Amepiga simu polisi kuomba usaidizi ili aweze kuanzisha ibada ya masifu ya asubuhi kesho asubuhi, anapiga piga simu ovyo kusumbua wazee wa watu kuulizia hali ilivyo baada ya kufanikiwa kutoroka kanisani
Kama Meki Mekisime na Cambiaso?Huenda alikuja Kwa kutumwa sasa mission accomplished probably!
Wengi wanasubiri Kimaro aanzishe huduma Au la wataenda makanisa ya kilokole kusali.
Unashadadia sana hili tatizo..
Ninakuhakikishia kuwa hili jaribu la Kimaro litapita na awamu ijayo atakuwa na nguvu mpya na utaona haya kwa michango hii.
Wakristo sisi ni vituko wakati mwingine...unafurahiaje tatizo la mwenzio?
Lini waislam wanafurahiaga shida za wenzio badala ya kuwatetea?
Wakrsito tutajielewa lini?
Uaminifu ni tabia isiyo na mahusiano kabisa na dini.. Labda umechanganya imani na dini..Mnatetea ujinga hadi mnajitoa ufahamu. Unatenganishaje uaminifu na dini wakati dini hiyo hiyo inatusihi tuwe waaminifu.
Wanachohoji waumini ni nini sababu ya kusimamishwa kwake?
Huyu baba, aanzishe kanisa lake!Tujikumbushe, projects kadhaa ambazo Mchungaji Dkt. Kimaro amezifanya akiwa Mchungaji Kiongozi, KKKT Usharika wa Kijitonyama,
1. School of Healing (Morning & Evening Glory) -Youtube Channel (mwanzoni ikiwa Eliona Kimaro TV baadae KKKT Usharika wa Kijtonyama) inayowafikia watu wote Duniani.
2. TAMASHA LA MBINGU KUJAA SIFA (kila mwaka)
3. Jengo jipya la Sunday School (lililogharimu yapata takribani 200m TZS)
4. Ununuzi wa Kiwanja pembezoni mwa kanisa yapata 300m TZS
5. Kusomesha yatima yapata 100
6. World Pray Online (WPO), Call Centre ya maombi masaa 24, siku 7 za wiki.
NB: Ikumbukwe waliokuwa wanasali hizo Morning & Evening Glory wengi hawakuwa waumini wa KKKT bali wa madhehebu mengine na Waislam kuondoka kwake Dkt Kimaro tutarajie mabadiliko kiasi.
***Mchungaji Kiongozi (Mpya) Anna apewe ushirikiano kuendeleza alipoishia Dkt Kimaro.
Embu niambie ni Imani gani ya kidini ambayo huwa haiwasihii wafuasi wake Uaminifu. Achilia mbali zile imani zako za kichawi ulizostahafu kuzifuata.Uaminifu ni tabia isiyo na mahusiano kabisa na dini.. Labda umechanganya imani na dini..
Hata kwenye amri kumi za Mungu uaminifu hautajwi bali upendo kama amri kuu
Lilikua ni pandikizi ya watu wa malasusa na wengine wapo pale wanajifanya ni wanakwaya na wana praise and worship team ila deep down ni mapandikizi ya yule mzee
Huko kufa umekuandika wewe!
Subirini mdororo wa waumini na sadaka!
Mnatetea ujinga hadi mnajitoa ufahamu. Unatenganishaje uaminifu na dini wakati dini hiyo hiyo inatusihi tuwe waaminifu.
Kwa hiyo ulitaka nyeusi aiite nyekundu siyo? [emoji12] The truth must be said..
Kwani ni kosa ?
Ungejibu hoja yake kwamba mbona kuna sharika nyingi lakini hazijafanya kitu?
Ukweli mchungu hamtaki kabisa kuusikia nyie mnataka kupakwa mafuta tuu na kuambiwa mwenende kwa amani ya Bwana basi.Tofautisha truth na abuse
Wee ndio unajicontradict. Umeshasema uaminifu ni suala la mtu binafsi then hapo hapo unasema hauwezi kuwa mkristo bila kuwa mwaminifu. Sasa mkristo ni n'gombe au mtu?!!Sasa Kama dini inasema tuwe waaminifu, halafu wewe huwi mwaminifu. Utaitwa mkristo?. Ukristo ni kuuishi ukristo. Ukisema vijana wa kikristo sio waaminifu unajicontradict maana ukristo hauhamasishi vijana kutokuwa waaminifu.
Kwani baraza la wazee si lilikuwepo kabla yake ,mbona hawakuyafanya kwa wachungaji waliotangulia. Tuwe na roho ya shukrani kama waenda mbinguni, unless ni wasindikizajiKumbuka Baraza la wazee ndio lenye kubeba yote, kazi zote hizo ulizotaja bila Baraza la wazee mchungaji hawezi hata iweje