkataa yaani Edward Lowassa. Kwa mantiki hiyo hapaswi kudai chochote kilichopatikana kutokana na kazi iliyofanywa na UKAWA. Alibwanga manyanga akakimbia kwenda kuungana na Interhamwe wenzake kuhujumu upinzani. Kama kweli Lipumba ana busara itokanayo na malezi ya wazazi wake ni vizuri aitumie fursa aliyo nayo kuunganisha makundi aliyoyaanzisha ndani ya CUF badala ya kukibomoa chama hicho kilichojengwa kwa jasho jingi sana.
Madiwani wa UKAWA tumieni busara zenu ili msipoteze kidogo mlicho nacho. Anachofanya Lipumba ni kuwagawa madiwani wa UKAWA ili CCM ipenye na kushindani chaguzi za halmashauri hizo. Lipumba hivi laana hii unapeleka wapi?
DJ alilipwa ngapi mpaka akauza chama kwa Mafisadi kutoka ccm??
masikini profesa huyu..lol
 
naona lipumba kaanza kazi yake rasmi aliyotumwa na ccm. poleni cuf, poleni UKAWA...
 
Prof.Pumba wakati Wenzako walipambana kwenye uchaguzi wewe si Ulikimbia,sasa Umeya unakuhusu nini!
Anzisha chama chako upate mameya wako,sio watu wapambane wewe ulete usaliti wako.
 
HAo madiwani wa CUF wako wangapi?Kama Ubungo wako wawili,unategemea Lipumba anauwezo wa kuwalazimisha?

Alishachelewa ndiyo aliye sasa
Lipumba anatumika na ccm ili kuangusha msimamo Wa umeya Wa kinondoni uliokuwa mwiba kwa MAFISADI Wa cocobeach na deal zingine zilizokuwa zimeibuliwa na Ukawa. Ccm wameona wamshitue kuwa tulikupa PESA kufanikisha adhima za fisiem sasa prof usilale rudi kundini ili tuirudishe nyumbani Kinondoni potelea mbali Ubungo. Na le prof kaanza na utengano ndani ya Ukawa ili watengane wakose umeya. Kweli usaliti ni sumu mbaya sana.
 
Back
Top Bottom