Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

kwahiyo hao alliens ndo walitubadilisha kutoka kua sokwe hadi kua watu?
Aliyekuambia kuwa ulitoka kuwa sokwe ni nani...??

Mbona leo hatuoni mabadiliko hayo..??

huwezi ukajiuliza swali hapo..??

wanaokutawala ndo wanakudanganya hivo kuwa ulikuwa sokwe..ili usihoji zaidi how nature brought you into existance..

kwanini sokwe wamebaki kuwa sokwe na hatuoni wakibadilika ..??
(Hiyo inaitwa genetic diversity )
umesoma shule ya msingi huko wakakudanganya binadamu wa kwanza aliishi Tanzania ukameza kama ilivyo ila kadri unavozidi kwenda juu( ndani zaidi) unagundua kuwa jmaaa hawana nia njema na sisi ,wanazidi kukublackmind kabsa ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
okay mkuu mie imani yangu ni MWENYEZI MUNGU Ndie aliniumba na kunileta ktk dunia hii ili nimuabudu.na sina shaka ktk hilo
 
sawa...kama kila kitu ingekuwa ni imani basi ungeweza kukaaa nyumbani bila kutafuta pesa na ukawa ukiamini pesa itajileta mfukoni, hakika nadhani ungekuwa unalala njaa kila siku..

think twice mkuu...

Inabidi uhoji unachokiamini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sawa...kama kila kitu ingekuwa ni imani basi ungeweza kukaaa nyumbani bila kutafuta pesa na ukawa ukiamini pesa itajileta mfukoni, hakika nadhani ungekuwa unalala njaa kila siku..

think twice mkuu...

Inabidi uhoji unachokiamini

Sent using Jamii Forums mobile app
hauwezi kujua kitu mpaka ukifatilie na ukisome.mie nimemsoma MUNGU wangu na nimejichunguza mwenyewe nilikua wapi nipo wapi na ninakwenda wapi na mambo gan MUNGU ameyatenda ktk ulimwengu huu hapo ndo imani yangu inapoongezeka juu ya uwepo wake.
 
sawa mkuu,basi kama umeamua kuwa hivyo ,dont question about others kuhusu imani zao..

Unavyoshangaa watu kuhoji na kuamini juu ya imani nyingine ndivyo hivyo hivyo wanavokushangaa na wew kwa kubaki na imani hiyo..
Tupo kwenye matrix system ambayo imetufunga kuelewa how reality is..

Lazima kuna kundi la watu wapo wrong..trust me..

hii system ni tata sana kuielewa..

Watu flani wanaweza tengeneza scenario ikapata watu na kujikuta wanaamini juu ya kitu flani..everything is possible ,kumdanganya mwanadamu juu ya uwepo wa Nguvu flani ni simple sana kuliko kumruhusu afanye tafiti mwenyewe

uko sawa mkuu nashukuru kuna vitu nimejifunza kupitia kwako
 
"JE; tunaweza kweli kuwa ni programmed species za hao jamaaa,,?"
Swali lako linaweza kuwa sio swali sahihi. Kwann usiulize Je, binadamu na aliens hawawezi kuwa wamekuwa programmed na "one maker" ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Na kama ni kweli wametuprogram wasingeweka utashi wa ku hoji jinsi walivyotuprogram kama tufanyavyo hapa unless tuwape uungu
 
This is the matrix..everything is under codes..

There is a door for you to escape from this matrix system..

Unafikilia katika surface level sana mkuu..

the system does not work the way unavyotaka ww..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kama ni kweli wametuprogram wasingeweka utashi wa ku hoji jinsi walivyotuprogram kama tufanyavyo hapa unless tuwape uungu
system inavyorun mambo hayo ipo katika molecular level zaidi..
what is Uungu mbele ya matrix system..??

Lait ungejua jinsi Mungu kapandikizwa kichwani mwako kukufunga usieleww system inavyooperate usingekimbilia na kutanguliza hilo neno..

No one will tell you how the system is ,only yourself to feel it and to escape from the enclosed system of awareness..

It is difficult to explain how it works but kaa chinin utafakari zaidi ,you can come up with something beyond nature inayocontrol kila kitu..

Mkuu unasema Mungu kapandizwa kichwani mwangu hivi hujafikiri kuwa kama unavyoweza kuwaza hivi ikawa ni dhahiri kuwa wazo la Aliens kutuumba limepandikizwa kichwani mwako hivyohivyo
 
Nadharia ya uwepo wa aliens ni change LA macho inayotumiwa na waabudu shetani kupotosha binadamu kujua kweli ya mambo mengi ulimwenguni hizo technology Kali ktk ulimwengu wanazipata kwa devil hakuna alliens
 
Mpaka leo unaamini kuna shetani..!
 
Nadharia ya uwepo wa aliens ni change LA macho inayotumiwa na waabudu shetani kupotosha binadamu kujua kweli ya mambo mengi ulimwenguni hizo technology Kali ktk ulimwengu wanazipata kwa devil hakuna alliens
Na nikikwambia kuwa uwepo wa devil ni man made illusion kumfanya mwanadamu aogope ajue kuwa kuna system mbili( Mungu na shetani) zinakinzana utaamini?? au utakataa..??

kwa hiyo unaamini kabsa kuna shetani..??
na siku ukikuta kuwa hiyo ndo great illusions utasemaje..??
Right or wrong is a mental construct subjected to your mind,whatever you do is an action,however its value depends with your awareness how it is..

Ukifanya jambo ukaona ni baya na ukaamini et shetani ndo kakusababishia you are wrong my dear..

Ulipewa utashi wa kujaji unachokifanya hapa duniani..kila jambo unalolifanya limepewa odds ambazo zitaifanya mind yako iinterprete tofauti tofauti kulingana na jinsi ulivyo wew..
I believe in the divine system matrix created undeer illusions that prevents human being from freeing your mind na ndo mana unaonekana kuwa limited kwa baadhi ya mambo..

free your mind kila kitu utakiona katika higher dimensions na utajua ukweli wa kila kitu..
Toka humo kwenye box unaloamini kuna Shetani na Mungu though kuna system kubwa inayotengeneza Illusion kila siku..

Whatever you see is an illusion created by your mental depaction,everything is you,you are the one in this universe,everything you see is the reflection of you..
 
Back
Top Bottom