Projects za Mchungaji Kimaro akiwa KKKT Kijitonyama

Tena chuki kubwa mnoo hapo wameshatafuta namna ya kumwangusha na hatokaa apate upenyo wa kuyafanya yale aliyoyafanya kijitonyama....labda aanzishe mwendo kivyake na si chini ya taasisi tena

Kauli yake imemponza.
 
Unaambiwa na huyo mchungaji wako mastai watamla kichwa siku si nyingi..maana yupo kwenye kundi la wachungaji wajuaji wenye kibri Cha mafanikio
 
Safi sana Kimaro!

Kwapiga kwenye mshono! Yani mlitaka aondoke pale usharikani kimyakimya bila kusema?
 

Jii kisa You Tube?. Kwa hivyo ili kanisa likuwe lazima litangazwe you tube?. Kimaro kaikuta kijitonyama na ataondoka na kuiacha kijitonyama kama ilivyo.
 
Hizi taasisi zina mambo ya ajabu sana hwataki mch kama yule afanye makubwa ya kuonekana na akakubalika sana kuliko jina la taasisi yenyewe

Punguza uongo. Kimaro anafahamika kuliko KKKT?. Unafahamu KKKT au unaongea tu. Mbona Mwakasege ni maarufu lakini akifika KKKT ni mshirika wa kawaida anakaa back bech.
 

Tokeni na Kimaro wenu. Unaongea kwa hisia utadhani unajua lolote. Nyie Kama mnamuona kimaro Bora ondokeni naye. KKKT mmeikuta na mtaiacha. Uhamsho hauletwi na mtu bali na Mungu.

Halafu kamuulize I huyo Kimaro kwanini kasimamishwa. Maana mnaongea tu, mkiambiwa sababu mtakubali au mtakataa.
 

Mnaitukana KKKT na mnadai ameleta uhamsho, uhamsho wa matusi. Unafahamu uhamsho?. Uhamsho mnaandama mmevaa visuruari vya kubana?. Tena kanisani?. Be serious
 
Unaweza kutuwekea hapa huo mfumo na ni kwavipi Kimaro alitaka kuuzidi?

Kimaro Hana ubavu wa kuuzifi mfumo wa KKKT tuache kumpa mtunsifa za kijinga. Angekuwa na nguvu asingekubali kusimamishwa na kuripoti makao makuu ili apangiwe kazi nyingine.
 
Mnaitukana KKKT na mnadai ameleta uhamsho, uhamsho wa matusi. Unafahamu uhamsho?. Uhamsho mnaandama mmevaa visuruari vya kubana?. Tena kanisani?. Be serious
Ni uamsho, siyo uhamsho.
 
KKKT ni kubwa na ina sharika na mitaa mingi tu ambayo imechoka wala haiwezi kujiendesha ni wakati sasa wa Eliona kwenda kutumika mahali pengine
 
Wanasahau kuwa kanisa sio jengo au hivyo vyama(madhehebu) ambavyo vinapewa usajili kama kama vingine tu.Mimi sio Mlutheri lakini nimeabudu pale mara nyingi mno sababu ya moto tu uliopo kiroho.Ttatizo watu wamekazana kujenga falme za dini na madhehebu yao badala ya kujenga KANISA LA KRISTO ambalo haliangalii dhehebu ila kumuamini Yesu kama Bwana na Mwokozi.Mwisho uko karib sana
 
Sasa kama kweli ni wezi angepaswa asemeje?
 
Panapostahili sifa pasifiwe tu hakuna alichokosea hapo.

Hakuna alichokosea?. Kuwaita KKKT kanisa la madalali na Katoliki kanisa la kweli?. Ukweli ndio Nini? Kesi za ufiraji zipo kanisa gani? Tuache kutetea mambo kisa kasema Fulani. Huyo alitakiwa kufukuzwa kabisa aende huko Katoliki.
 
Ndio apeleke huo uamusho kwingine na uhamisho kwa wachungaji mbona ni kawaida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…