Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

Mimi binafsi namwamini Mungu kuwa alituumba hapa duniani kwa kusudi lake.
kusudi lake ni nini hasa ambalo alikuumba..?? did you share him his intention to create you..??

how did you know his intention..?? umejuaje kusudi la mungu kama bado unakufa then unashindwa kujua ulikuja duniani kufanya nini na kama usingekuja ni mapunngufu yapi mungu angeyapata..??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biblia imeweka wazi kuwa Mungu aliniumba ni ishi duniani nikimtumikia yeye na kutawala viumbe alivyoviumba
 
Kipimo kilichopima umri wa universe kina miaka mingapi??
unaweza ukajua umri wa kitu chochote kwa kutumia formula maalumu ..

Cosmic background ndo njia pekee inayopima umri wa Universe...

Ukihitaji shule hapa andaaa karamu na daftari kubwa ( counter book) nitakuprovia jinsi hiyo bilioni 13 ~ 14 inavyokuja..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unaweza ukajua umri wa kitu chochote kwa kutumia formula maalumu ..

Cosmic background ndo njia pekee inayopima umri wa Universe...

Ukihitaji shule hapa andaaa karamu na daftari kubwa ( counter book) nitakuprovia jinsi hiyo bilioni 13 ~ 14 inavyokuja..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni imagination tu, hakuna ukweli kuhusu umri wa ulimwengu.
 
Biblia imeweka wazi kuwa Mungu aliniumba ni ishi duniani nikimtumikia yeye na kutawala viumbe alivyoviumba
...[emoji4] [emoji4] kidgo nikwambia ukakojoe ulale ila nisamehe bure...

Mkuu naomba uwe msomaji tu wa point za watu..

nataka nibishane na ww nje ya bible facts..

We live under matelial things to prove everything in motion...

ukiniletea habari za bible na maneno yake bila proof nakushangaa..

Any way endelea na iman yako..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni imagination tu, hakuna ukweli kuhusu umri wa ulimwengu.
siyo imagination broo..

be factly mkubwa..unaanzaje kubisha wakati mambo yapo laivi...

unaanzaje kukataa kuwa kuwa kipimo hiki hakipimi malaria ila unasema imagination tu..

hebu toa imani hizo twende na scientific facts...

thats how real men argue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni imagination tu, hakuna ukweli kuhusu umri wa ulimwengu.
kwa hiyo zile tochi za barabarani zina imagina speed ya gari..??
mbona hakuna mtu aliwahi kwenda mahakamani kupinga juu ya speed aliyokuwa akiendesha baada ya kunoticiwa alikuwa katika high speed..??

kwa sababu mode of kculation ni kuhusiana na hizo background wave machine inazotoa ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nikwambie tu kama ulikuwa hujui ukitaka kufaulu elimu pata 0. Ukipata 100 a b au c, unashushwa hadhi na unamwagiwa ujinga, Unatumia miaka 20 kusoma halafu unakuwa doctor ambaye hujui hata dawa inatengenezwa vipi, Akili tumezaliwa nazo shuleni tunafata upumbavu tu.
Dawa zipi unazoongelea ? mbona hata bongo kuna viwanda vya madawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata wafanyakazi wa kiwanda hawajui inatengenezwaje, sawa tu na coca cola
Taasisi ya Ifakara na NIMRI hawajui wanachokifanya pale?

Senior officials wa pale wameingia kwenye siasa za bongo, wamesocialize na watu uraiani kawaida tu ila hatujasikia wamekuwa brainwashed Au kufanyiwa mental abduction.

Mambo mengine yapo tu ili yazungumzwe Siku ziende na tuendelee ku stack kwa kuwaza complex issues ambazo hazipo na hazithibitiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjadala wa kijinga sana,unaongelea vitu ambavyo ujawai kuviona zaidi kwenye sinema,umbeya na udaku vina nafasi kubwa sana kwa watanzania
 
Ulimwengu ili uwepo lazima kuwe na siri ndio maana hata maandiko kadhaa huwa yanatuacha hoi ikiwemo hili la UFOs sawa wao wametutengeneza vipi wao wametokea wapi na kwanini wameshindwa kuweka viumbe sayar zingine?! Na kwanini tuwe na sura nzuri kuliko wao waliotuumba wenye sura mbaya kama vibwngo
Na waliwezaje kufanikisha kulimiti uhai wa kila kiumbe?!
hapo kwenye sura mbaya pamenifanya nicheke halafu pamenifikirisha lile andiko la kwenye biblia toka agano la kale la "..tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani..."
 
Kwa kauli kama hizi za Mungu wenu ndio zinadhihirisha kabisa kuwa miungu yenu ni ma_allien

Vitabu vyenu mnavyo jitoa mhanga navyo vimejaa simulizi kibao za alien alafu bado mtu anashangaa

Na ivi ni nani aliwadanganya wanyama wanashobo ya kutawaliwa.!?

Ukienda mbugani unakuta wametulia wanajilea vyao hawana hata mpango nanyi na maisha yanaenda

Nyie kwa viandiko vichache tayari mnajipa utukufu msio uhustahili na kujiona mna haki juu yao.!? Poleni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lipo ila siamini nadhanira ya kwamba ndani ya dunia kuna dunia [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Hakuna dunia ndani yake ila inasemekana kuna aliens wanaishi humo na ndio maana marekani wanapalinda ili asitokee binadamu mwingine yoyote atakayefanya uvumbuzi kuwazidi wao,manake hao aliens inasemekana kwa Hi- tech ni balaa
 
Technology inatoka kwa wazungu ambeye mwenye asili ya kiiziraeli kumbuka hawa watu walipewa utashi mkubwa kumbuka israeli ilikuwa ni taifa teule sasa alichofanya muamerika hakuwafukuza hawa majamaa walibaki nchini mwao na kufanya mambo meningi kumbuka hata binadam wakwanza kwenda mwezini alikuwa n muamerka sio kama sisi ukitaka kugundua kitu unafichwa

Sasa wenzetu white wanasomea kujifunza kutengeneza vitu na kuinvest kwny kitu chenyewe as long itachukua coast na time hajali akini watu weusi tunapoteza muda mwng kutafuta malazi na chakula

Tunaletewa vitu na ujuzi coz hatujawa civilized alafu we unauliza technology inatoka wap
Jibu ni simple
KWA WAZUNGU

Sent using Jamii Forums mobile app
...Taifa teule kivipi mkuu,..na limeteuliwa na nani..?
...akili za walokole ni za hovyo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom