econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Amepiga simu polisi kuomba usaidizi ili aweze kuanzisha ibada ya masifu ya asubuhi kesho asubuhi, anapiga piga simu ovyo kusumbua wazee wa watu kuulizia hali ilivyo baada ya kufanikiwa kutoroka kanisani
Unapenda roho ya mafarakano. Unapenda kuona fujo. Hilo halitatokea na Kijitonyama itasimama imara daima. Kama mnahama hameni Mungua ana watu wengi Sana, nyie sio wa kwanza. Acheni roho ya fujo muondoke na huyo mchungaji wenu mliyemfuata.