baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,971
- 18,641
Haki ndo inaleta amani kama hamna Haki ujue hiyo amani ni MagumashiKarudi kiyumbe nyume kama kasongo , ila ukweli ni kwamba amani ya kweli ipo ndani ya haki.
Haki ndo inaleta amani kama hamna Haki ujue hiyo amani ni MagumashiKarudi kiyumbe nyume kama kasongo , ila ukweli ni kwamba amani ya kweli ipo ndani ya haki.
KabisaHaki ndo inaleta amani kama hamna Haki ujue hiyo amani ni Magumashi
Sahii ,kuzungumzia amani bila haki ni sawa na Nguruwe kumpaka lipstick, alisema mzee Ulimwengu ( Mungu amuweke mzee wetu)Katika propaganda effective ambayo serikali ya CCM iliifanya kwa watanzania ni kusisitiza sana amani. Ni kama kampeni makhsusi iliyopangwa maalumu kwa ajili ya kuwadebwedesha Watanzania.
Kipindi cha Mkapa ilikuwa, kila kiongozi mkuu akisimama kuongea, lazima atupie neno amani na utulivu.
Hata hivyo kete hii CCM inaoneka wameimisuse sana, na hivyo kila wakisimama kuongea amani imegeuka na kuwa kama cliche (yaani kauli iliyozoeleka isiyo na impact kivile)
Sasa hivi, propaganda ya Amani imepatiwa dawa, kila kiongozi wa CCM akisimama kuzungumza neno amani, anakutana na swali kuwa mbona huzungumzii Haki. Jambo hili limekuwa likiwaacha propagandists wa Serikali ya CCM mdomo wazi wasipate majibu.
Kwa hiyo kuanzia leo, wanapropaganda wa CCM wakileta habari za amani, jibu mujarabu ni kuwa Mbona Haki huizungumzii?. Kama huzungumzii haki basi wewe unapay lip service kwa amani lakini hauko serious. Au tuseme kuwa wewe unataka matunda bila jasho, unataka kuingis peponi lakini hutaki kufa!
Bila HAKI hakuna AMANI
No Justice, No Peace!
Mzee MJINGA Sana huyu😃😃😃😃wasira juzi kawaza kawazua cha kuongea jukwaani kujibu hii propaganda, mwisho kaja anasema "haki Iko ndani ya amani"😡😡🚮🚮🚮
Hahah dingi umechefukwa hatari.Upuuzi mwingi sana wametufanyia wanahubiri amani huku wameficha mapanga. Wanatuambia amani huku Mzee Mohamed kibao wamemuua mchana kweupe. kijana soka wamemuuwa LISU walimpiga risasi 40 halafu wanatuambia amani amani amani amani amani amani amani amani amani amani amani amani amani amani amani amani amani amani amani amani amani shenzi kabisa.
Halafu MACCM yanatuona watz wajinga, mwaka huu kitanukaIkifanya Oct 25 kila baada ya miaka mitano wajeshi policeccm na tiss. Kazi yao ni moja tu maagizo kutoka aliyewateua ambae na yeye ni mgombea Uraisi # No reform No election
Wewe MJINGA sanaNy
Nyie nyumbu mlivyowekeza uzushi na upuuzi we humu JF utafikiri watanzania wanafuatilia huu upuuzi, nyie mazuzu mnaojifurahisha wenyewe CCM ni jabali hamuwezi ht kuitingisha.
Tunaomba jabali lituvushe kwenye haki ngoja nikwambie haki inapotelea wapi......Ny
Nyie nyumbu mlivyowekeza uzushi na upuuzi we humu JF utafikiri watanzania wanafuatilia huu upuuzi, nyie mazuzu mnaojifurahisha wenyewe CCM ni jabali hamuwezi ht kuitingisha.
Ccm Wapo nyuma ya mda na ushahidi wa hili ni wassiraPropaganda ya amani ilipaswa iishe early 2000's.