Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

Km sikosei mkuu inasemekana kwamba DNA za nywele huwa hazipotei pindi mtu anapokufa
Hii ikoje mkuu na kwa nn iwe nywele
mkuu keratin ndo protein ngumu zaidi na haipotezi DNA sequence zake kwa muda mrefu..

Hiyo ni kwa sababu ni very strong and rigid when thick, it can be very flexible when very thin.

kwa hiyo kwenye Keratin Traits hazipotei kirahisi kama ilivyo kwenye ngozi..

Ngozi ikioza tu basi Sequence inapotea ila sio kwenye keratin.

keratin is a protein, which in turn is made up of amino acids and cysteine disulfide. The latter makes sulfur atoms form a firm structure called disulfide bridges. The levels of the amino acids and disulfide bridges determine what the hair will look like.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ni wazi kabisa binadam tukafanana kila kitu lakini co alama za vidole
Je kama kweli tume kua clone mbona sijawahi kuona alama za vidole kufanana
What the secret behind this (fingerprint)
 
Am sorry bro, me silinganishi binadamu na kiumbe chochote kile, ila nimemlinganisha binadamu na mambo aliyoyafanya na ambayo anaweza kuyafanya. Binafsi nimekuona kama una doubt na uwezo wa binadamu kiasi kwamba umepata article zilizoendana na doubt zako zinazokuonyesha kua haya makubwa ya duniani binadamu hawezifanya so umeamini kua yanatokea kwa hao viumbe and ts even worse that "you actually think that you are created by aliens" (what a tragidy). And by the way, it looks like u've gone through a lot of trouble to believe what you believ, and it doesn't look like you can give it up because I've seen a lot of logics there which you don seem to give a damn about.

U've gat a bigger mind bro, don't let fools fool you.

mkuu umesoma characteristics za genetic codes??

Ni hivi ,unaweza ukakuta genetic codes zinamatch kuwa na kazi tofauti au group tofaut za genetic codes zinatengeneza kitu kimoja..

unaweza ukakuta codon zinatengeneza nywele sura yako ni AGG lakini zangu zilizotumika kutengeneza sura yangu ni GGA ,

Unaona sasa hapo kwa hiyo two different amino acids can form the sama characteristics sema appearance inakuwa tofauti kutokana na arrangement ya Genetic codes hizo..

The code is degenerate which means that the same amino acid is coded by more than one base triplet.

For example, the three amino acids arginine, alanine and leucine each have six synonymous codons
A triplet code could make a genetic code for 64 different combinations (4 X 4 X 4) genetic code and provide plenty of information in the DNA molecule to specify the placement of all 20 amino acids.

When experiments were performed to crack the genetic code it was found to be a code that was triplet. These three letter codes of nucleotides (AUG, AAA, etc.) are called codons.

Mkuu si unakumbuka somo la permutation la mathematics
yani unambiwa hivi ni namna gani tutaweza kupata namna tofauti kwenye namba 234 ,!! yani unaambiwa ni namba zipi au arrangements ngapi zitapatikani kweny namba hii??

kuna malaki mamia ya arrangements tofaut za namba 234 .
hiyp njia itakupatia arrangements tofaut za namba ile ile..

ndivyo inavyotumika hata kwenye genetic predisposition ya traits na ndo mana hatuwezi kufanana hata siku moja na hutaweza kufanana na mtu duniani kote..

unakuta wew una codes AGC halafu posibility ya mtoto kuwa na codes kama yako ni CGA ,unaona hapo yani mtoto kainherit genes zako lakini katika mfumo tofauti..

nadhani utakuwa umeelewa kwnaini tupo tofauti..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ha ha ha well said..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukrani mkuu!
Lakini mkuu jiulize pia na hao alien walitoka wapi????
Kwanza Aliens is hoax never existed ni man made creature of imagination...
Una ushahidi kua Aliens wapo...?
Royal families have pure hybrid genetically from Extraterrestrial beings..

Consider about ther infiltrations to the governement as well as in the religous groups...

They induce laws to those people who instruct others what to do while being guided by formulated laws and principles ,all in all is to keep hidding their traits in order to expand their civilizations..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Human and other living creatures follow the same principles,
1) birth,
2) inheritance of behavior patterns,
3) death

And that is called Life,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asee

[emoji767]101-03-821.M|T|C
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…