Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Katika propaganda effective ambayo serikali ya CCM iliifanya kwa watanzania ni kusisitiza sana amani. Ni kama kampeni makhsusi iliyopangwa maalumu kwa ajili ya kuwadebwedesha Watanzania.
Kipindi cha Mkapa ilikuwa, kila kiongozi mkuu akisimama kuongea, lazima atupie neno amani na utulivu.
Hata hivyo kete hii CCM inaoneka wameimisuse sana, na hivyo kila wakisimama kuongea amani imegeuka na kuwa kama cliche (yaani kauli iliyozoeleka isiyo na impact kivile)
Sasa hivi, propaganda ya Amani imepatiwa dawa, kila kiongozi wa CCM akisimama kuzungumza neno amani, anakutana na swali kuwa mbona huzungumzii Haki. Jambo hili limekuwa likiwaacha propagandists wa Serikali ya CCM mdomo wazi wasipate majibu.
Kwa hiyo kuanzia leo, wanapropaganda wa CCM wakileta habari za amani, jibu mujarabu ni kuwa Mbona Haki huizungumzii?. Kama huzungumzii haki basi wewe unapay lip service kwa amani lakini hauko serious. Au tuseme kuwa wewe unataka matunda bila jasho, unataka kuingis peponi lakini hutaki kufa!
Bila HAKI hakuna AMANI
No Justice, No Peace!