Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Kama hakuna upendo wa agape hakuna amaniKatika propaganda effective ambayo serikali ya CCM iliifanya kwa watanzania ni kusisitiza sana amani. Ni kama kampeni makhsusi iliyopangwa maalumu kwa ajili ya kuwadebwedesha Watanzania.
Kipindi cha Mkapa ilikuwa, kila kiongozi mkuu akisimama kuongea, lazima atupie neno amani na utulivu.
Hata hivyo kete hii CCM inaoneka wameimisuse sana, na hivyo kila wakisimama kuongea amani imegeuka na kuwa kama cliche (yaani kauli iliyozoeleka isiyo na impact kivile)
Sasa hivi, propaganda ya Amani imepatiwa dawa, kila kiongozi wa CCM akisimama kuzungumza neno amani, anakutana na swali kuwa mbona huzungumzii Haki. Jambo hili limekuwa likiwaacha propagandists wa Serikali ya CCM mdomo wazi wasipate majibu.
Kwa hiyo kuanzia leo, wanapropaganda wa CCM wakileta habari za amani, jibu mujarabu ni kuwa Mbona Haki huizungumzii?. Kama huzungumzii haki basi wewe unapay lip service kwa amani lakini hauko serious. Au tuseme kuwa wewe unataka matunda bila jasho, unataka kuingis peponi lakini hutaki kufa!
Bila HAKI hakuna AMANI
No Justice, No Peace!
😃😃😃😃wasira juzi kawaza kawazua cha kuongea jukwaani kujibu hii propaganda, mwisho kaja anasema "haki Iko ndani ya amani"😡😡🚮🚮🚮
Karudi kiyumbe nyume kama kasongo , ila ukweli ni kwamba amani ya kweli ipo ndani ya haki.😃😃😃😃wasira juzi kawaza kawazua cha kuongea jukwaani kujibu hii propaganda, mwisho kaja anasema "haki Iko ndani ya amani"😡😡🚮🚮🚮
Nadhani ni kuchanganyikiwa TU kuona propaganda zao zinadhibitiwa😃😃😃Karudi kiyumbe nyume kama kasongo , ila ukweli ni kwamba amani ya kweli ipo ndani ya haki.
Hii ya haki imewakalia pabayaNadhani ni kuchanganyikiwa TU kuona propaganda zao zinadhibitiwa😃😃😃
Pascal Mayalla mbona haki huko lumumba hamuizungumziiiiiiiKatika propaganda effective ambayo serikali ya CCM iliifanya kwa watanzania ni kusisitiza sana amani. Ni kama kampeni makhsusi iliyopangwa maalumu kwa ajili ya kuwadebwedesha Watanzania.
Kipindi cha Mkapa ilikuwa, kila kiongozi mkuu akisimama kuongea, lazima atupie neno amani na utulivu.
Hata hivyo kete hii CCM inaoneka wameimisuse sana, na hivyo kila wakisimama kuongea amani imegeuka na kuwa kama cliche (yaani kauli iliyozoeleka isiyo na impact kivile)
Sasa hivi, propaganda ya Amani imepatiwa dawa, kila kiongozi wa CCM akisimama kuzungumza neno amani, anakutana na swali kuwa mbona huzungumzii Haki. Jambo hili limekuwa likiwaacha propagandists wa Serikali ya CCM mdomo wazi wasipate majibu.
Kwa hiyo kuanzia leo, wanapropaganda wa CCM wakileta habari za amani, jibu mujarabu ni kuwa Mbona Haki huizungumzii?. Kama huzungumzii haki basi wewe unapay lip service kwa amani lakini hauko serious. Au tuseme kuwa wewe unataka matunda bila jasho, unataka kuingis peponi lakini hutaki kufa!
Bila HAKI hakuna AMANI
No Justice, No Peace!
karibuPascal Mayalla mbona haki huko lumumba hamuizungumziiiiiii
Upuuzi mwingi sana wametufanyia wanahubiri amani huku wameficha mapanga. Wanatuambia amani huku Mzee Mohamed kibao wamemuua mchana kweupe. kijana soka wamemuuwa LISU walimpiga risasi 40 halafu wanatuambia amani amani amani amani amani amani amani amani amani amani amani amani amani amani amani amani amani amani amani amani amani shenzi kabisa.
Nyie nyumbu mlivyowekeza uzushi na upuuzi we humu JF utafikiri watanzania wanafuatilia huu upuuzi, nyie mazuzu mnaojifurahisha wenyewe CCM ni jabali hamuwezi ht kuitingisha.Katika propaganda effective ambayo serikali ya CCM iliifanya kwa watanzania ni kusisitiza sana amani. Ni kama kampeni makhsusi iliyopangwa maalumu kwa ajili ya kuwadebwedesha Watanzania.
Kipindi cha Mkapa ilikuwa, kila kiongozi mkuu akisimama kuongea, lazima atupie neno amani na utulivu.
Hata hivyo kete hii CCM inaoneka wameimisuse sana, na hivyo kila wakisimama kuongea amani imegeuka na kuwa kama cliche (yaani kauli iliyozoeleka isiyo na impact kivile)
Sasa hivi, propaganda ya Amani imepatiwa dawa, kila kiongozi wa CCM akisimama kuzungumza neno amani, anakutana na swali kuwa mbona huzungumzii Haki. Jambo hili limekuwa likiwaacha propagandists wa Serikali ya CCM mdomo wazi wasipate majibu.
Kwa hiyo kuanzia leo, wanapropaganda wa CCM wakileta habari za amani, jibu mujarabu ni kuwa Mbona Haki huizungumzii?. Kama huzungumzii haki basi wewe unapay lip service kwa amani lakini hauko serious. Au tuseme kuwa wewe unataka matunda bila jasho, unataka kuingis peponi lakini hutaki kufa!
Bila HAKI hakuna AMANI
No Justice, No Peace!
Nyie ngedere km kuna mtu anaweza kujaribu kufanya lolote kuigusa amani ya nchi ajitokeze msiandike km misukule jitokezeni mnasubiriwa kwa shauku kubwa. Nyie ni kunguru wa PembaUpuuzi mwingi sana wametufanyia wanahubiri amani huku wameficha mapanga. Wanatuambia amani huku Mzee Mohamed kibao wamemuua mchana kweupe. kijana soka wamemuuwa LISU walimpiga risasi 40 halafu wanatuambia amani amani amani amani amani amani amani amani amani amani amani amani amani amani amani amani amani amani amani amani amani shenzi kabisa.
Lipia tangazo..🫵🏿karibu
P
- Asante Mungu kwa Rais Samia: Ni Msema Kweli na Mtenda Kweli, Ni Msema Haki na Mtenda Haki. Je, Ataruhusu Ubatili Huu Kuendelea Ndani ya Katiba Yetu?
- Haki Huinua Taifa! Rais Samia kwa Kauli na Matendo ameonesha ni mtu wa Haki. Akitekeleza hili kama alivyosema, atabarikiwa, Tanzania itabarikiwa
- Rais Samia ana nia njema Watanzania wapate haki, ila Watanzania hawajui Haki! Je, Tumsaidie kuelimisha umma Katiba, Sheria na Haki au?
- Ombi kwa Rais Samia: Japo wengi wape, wachache pia wasikilizwe, Hoja ya kufanya minimum reforms za Katiba ni hoja ya msingi sana kuliko hata Sheria!
- Asante Rais Samia kwa kuwasisitiza watendaji wa vyombo vya haki kuwa haki sio hisani, bali ni stahiki. Watende haki, tubadili Katiba kurudisha haki
- Haki, Haki, Haki! Serikali, Bunge na Mahakama hazina uwezo wala mamlaka ya kupora haki ya kuchagua na kuchaguliwa. Je, jicho ona litaliona hili?
- Ushauri kwa DPP: Kutekeleza nia njema ya Rais Samia, kuona Haki ikitendeka; je, tumchagize DPP kutumia Nolle kufuta kesi zote zinazosuasua?
- Asante Rais kuruhusu mikutano, tunakuomba uruhusu haki nyingine ambayo imeporwa ya Watanzania wote kuchagua na kuchaguliwa
- Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa hili atabarikiwa, Taifa litabarikiwa. Asante Mungu kwa Samia, Mungu mbariki Samia, Mungu ibariki Tanzania!
- Ukosekanaji wa Haki kwenye Mhimili wa Mahakama, kunaweza kuwa kunachangiwa na Majaji/Mahakimu wenye uwezo mdogo kubaini haki?
- Kama maandamano Chadema yamewezekana chini yake. Ni uthibitisho wa uwezo wake KTK kutenda haki. Hata ile haki kuu pia ataitenda. Tuvute tu subra!
- Kumbe DPP kutenda haki kunawezekana! Hongera sana, kazi umeianza vizuri. Sasa haki sio tu inatendeka, inaonekana! Kazi Iendelee…
- Kipindi cha TV, Kutoa Elimu ya Katiba, Sheria na Haki, Kuanza Jumapili Hii Kupita Channel Ten
- Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika Wewe
- The Power of Karma- Ndio hukumu pekee ya haki kamili hapa Duniani. Unahukumiwa kwa matendo yako!