lifecoded
JF-Expert Member
- May 9, 2018
- 1,424
- 4,359
- Thread starter
- #181
kusudi lake ni nini hasa ambalo alikuumba..?? did you share him his intention to create you..??Mimi binafsi namwamini Mungu kuwa alituumba hapa duniani kwa kusudi lake.
how did you know his intention..?? umejuaje kusudi la mungu kama bado unakufa then unashindwa kujua ulikuja duniani kufanya nini na kama usingekuja ni mapunngufu yapi mungu angeyapata..??
Sent using Jamii Forums mobile app