kusudi lake ni nini hasa ambalo alikuumba..?? did you share him his intention to create you..??Mimi binafsi namwamini Mungu kuwa alituumba hapa duniani kwa kusudi lake.
Biblia imeweka wazi kuwa Mungu aliniumba ni ishi duniani nikimtumikia yeye na kutawala viumbe alivyoviumbakusudi lake ni nini hasa ambalo alikuumba..?? did you share him his intention to create you..??
how did you know his intention..?? umejuaje kusudi la mungu kama bado unakufa then unashindwa kujua ulikuja duniani kufanya nini na kama usingekuja ni mapunngufu yapi mungu angeyapata..??
Sent using Jamii Forums mobile app
unaweza ukajua umri wa kitu chochote kwa kutumia formula maalumu ..Kipimo kilichopima umri wa universe kina miaka mingapi??
Hiyo ni imagination tu, hakuna ukweli kuhusu umri wa ulimwengu.unaweza ukajua umri wa kitu chochote kwa kutumia formula maalumu ..
Cosmic background ndo njia pekee inayopima umri wa Universe...
Ukihitaji shule hapa andaaa karamu na daftari kubwa ( counter book) nitakuprovia jinsi hiyo bilioni 13 ~ 14 inavyokuja..
Sent using Jamii Forums mobile app
...[emoji4] [emoji4] kidgo nikwambia ukakojoe ulale ila nisamehe bure...Biblia imeweka wazi kuwa Mungu aliniumba ni ishi duniani nikimtumikia yeye na kutawala viumbe alivyoviumba
siyo imagination broo..Hiyo ni imagination tu, hakuna ukweli kuhusu umri wa ulimwengu.
kwa hiyo zile tochi za barabarani zina imagina speed ya gari..??Hiyo ni imagination tu, hakuna ukweli kuhusu umri wa ulimwengu.
sure...Kujua kuwa kitu kipo sio lazima mimi nione ila kuna ushahidi kadha wa kadha wa ambako wamewahi kutua hawa viumbe mojawapo ikiwa ni Zimbabwe
Dawa zipi unazoongelea ? mbona hata bongo kuna viwanda vya madawaMkuu nikwambie tu kama ulikuwa hujui ukitaka kufaulu elimu pata 0. Ukipata 100 a b au c, unashushwa hadhi na unamwagiwa ujinga, Unatumia miaka 20 kusoma halafu unakuwa doctor ambaye hujui hata dawa inatengenezwa vipi, Akili tumezaliwa nazo shuleni tunafata upumbavu tu.
Hata wafanyakazi wa kiwanda hawajui inatengenezwaje, sawa tu na coca colaDawa zipi unazoongelea ? mbona hata bongo kuna viwanda vya madawa
Sent using Jamii Forums mobile app
mbona mi nafahamHata wafanyakazi wa kiwanda hawajui inatengenezwaje, sawa tu na coca cola
Taasisi ya Ifakara na NIMRI hawajui wanachokifanya pale?Hata wafanyakazi wa kiwanda hawajui inatengenezwaje, sawa tu na coca cola
hapo kwenye sura mbaya pamenifanya nicheke halafu pamenifikirisha lile andiko la kwenye biblia toka agano la kale la "..tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani..."Ulimwengu ili uwepo lazima kuwe na siri ndio maana hata maandiko kadhaa huwa yanatuacha hoi ikiwemo hili la UFOs sawa wao wametutengeneza vipi wao wametokea wapi na kwanini wameshindwa kuweka viumbe sayar zingine?! Na kwanini tuwe na sura nzuri kuliko wao waliotuumba wenye sura mbaya kama vibwngo
Na waliwezaje kufanikisha kulimiti uhai wa kila kiumbe?!
Kwa kauli kama hizi za Mungu wenu ndio zinadhihirisha kabisa kuwa miungu yenu ni ma_allienhapo kwenye sura mbaya pamenifanya nicheke halafu pamenifikirisha lile andiko la kwenye biblia toka agano la kale la "..tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani..."
Lipo ila siamini nadhanira ya kwamba ndani ya dunia kuna dunia [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
...Taifa teule kivipi mkuu,..na limeteuliwa na nani..?Technology inatoka kwa wazungu ambeye mwenye asili ya kiiziraeli kumbuka hawa watu walipewa utashi mkubwa kumbuka israeli ilikuwa ni taifa teule sasa alichofanya muamerika hakuwafukuza hawa majamaa walibaki nchini mwao na kufanya mambo meningi kumbuka hata binadam wakwanza kwenda mwezini alikuwa n muamerka sio kama sisi ukitaka kugundua kitu unafichwa
Sasa wenzetu white wanasomea kujifunza kutengeneza vitu na kuinvest kwny kitu chenyewe as long itachukua coast na time hajali akini watu weusi tunapoteza muda mwng kutafuta malazi na chakula
Tunaletewa vitu na ujuzi coz hatujawa civilized alafu we unauliza technology inatoka wap
Jibu ni simple
KWA WAZUNGU
Sent using Jamii Forums mobile app